Nchi jirani yetu ya Kenya imekumbwa na matatizo makubwa ya balaa la njaa tangia lock downs za COVID na ukame mfululizo.
Pia tangia vita vya Ukraine imekubwa na balaa la upungufu na kupanda sana kwa bidhaa ya mafuta ya petroli na dizeli.
Machafuko yanayoendelea sasa nchini Kenya yanatokana...
NJIA MBADALA ZINAZOWEZA KUSAIDIA TATIZO LA UPUNGUFU WA WALIMU MASHULENI.
UTANGULIZI:
Nchi yetu bado inachangamoto kubwa ya uhaba wa walimu wa shule ya sekondari na msingi.Kwa mujibu wa taarifa ya mwezi wa pili ya wizara ya nchi ,Ofisi ya rais tawala za mikoa na serikali za mitaa...
Utangulizi
Kwa muda mrefu nimekuwa nasikia kampeni ya kuchangia damu kwa hiari kwa ajili ya kuwekeza katika Benki ya Damu Salama, kwa ajili ya kuwaongezea wagonjwa (wenye uhitaji huo) mahospitalini. Katika pita pita yangu, nimebahatika kuchangia damu kwa hiari mara mbili.
Hivi karibuni...
Ripoti ya Mwaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Kwa mwaka wa fedha 2021/22 inaonyesha kwamba Katika halmashauri 23 pekee zilizofanyiwa tathmini Katika uwiano wa mwalimu Kwa wanafunzi ilibainisha Upungufu wa walimu 10,071 sawa na asilimia 35 ambapo walimu waliopo katika...
Mod usifute huu uzi na upaste kama ulivyo andikwa kigogo media
Kiburi cha rushwa ,uhuni na ujeuri wa EWURA na waziri wa nishati wafikisha mgogoro wa upungufu wa mafuta ngazi za juu serikalini, chanzo chetu ndani ya EWURA kinatujulisha asubuhi na mapema leo hii.
Baada ya kuona nchi inaingia...
Ni muda mwingine najitokeza kuomba msaada, ushauli na mawazo kutoka kwa madaktari, wataalamu wa afya au mzoefu wa hili tatizo.
Ni baada ya kufanyiwa upasuaji (operation) ya kuondoa korodani zenye kansa na kubakia bila korodani ndipo tatizo lilipoanzia.
Nikakosa nguvu za kufanya kazi kwa muda...
Binadamu akikosea nguvu za asili za kiume au kike anakosa pia nguvu za asili za kufanya KAZI kwa tija na hivyo uzalishaji kwenye TAIFA ushuka.
Tanzania tumekuwa na wananchi wenye changamoto ya nguvu za kiume na kike. Kuthibitisha au kupata ukweli angalia mabango ya tiba asili, angalia pharmacy...
Hivi ni kweli kuwa watumiaji wa kompyuta mpakato huku wameipakata mapajani, pamoja na sisi tunaotumbukiza simu zetu zikiwa on air kwenye mifuko yetu ya mbele ya suruali tupo kwenye hatari ya kupoteza nguvu za kiume?
Mataifa kadhaa ya kiafrika yakabiliwa na upungufu wa dola ya Marekani hali ambayo inapelekea kupanda kwa gharama za maisha katika mataifa hayo.
Mataifa kama Kenya, Misri, Ghana, Nigeria, Zambia na Zimbabwe ni mifano ya hayo yanayokabiliwa na upungufu huo...
Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linalokabili wanaume wengi duniani. Kwa mujibu wa tafiti, tatizo hili linazidi kuwa kubwa miaka ya hivi karibuni tofauti na zamani.
Katika kutafuta visababishi vyake, Mdau mmoja wa JamiiForums aliweka chapisho lake lenye utafiti unaotaja sigara kuwa...
Mwaka wa fedha 2021/22 ulikumbwa na uhaba wa nafaka kama ambavyo imeripotiwa na Benki Kuu ya Tanzania kuwa katika mwaka huo kulikuwa na uhitaji wa chakula tani 9,537,752 hata hivyo tuliweza kuzalisha tani 9,493,410 ambapo tofauti ni tani 44,342.
Suala la kuwa na upungufu wa chakula limeripotiwa...
Takriban wanafunzi milioni moja wanatarajia kujiunga kidato cha kwanza kwenye shule za Serikali mwakani huku changamoto ikiwa ni upungufu wa vyumba vya madarasa.
Takwimu za Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na Baraza ka Mitihani Tanzania (Necta) zinaonyesha shule...
Afu tunasema kuna usalama wa Taifa au wa chadema
Mpaka ukuta huu unaisha serikali ipo wapi?
Kuna maeneo lukuki Hali Ipo hivi hivi afu mnasingizia ng'ombe wamekuwa wengi.
Serikali ya mama ni dhaifu kweli kweli msitufanye watoto wadogo.
Jana TANESCO wametoa taarifa kuwa kuna upungufu wa Megawati 300 kutokana na ukame na matengenezo yanayoendelea
Sasa nikawaza kama tunazalisha jumla ya Megawati 1600 basi kukitokea upungufu wa Megawati 300 ni umeme mdogo sana ukilinganisha na uzalishaji wetu,
So inakuwaje upungufu wa megawati...
Leo tarehe 22/11/2022 TANESCO wametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuelezea sababu za mgao unaoendelea nchini.
Kwa habari zaidi soma Press release Hapa chini
====
Shirika la Umeme Tanzania limetangaza upungufu wa Megawati 155 za Umeme wa Maji uliosababishwa na Ukame kwenye Mabwawa ya Kihansi...
Kuna baadhi ya watu wanaamini kuwa wanaume waliyofayiwa tohara hupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pindi wanapokua, na ni kundi ambalo lipo katika hatari ya kupata maambukizi ya VVU kwa urahisi ukilinganisha na wale ambao hawajafanyiwa tohara.
Ukweli upoje?
Habari wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza sipati jibu, maswali machache niliyo jiuliza yalinifanya nifanye utafiti ili kupata majibu ya maswali yangu. Miongini mwa majibu niliyoyapata kwenye utafiti wangu ni haya:
1) Kwanza nimegundua wanaosumbuliwa na matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume wengi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.