Hii haina hata haja ya salamu.
...
Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza, naomba kuwakumbusha wahusika wa kuzisambaza Zana maeneo tofauti tofauti ya Nchi kwenye vyuo, guest house, lodge, ofisi za watendaji wa kata, zahanati, mahospitalini, nk kwamba sasa Zana zimehadimika yamebakia maboksi matupu...