DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Huyu jamaa anajiita John Mrema ilikuaje akawa na cheo kikubwa hivyo hapo Chadema , wakati Ana IQ ndogo .
Nimemsikiliza hapa Leo katika kipindi cha Power breakfast Clouds cha "Scanning" hosted by CIZA.
Anaulizwa atoe tafsiri ya neno
"No reform no Election" anaaanza kubabaisha Mara hivi Mara vile .
Kweli chadema sasa hivi ndo imejipata na sio kipindi cha nyuma.