Kila nikimtazama na kumtathmini Kanali Kinana namuona karibu zaidi na Urais kuliko mwanasiasa yeyote yule kwa sasa kwa sababu kuu zifuatazo:
1. Kinana ni mpatanishi kiasili na hata Neno la Mungu kwenye Biblia linasema 'Heri walio wapatanishi maana hao watairithi nchi". Kama Mwenyekiti wa kamati...
Maana huyu Rais wa sasa miaka yake mitano ya uongozi inatimia mwezi wa tatu mwaka 2026? Ina maana uchaguzi wetu wa urais unaofuata utafanyika mwaka huo?
Aliyekuwa Mgombea Urais kwa Chama cha Labour Party, Peter Obi ameahidi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Rais Mteule, Bola Tinubu wa Chama Tawala cha APC.
Obi alishika nafasi ya 3 amedai matokeo yalichakachuliwa.
Inadaiwa waliopiga kura ni 28% ya Wanigeria waliojiandikisha huku wengine...
Habari wana JF,
Nimshauri ndugu Zitto Kabwe, kwamba raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanahitaji zaidi kusikia habari zinazohusu katiba mpya na sio gonjera zake hizo.
Wanasisasa wa nchii hii wabadilike, watangulize maslahi ya umma mbele kuliko kutanguliza maslahi yao binafsi...
KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema dhamira yake kubwa ya kuwa kwenye ulingo wa siasa ni kuwa Rais wa Tanzania atakayeibadilisha nchi pale ilipo na kupiga hatua kubwa kimaendeleo.
Zitto alitoa kauli hiyo jana Dar es Salaam alipohojiwa katika kipindi cha Super Breakfast...
Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
Ndugu zangu watanzania,
Huo ndio ukweli wenyewe japo Ni mchungu na wakuudhi au kukasirisha au kukera au kuzichafua nyoyo za wapinzani, lakini ndio ukweli wenyewe wanaopaswa waujuwe na kuukubali tu,kiti Cha Urais wa nchi hii Ni Cha CCM Daima , Ni kiti kisicho jaribiwa Wala kufanyiwa majaribio...
Majibu ya juzi dhidi ya mpina yamenifanya nimwondoe Mwigulu Nchemba kwenye ajenda ya urais 2030, hafai ni Magufuli mwingine, tena radical sana
Aendelee kuwa chini ya watu wengine
48 LAWS OF POWER.
Nashangaa CDM wanapotengeneza zimwi ambalo litawashinda, na limeshaanza kuwashida tayari.
Inaonekana Mbowe ni kiongozi jina tu, mwenye chama ni Lissu.
Hata Hotuba ya mwanza, inaonekana Mbowe alikuwa anamlenga Lissu.
Ni wakati Sasa Mbowe ajionyeshe kwa rangi zake. Kama Silaa...
Na Ezekiel Kamwaga
Msalaba wa Urais Katika kipindi cha miaka 30 iliyopita, mmoja wa wanafamilia ya Rais aliye madarakani amekuwa akizushiwa tuhuma za rushwa na ufisadi.
Lakini tuhuma hizo hudumu wakati wa urais wa mume/baba/mke/mjomba na husahaulika anapoingia mwingine tuhuma hizo huyeyuka...
Waliokamatwa ni wafuasi wa Rais aliyepita, Jair Bolsonaro ambao walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu Jijini Brasilia ikiwa ni wiki moja baada ya Luiz Inacio Lula da Silva kuapishwa kuwa Rais.
Rais da Silva amelaani maandamano hayo na kuita ni ghasia za kigaidi na kuahidi kuwashughulikia...
Nitaeleza Kwa kifupi faida za Mhe. Rais kutuachia katiba awamu yake ya Kwanza then akastaafu Kwa heshimu
1. Tayari amaeshakuwa Rais na hakuna Jambo jipya analoweza kulipata kwenye urais hata aliongoza miaka Mia.
2. Endapo ataamua kuingia kwenye uchaguzi 2025 Ndipo mchakato wa katiba uanze...
Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani, Mike Pence hajawasilisha ombi la kugombea urais mwaka 2024 kwa mujibu wa mshauri wake, Devin O’Malley alisema kupitia Twitter, baada ya taarifa inayodaiwa kuwa Pence alionekana kwenye tovuti ya Tume ya Uchaguzi akijaza fomu ya kuutaka urais.
Vyombo vya...
Kauli ya Rais huyo Mstaafu inafuatia uamuzi wa Baraza la Wawakilishi linalochunguza vurugu zilizotokea kwenye majengo ya Capitol Hill kuwataka Waendesha Mashitaka wa Serikali kumfungulia kesi yenye makosa 4.
Mashtaka yanayomkabili Trump ni pamoja na Kuzuia Shughuli za Bunge la Congress, Kula...
Majenerali na makada wa RPF Jack Nzinza na James Kabarebe wameonesha nia yao waziwazi ya kutaka kumpokea kijiti komredi mwenzao Paul Kagame uchaguzi ujao, 2024.
Wanadai mpaka hapo Kagame alipoifikisha nchi inatosha , na Sasa ni wakati wa wao kuipeleka mbele kidogo alipoishia mwamba.
Bila...
Tunatarajia kuwa na katiba mpya hivi karibuni!
Ngoja tusizungumzie hiyo ijayo tuzungumzie iliyopo!
Katiba iliyopo inaitambua nafasi ya Urais kuwa ni ya watanganyika na makamo wa Rais shariti atokee Zanzibar!
Kwa minajiri hiyo, huku bara, yaani Tanganyika, ndiko anakotokea Rais wa muungano wa...
Rais wa CWT aliyesimamishwa, Leah Ulaya amefika mbele ya wajumbe wa mkutano Mkuu kwa ajili ya kutoa utetezi wake wa kwa nini arudishwe katika nafasi yake.
Ulaya ameingia ukumbini kwa kelele za wajumbe walipoimba wimbo wa mlete mzungu na wimbo wa mshikamano.
Dakika chache kabla ya kuingia kwa...
Apewe tu. Nchi zilizoendelea zilipata watu kama mtaka zikatoka kwenye ubabaishaji, unyonyaji wa wenyewe Kwa wenyewe.
Mnasema hizi nchi zina amani. Amani ni nini? Ni kutopigana tu?
Nchi nyingi maskin Zina umaskin uliokithiri na ndio ukosefu wa amani wenyewe.
Viongozi waliostaafu wanaongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.