Rais Samia akiwa mkoani Mwanza amesema anatambua uwepo wa upungufu wa umeme ikimaanisha vyanzo vilivyopo havikidhi mahitaji yaliyopo. Waziri wetu wa nishati aliliongelea suala la kukatikatika kwa umeme chanzo chake ni marekebisho ya mfumo wa zamani.
Tunaandaliwa kwa umeme wa dharura?
Taarifa kwamba taasisi za kitaaluma za elimu ya juu zinakabiliwa na upungufu wa Wahadhiri inastua sana na kuhitaji ufumbuzi kwa kasi ya mwendo wa mwanga. Binafsi nafikiri tatizo hili limesababishwa na uamuzi wa serikali ya awamu ya tano kutumia rasilimaliwatu hawa kwa kuwaondoa vyuoni na...
Je, kuna mahusiano au uhusiano wowote kati ya tatizo la upungufu wa damu kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa (miaka 15 mpaka 49), kwa wanawake wajawazito, tatizo la vifo vitokanavyo na uzazi, na tatizo la upungufu wa damu kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5?
Ni nadra sana kuona wataalamu...
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameeleza sababu ya nyama kupanda kwa bei katika maeneo mbalimbali nchini ni kutokana na upungufu wa upatikanaji wa ng’ombe na ongezeko la mahitaji ya viwanda vya kuchakata nyama.
Hata hivyo wafanyabiashara wa mifugo na wauza mabucha wamesema kuwa...
RC wa Mbeya, Juma Homera amewashauri wanaume wenye matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume kuacha kutumia dawa za kienyeji kuongeza nguvu hizo akidai dawa hizo zina madhara na badala yake watumie maharagwe aina ya Jesca
Dar es Salaam. Madaktari wamebaini kuwa virusi vipya vya Uviko-19 vinaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.
Hata hivyo takwimu za mwisho zilizotolewa na Wizara ya Afya nchini Agosti 15, zilionyesha kuwa walengwa 207,391 wamepatiwa chanjo ya Uviko-19 mpaka kufikia Agosti 14 mwaka huu...
Kumekuwa na dhana mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali hasa wanaume na wanawake wa mikoani nje ya mkoa wa Dar es salaam
Eakiwashutumu wanaume wa mkoa wa Dar es salaam kuwa hawana nguvu za kiume, wanadai kuwa tatizo hili linawapata ni kwasababu wanapenda sana Chipsi.
hii sio kweri kabisa...
Inasemekana hawa samaki wanazaliana kama nyuki, unaweza ukawaweka 10 tu kwenye bwawa, baada ya mwaka ukawakuta wapo milioni 10. Je, hii haiwezi kutumika kutumika kutokomeza utapiamlo wa protini Tanzania?
Video ina maelezo ya ziada juu ya Asian Carp
Kilimo cha kimkakati ni aina ya kilimo kinacholimwa kwa lengo la kuzalisha mazao yanayotosheleza mahitaji ya nchi na kubaki ziada.
Kwa miaka mingi sasa kumekuwa na tatizo la upungufu wa mafuta ya kupikia nchini.Ili kuondokana na tatizo hilo nchi inatakiwa kuanzisha kilimo cha mazao yafuatayo...
Utangulizi
Upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume/vijana ni tatizo ambalo limekua likizidi kukua hasa kwa watu walizaliwa miaka ya 80, 90 na 2000. Wahenga wanasema kwamba vita vingi tunavyovipigana ndani ya vichwa vyetu hua sio halisi, Kwamba mambo tunayoyafikiria na kuyahofu kwenye maisha...
Habari wadau.
Hali naona imeanza kuwa mbaya kwa upande wetu Tanzania ,nasikia huko Bugando washaanza kukumbwa na upungufu wa mitungi ya oxygen.
Kipindi hiki lockdown haikwepweki bila shaka. Mpaka sasa Bugando Hospital wanaupungufu wa mitungi 500 ya oxygen.
Huku mtaani kwetu Buza sioni kabisa...
Nchi hiyo imeacha kutoa Dozi ya pili ya Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19 ili kutoa kipaumbele kwa wale ambao bado hawajapata Dozi ya kwanza.
Kutokana na upungufu, Serikali imesema itagawa Chanjo zilizobaki katika maeneo ambayo yameripoti ongezeko la maambukizi na vifo, na ambao wanasubiri...
Habari wadau!
Jana nimefuatilia habari kwenye chombo kimoja hapa TZ kimereport upungufu wa mitungi ya oxygen katika hospital kuu za Uganda kutokana na wimbi kubwa la wagonjwa wa Uviko 19.
Je, sijuhi hapa kwetu tumejiandaaje kuwapa msaada ndugu zetu UG na sisi binafsi kujikinga na wimbi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.