upungufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Assassin

    Kama unaamini hivi vitu basi ujue una upungufu wa akili

    Haijalishi umesoma ama hujasoma ila kama unaamini hivi vitu ujue una mapungufu makubwa ya akili. 1. Uchawi, kama unaamini uchawi upo basi jua huna akili. Uchawi ni mambo ya kufikirika tu hayana uhalisia wowote. Karne hii ya 21 bado mtu watu wanaamini upumbavu wa kwamba uchawi upo kweli? Kama...
  2. BARD AI

    Serikali yakiri Umeme hautoshi, TANESCO ina upungufu wa Megawati 190

    Serikali imekiri kuwa na upungufu wa umeme kwa megawati 190 na ndiyo sababu za kukatika au kuwa na mgawo wa mara kwa mara. Kauli hiyo imetolewa leo Novemba 2, 2022 bungeni na Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato wakati akitoa maelezo kama alivyotakiwa na Spika wa bunge Dk Tulia Akson. Dk...
  3. BARD AI

    Hospitali za Tanzania zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa Damu

    Tanzania bado inakabiliwa na tatizo la upungufu wa damu salama hospitalini huku wataalamu wakitoa wito kwa taasisi binafsi na za umma kuongeza kasi ya uchangiaji damu kwa hiari ili kubadili wimbi hilo. Wataalamu waliokusanyika wakati wa hafla ya kuchangia damu iliyoandaliwa na wafanyakazi wa...
  4. Bridger

    SI KWELI Ulaji wa Limao na Ndimu husababisha upungufu wa Damu Mwilini

    Baadhi ya jamii huamini kuwa ulaji wa limao na ndimu husababisha upungufu wa damu mwilini. Uvumi huu uliosambaa kwenye maeneo mengi hutoa maonyo makali hasa kwa watoto na wanawake wenye ujauzito wanaojaribu kutumia matunda haya. Je, ni kweli kuwa matunda haya hukausha damu mwilini?
  5. M

    Vyakula sio tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo ni kudharau mitishamba inayosafisha mfumo wa mwili

    Mitishamba ipo na huwa inafanya kazi. Mitishamba ilitumiwa na mababu zetu enzi na enzi na ndio maana walikuwa na wake zaidi ya wawili na shoo za ukweli zilipigwa. Leo hii nashangaa kawama inakuwa mara vyakula. Sasa kama vyakula vimeharibu mwili kwa nini usitumie miti shamba kurekebisha mwili?
  6. C

    Upungufu wa walimu 670 wa shule za msingi wilayani Kiteto

    Wilaya ya kiteto iliyoko mkoani Manyara, inakabiliwa na upungufu wa walimu 670 wa shule za msingi hivyo Serikali na wadau wa maendeleo wametakiwa kushirikiana kutatua changamoto hiyo, ili kuongeza kiwango cha ufaulu wa wanafunzi. Chanzo: ITV
  7. J

    Upungufu wa kuku wa nyama sababu yaelezwa ni zuio la kuingiza vifaranga kutoka nje

    Kwa mujibu wa uongozi wa soko la kuku Shekilango na Manzese ni kwamba kuna uhaba mkubwa wa kuku wa kisasa (broiler) sokoni hali inayopelekea wauza chips kutatizika Inadaiwa uhaba huo huenda umesababishwa na katazo la serikali la kuagiza vifaranga kutoka nje ya nchi Source: ITV habari
  8. Lady Whistledown

    Hali ya Hewa: TMA yatoa angalizo la upungufu wa mvua za vuli nchini

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema, kutakuwa na upungufu wa mvua katika kipindi cha mvua za vuli zinazotarajiwa kuanza Oktoba hadi Desemba 2022, zitakazosababisha kupungua kwa unyevunyevu katika udongo hivyo kuleta athari mbalimbali. Imeelezwa kutakuwa na vipindi virefu vya ukame na...
  9. Hosea Ben

    SoC02 Upungufu wa nguvu za kiume na kuwahi kumaliza kwa mwanaume wakati wa tendo la ndoa

    Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo gani? Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo ambalo linahusisha kukosa uwezo wa kusimamisha uume au kushindwa kudumisha uume ukiwa umesimama wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Hili ni tatizo la kihisia na kimwili ambalo linaweza kuhusisha matatizo ya...
  10. Dr Yesaaya

    SoC02 Afya ya uzazi: Upungufu wa nguvu za kiume

    UKOSEFU AMA UPUNGUFU W NGUVU ZA KIUME Mwandishi: DR. Yassayah M, 0752591744/0682080069 wa -Tegeta DSM UTANGULIZI Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume kitaalam – Erectile Dysfunction ni hali ya uume kushindwa kuamka/kusimama au kuamka kwa muda mfupi kisha kushindwa kuendelea kusimama wakati...
  11. F

    Serikali kufunga mipaka kwa upungufu wa chakula ni kuwaua wakulima

    Ni kweli ina nia ya kusaidia janga la njaa. Lakini kwa nini kila wakati wa kuuza bei ya chini ni wakulima tuu. Kwanini bidhaa nyigne hatua kama hizi hazichukuliwi. Sisi tunaotoa muda wetu kulima na kudharaulika tunalazimishwa kulisha watu wavivu na wengine wanaotukashifu tunapoingia shambani...
  12. Tajiri Tanzanite

    Tutegemee Baada ya miaka michache kutatokea upungufu mkubwa wa nyama nchini

    Hapo vip!! Mimi huwa siasa na wanasiasa naona ndio chanzo cha umaskini katika jamii na sio suluhiyo la matatizo katika jamiii..hususana siasa za Afrika na wanasiasa wa Afrika. Kwa utafiti wangu wa harakaharaka naona viongozi wengi wanaotoka na siasa hawapo smart sana kichwani ila sometime...
  13. Lady Whistledown

    UN: Takriban watu Milioni wakabiliwa na upungufu wa chakula nchini Kenya

    Idadi hii inatajwa kuongezeka kutoka zaidi ya watu milioni tatu mwaka jana huku zaidi ya watoto 900,000 walio chini ya umri wa miaka mitano wamegundulika kuwa na utapiamlo. Inaelezwa kuwa sehemu kubwa ya mikoa ya kaskazini-mashariki, inakabiliwa na uhaba wa chakula kutokana viwango vya chini...
  14. J

    Rais Samia: Waziri wa Nishati aliondoa Tozo kwenye mafuta kimakosa kwa sababu Tozo ilipitishwa na bunge, Nimeirejesha!

    Rais Samia amesema waziri wa Nishati January Makamba alifuta tozo ya tsh 100 kwenye mafuta kwa nia njema ya kupunguza bei lakini ikaonekana kuna utaratibu haukuwa sawa. Tozo ile ilipitishwa na bunge siyo waziri hivyo kuifuta kulitakiwa kuanzie bungeni. Rais ameirejesha tozo ya mafuta kama...
  15. J

    Rais Samia - Wachagga tupunguze matayarisho ya pombe kutokana na upungufu wa nafaka

    "Niwaombe sana ndugu zangu wa Kilimanjaro, tupunguze kidogo matayarisho ya Mbege na vinywaji vingine kwa kutumia nafaka, tujue kwamba mwezi wa 10 hatukupanda, tutapanda Machi na kutakuwa na upungufu kidogo wa chakula,,"-Samia Source-Nipashe Tanzania.
  16. Mtondoli

    Upungufu wa Mvua Nchini: Tuwaulize Wanasayansi au tumtegemee Mungu?

    Wananzengo wenzangu tunaotegemea mpini wa jembe kuendesha maisha yetu, leo ni tar 23 desemba huku kwetu rukwa na katavi hatujaonja mvua. Nimejaribu kuwauliza wazee wameniambia haijawahi tokea mpaka tarehe hizi mvua hamna, wakati dar kulikuwa mvua kubwa mpaka mafuriko rukwa haijanyesha bado...
  17. Kwekitui

    Hivi ni kweli kuna upungufu wa vioo "Black Tinted Glass" hapa Dar es Salaam kwa wauzaji wakubwa?

    Kuna fundi mmoja amepewa kazi na baba yangu mzazi ya kutengeneza madirisha ya Aluminum, cha ajabu hii ni wiki ya 2 sasa anamwambia baba eti vioo havipatikani. Je wakuu kuna ukweli hapo eti vioo vya Dark Grey havipatikani nchini kwa sasa? Kama kuna anayeuza kwa jumla tafadhali anisaidie nije...
  18. J

    RC Makalla: DSM ina upungufu wa Maji wa Lita milioni 70 kwa siku sawa na 26%, Wananchi tumieni maji kwa uangalifu!

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema kutokana na kuchelewa kwa mvua za vuli maji katika mto Ruvu yamepungua na kusababisha upungufu wa lita milioni 70 sawa na 26% Makalla amewataka wakazi wa jiji la Dar es salaam kutumia maji kwa uangalifu wakati tukisubiri mvua zitakazojaza mto...
  19. Yoda

    Upungufu wa maji mijini ndio kelele zote hizi? Huu ndio ubinafsi wa hali ya juu

    Wiki mbili mfululizo sasa kumekuwepo na kelele nyingi kila kona ya nchi kuhusu upungufu na mgao ya maji katika miji na majiji. Katika maeneo ya vijijini sehemu nyingi za nchi maji limekuwa tatizo kubwa toka nchi hii inapata uhuru lakini hatujawahi kusikia kelele na mayowe kama wiki hizi mbili...
  20. Memento

    Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

    Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua. Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee Eti watu waanze kupanga kazi zao
Back
Top Bottom