Ndugu zangu Watanzania napendekeza Wazungu wagombee nafasi ya Urais ili watuletee maendeleo,tumeona katika shughuli za kimaendeleo tumewapa bandari ndugu zetu DP World,tumefanikiwa, Tanesco napo panasua sua tumwongezee DP World aweze kuleta Umeme wa uhakika wakikataa tuwaite tena Net Solution...
UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.
MKUTANO MKUU WA CCM JIMBO LA MUFINDI KUSINI
UWASILISHAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI (CCM) 2020 - 2023
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile tarehe 16 Disemba, 2023 Amewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya...
Amesikika Katibu mkuu UWT Ndugu Jokate Mwegelo akimuombea kura ya Urais mmoja wa "wanaosemekana" kutaka kugombea Urais 2025, kada huyo amesema hayo akiwa Mbinga Ruvuma, ingawa haijathibitika ametumwa aseme, au amejituma mwenyewe!
Tupe majibu stahiki ndugu mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi!!
Na...
Tunajua
Ndani ya chama cha Mapinduzi CCM kunatofauti nyingi mno zinazotokana na uchu wa madaraka,makundi mengi yanazuka kulingana na nani ananipa nini pia nitapata nini?
unazani kwa mtu kama Samia Suluhu afanye kitu gani ili kudhibiti mwendendo huu mbaya ambao unatishia kukiangusha chama cha...
Hapo vip!!
Huu ndio ukweli ulete hoja zako za kiafrika haiwezi kubadilisha huu ukweli.
Ukweli ni unadhihirishwa wazi na maendeleo ya Afrika tangu tuanze kupata uhuru..na kuna baadhi a nchi za wazungu walikuwa wapo chini kimaendeleo kuliko hizi nchi zetu za Afrika mfano sirilanka,maleysia n.k...
Kiongozi huyo aliyetawala tangu mwaka 2000 akichukua madaraka kutoka kwa Boris Yeltsin ametangaza nia yake leo Desemba 8, 2023 huku akidai ana uhakika wa kushinda Urais kwa zaidi ya 80% ya Kura.
Mwaka 2020, Serikali ya Putin mwenye umri wa miaka 71 ilifanya mabadiliko ya kuondoa ukomo wa mihula...
Salaam, Shalom!!
Chama Cha DEMOKRASIA na Maendeleo CHADEMA, kilianzishwa May 1992 na Ndugu Mtei aliyewahi kuwa Governor wa Benki kuu ya Tanzania.
1. Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2000, CDM haikusimamisha kabisa mgombea Urais, Nia ilikuwa ni kusoma mchezo wa siasa za Nchi hii, na kuunga mkono...
Wagombea Wanne wa nafasi ya Urais Nchini DR Congo wameamua kujitoa na kueleza kuwa wanaelekeza nguvu zao katika kumuunga mkono Gavana wa zamani, Moise Katumbi ambaye ni mgombea mkuu wa upinzani katika uchaguzi huo.
Hatua hiyo inafanya wagombe waliosalia kuwa 21 mbapo wote wanawania nafasi...
Huu ndio Ukweli unaofichwa , huyu aliyepo hana uwezo wa kupambana Jukwaani (Chama chake kinajua) , hata hivyo alishawahi kukiri mwenyewe hadharani , ikaandikwa na gazeti la Chama chake , ili kuondoa Taharuki ikakanushwa , hata hivyo awali ni awali , na wala hakuna awali mbaya , sisi tumeshika...
Upinzani mpaka sasa haupo tayari kuungana kuikabili CCM na kuishinda, hawa ni kwa sababu ni wabinafsi na hawana ajenda ya Pamoja lakini pia hawana fedha, uchaguzi ni fedha.
Lakini kwa maoni yangu kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa CCM iachane na Rais Samia tu hafai kuongoza chama hicho na Nchi...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk Tulia Ackson, leo tarehe 22 Novemba, 2023 amewasili Geneva, Uswisi kuanza utekelezaji wa majukumu yake ya Urais wa IPU.
Dkt. Tulia amepokewa na Balozi wa Tanzania nchini Uswisi, Dkt...
Wakati wagombea urais wa Tanzania wakitoa Sh5 milioni kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano, kwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wagombea urais wanatakiwa kuonyesha risiti ya malipo ya faranga za Congo milioni 160, sawa na zaidi ya Sh150.3 milioni kama ada zisizorejeshwa kwa Tume Huru ya...
Kutana na mwamba wa kuitwa 'The Madman' ambaye ameshinda uchaguzi wa urais wa Argentina.
Huyu mwamba ni mfuasi wa mrengo mkali wa kulia ambaye anamu-inspire sana "Madman" mwenzake Donald Trump.
Ni mfuasi mkubwa wa Israel na ameahidi mageuzi makubwa sana nchini Argentina, sasa wamemkabidhi...
Urais wa Mwanasoka wa zamani na Mwanasiasa wa Liberia, George Weah uko shakani kutokana na Kura za Marudio kuonesha anazidiwa na mpinzani wake Joseph Boakai
Hadi sasa inaripotiwa kuwa Matokeo ya kura hizo yanayonesha Boakai ana 50.7% wakati Weah akiwa na 49.3% ya Kura zilizopigwa
Awali...
Mkutano wa hadhara upo Geita, mhutubiaji mkuu ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda. Mara,Makonda anaagiza Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, apigiwe simu. Halafu, Makonda mwenyewe ndiye anapiga Mavunde ameshapatikana, simu inapokelewa. Makonda anamwambia Mavunde: "Nakupa...
Wananchi wa Liberia wanatarajiwa kupiga kura leo Jumanne Novemba 14, 2023 kumchagua Rais katika Awamu ya Pili ya Uchaguzi unaowakutanisha wagombea wawili George Weah anayetetea nafasi hiyo na Joseph Boakai baada ya awali kutofatiana kwa kura chache katika Awamu ya Kwanza.
Weah (57) aliongoza...
MAKONDA ANAWADISTURB WASAKA URAIS NDANI YA CCM NA HILI NI JAMBO JEMA
Watu wengi huwa hawajui kwanini huwa tunawachapa wasaka urais.Pale tunapobaini pasi na shaka kuwa kiongozi fulani ndani ya serikali na Chama anatengeneza mtandao wa kusaka urais huwa hatumuachi salama.
Wasaka urais ni watu...
"Ndugu zangu wa kanda ya ziwa tulipata bahati ya kuwa na Mwasisi wa Taifa hili Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, tukapata bahati tena ya kuwa na Rais wa awamu ya 5 Hayati John Magufuli ambaye alifanya jambo la kuamini Wanawake wana uwezo na akavunja miiko ya Mwanamke kutokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.