Ni muda muafaka sasa umefika CCM iruhusu ushindani kwa wagombea Urais ndani ya Chama.
Vile vile, kofia ya Urais na ya MwenyeKiti wa CCM Taifa itanganishwe ili iwe rahisi kwa Chama kuisimamia Serikali.
Nawasilisha.
Kwa sababu Samia hajiamini ndani ya CCM.kuelekea 2025!
CCM-Samia wanatumia nguvu kubwa Sana ili kuhakikisha kwamba. Hakuna mwana CCM ambaye anaweza kupata ushawishi wa kisiasa ndani na nje ya CCM nchini zaidi yake Samia!
Hii yote ni kwa sababu Samia bado ana uchu wa madaraka kuliko kitu...
Wasalaam Bazzukulu,
Mkubali au mkatae ila ukweli usemwe Tunda Lissu ana asili ya umuch know na udictator, pia ni lopolopo sana, na ni mjuajj anaependa kuabudiwa na kusifiwa.
Kwa sifa hizo mbovu hafai kuwa na cheo cha juu sana cha Urais na Uenyekiti wa Chama chake. Abaki tu na sifa za...
Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation!
Tulitegemea wangelifanya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa wanaume na hivyo wangelijitahidi kuonesha uwezo! Kumbe bado kabisa.
HILI LA SAMIA KUMVUA SLAA HADHI YA...
Sio dhambi wala jinai kuwa na ambitions za kuusaka uongozi wa juu wa nchi, lakini wengi wanakuwa consumed na ndoto hizo, wako distracted, wanafanya siasa zaidi kuliko kazi waliyopewa, wanahangaika kukusanya fedha na kusuka mitandao yao. Watu hao sio wazuri kwako.
Moja ya mambo yaliyomfanya...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zimbabwe (ZEC) imetangaza kuwa Kiongozi huyo aliyeingia Madarakana mara ya kwanza mwaka 2017 kwa kumpindua Robert Mugabe, ametetea Kiti chake kwa 53% ya Kura zilizopigwa.
(ZEC) imesema mpinzani mkuu wa Mnangagwa, Nelson Chamisa, anayeongoza chama cha Citizens's...
Ndugu zangu Watanzania,
Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye awezaye kumuinua mtu na kumpa madaraka,huyo ndiye humpa kibali mtu akakubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na watu,huyo ndiye humpitisha mtu katika njia ambayo wengine hawapitishwi,huyo ndiye humlinda na kumshindia vita vyote viwavyo...
Ujana una mambo yake mengi sana tena Sana tu.
Mheshimiwa January Makamba Enzi hizo akiwa ni mmoja wa watarajiwa wa kuchukua fomu za Ugombea Urais CCM 2015, alitoa maoni kuwa siasa na uongozi wa nchi ni sharti uende kwa vijana.
Alienda mbali kwa kusema wote waliozaliwa mwaka 1961 kurudi nyuma...
hii ni kwa uchache sana kwa sasa,
Ni raia mwema wa Tanzania, mzalendo na muadilifu alietukuka.
Ni Mzoefu katika utumishi wa Uma.
Ni mtu mzima aliepikwa vilivyo ktk utumishi na kwahivyo hekima, busara na uzoefu wake ni wa mfano.
Ana nia na uthubutu mwema usio na shaka kwenye kila jambo...
Fernando Villavicencio ameshambuliwa wakati akitoka kwenye mkutano wa kampeni wa uchaguzi ujao wa Rais katika Mji wa Kaskazini wa Quito.
Mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge baada ya kuhitimisha kampeni akiwa anelekea kupanda gari ndipo Mwanaume akajitokeza na kumpiga risasi tatu kichwani...
#JanuaryMakambaForThePresidency2030
Wadau hamjamboni?
Ukweli lazima usemwe tu haya kama muda wa kuusema haujafika.
Ndiyo January Malamba ndiye chaguo sahihi la Watanzania kuelekea 2030
Naam anazo sifa zote, uchapakazi, weledi, uzoefu wa kutosha kuanzia awamu ya 3 hadi sasa.
Anao uzoefu...
Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu.
Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala Waziri au Mbunge. Hawawezi kuona machungu ya kupanda kwa bei kunakosababishwa na kodi zao
Hivi ni...
Hello JF,
Hivi Wassira ni mwehu kiasi hicho? Kuna mtu alimlazimisha Rais Hassan kumtuma Mbarawa kwa maandishi? Timu ya wabunge kwenda Dubai ilijipeleka? Wasanii walijipeleka, bendera ya Tanzania ilijipandisha kule Dubai.
Wassira awe makini sana uvuvuzela wake hautawasaidia chochote ifahamike...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema chanzo cha upotoshaji kuhusu uwekezaji wa bandani ni siasa za uchaguzi wa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watu wanamezea mate urais.
Wasira ameyasema hayo leo Jumamosi Julai 22, 2023 akizungumza katika mkutano wa hadhara...
Umoja wa Afrika (AU) umeridhia kumuunga mkono Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) kuwa Mgombea pekee kutoka Bara la Afrika wa nafasi ya Urais wa Jumuiya ya
Mabunge Duniani (Inter-Parliamentary Union-IPU).
Uamuzi huo ulifikiwa katika Mkutano wa 43...
Kwa mujibu wa taarifa za Tume ya Uchaguzi ya Marekani (FEC), Rapa huyo aliyetangaza nia ya kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2024, hadi sasa akaunti yake ya Kampeni ina salio Tsh. 55,985,680 tu.
Pia, imeelezwa kuwa Kanye ametumia zaidi ya Tsh. 4,868,320,000 katika shughuli mbalimbali...
Kuhani Musa Richard Mwacha anasema aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu aliyemuweka pale, ili atamtereshia maarifa na ufahamu wa kuyafanya mambo mazuri yatakayokufanya ufurahie. Sasa wewe huna...
Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake Balozi Ali Karume.
Kikao cha kumfuta uanachama Balozi Karume kimefanyika saa saba usiku wa kuamkia leo Jumamosi Julai 8, 2023 chini ya Katibu wa Mkoa wa CCM, Amina Mnacho.
Taarifa ya kumuondosha kwenye...
Mwanaume Aliyeitawala Iran kwa Miaka 8 akiingia kwenye Basi kwenda Kazini kama mwalimu, kazi yake kabla hajawa rais.
Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad, ambaye aliongoza taifa la Iran kwa miaka 8, sasa anafanya kazi kama mwalimu.
Picha ya Ahmadinejad akitumia usafiri wa umma ilionekana...
Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.