upinzani tunisia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Tunisia Azimia Gerezani Kufuatia Joto Kali la Nyuzi 52°C

    Kiongozi wa upinzani nchini Tunisia,Rached Ghannouchiamepoteza fahamu kwa muda akiwa katika Gereza la Mornaguia kutokana na wimbi kali la joto linalokadiriwa kufikia nyuzi 52 za Selsiasi. Tukio hilo lilishuhudiwa na Haifa Chebbi, binti wa mwanasiasa wa upinzani aliyefungwa, Ahmed Nejib...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Tunisia Jela kifungo cha Maisha kwa kosa la kuanzisha Idara ya Usalama ya Siri

    Kiongozi wa upinzani pamoja na viongozi wenzake wa chama cha Ennahdha wamehukumiwa vifungo virefu gerezani kwa kosa la kuanzisha idara ya usalama ya siri Viongozi waliohukumiwa ni: Rached Ghannouchi (Kiongozi Mkuu, miaka 84): Amehukumiwa kifungo cha maisha jela pamoja na miaka 30 ya ziada...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Tunisia akamatwa na Polisi wakati wa Maandamano

    Hatua hiyo imekuja siku moja baada ya mahakama ya rufaa kuwahukumu viongozi kadhaa wa upinzani, wafanyabiashara na mawakili vifungo vya hadi miaka 45 jela Katika uamuzi unaoonekana kuashiria kuongezeka kwa utawala wa kimabavu chini ya Rais Kais Saied, makundi hayo yalishitakiwa kwa kula njama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…