usa

  1. lbaraka

    Kwa wale wapenzi wa hard core hip hop(rap) za USA za miaka ya 1989-2000's, karibuni

    Habarini wadau, Mimi ni mpenzi na mfuatiliaji sana wa ngoma za kitambo mziki ulipoitwa mziki. Muziki wenyewe nnauongelea hapa ni zile ngoma nyeusi, kubum kubam za mbele za miaka ya 1988 mpaka miaka ya mwanzoni mwa 2000 kabla ya commercial, trap na mainstream hawajakichafua. Miaka hiyo artists...
  2. Allan8

    Maandamano yanayoendelea USA ni sawa na kufunga goli baada ya kipenga cha mwisho

    Poleni na harakati za kila siku. Ni matumaini yangu kuwa nyote mu wazima wa afya. Basi kama kichwa cha habari kilivyo mimi binafsi ninaona marehemu hakutendewa haki. Wakati jamaa amewekewa goti juu ya shingo yake na askari Nina imani kulikuwa na mashuhuda mbalimbali eneo la karibu. Je...
  3. Wacha1

    Amerika (USA) burning

    The beginning of the end of Trumpet era …. ..
  4. My Joash

    Naomba maana ya "The marshal plan by USA"

    Wakuu habari za mchana, naomba anayejua kuhusu hii marshal plan ya US baada ya vita kuu ya pili ya dunia ilikuwa ni nini haswa, anisaidie, ikiwezekana kwa Kiswahili nitashukuru sana.
  5. Barbarosa

    Askari mwingine David Dorn, auliwa USA!

    Retired St. Louis police captain killed by looters during unrest, police say ST. LOUIS — A retired St. Louis police officer was shot and killed early Tuesday by people who had broken into a pawn shop during unrest that followed a peaceful protest over the death of George Floyd in...
  6. The Palm Tree

    USA: Hapa ndio polisi wameua mmoja tu, hali iko hivi ya maandamano. Wangekuwa watatu au zaidi unadhani ingekuwaje?

    Hii ndiyo USA. Polisi kwa kutokuwa makini na kwa kukanyaga sheria zinazowaongoza kufanya kazi zao wakaua RAIA MMOJA TU asiye na hatia na asiye silaha kabisa huku wakiwa wameshamkata. Hali iko hivi. Serikali nzima iko kwenye misukosuko. Inasemekana watu ilibidi waingie kwa nguvu hadi kwenye...
  7. T

    Uchaguzi 2020 Polisi iepuke kabisa kuwa Polisi ya USA dhidi George Floyd!

    USA ubaguzi wa rangi na matendo ya kinyanyasaji yalizidi sana. Mpaka leo bado kuna Miji inatangaza maandamano. Nimeona waandamanaji wanaokuwa tayari kugongwa hata na magari ili wafe kwa ajili ya uchungu wa manyanyaso hadi kifo ya mpendwa wao George Floyd. CCM yangu inaingia kwenye Uchaguzi...
  8. Barbarosa

    Ukitaka kujua corona ni fake, "false flag” angalia maandamano Marekani, no social distancing!

    Miji kibao USA sasa hivi imefurika watu maandamano, vipi kuhusu Corona na social distancing tuliokuwa tunaambiwa?
  9. T

    Tetesi: Uwenda ARV za bure kupotea kwenye hospitali za Serikali ikiwa USA haitobadili sera yake WHO

    Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze. Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya watafiti yamegeukia Africa ambao sisi niwanufaika wakubwa wa mzigo anachangia WHO. USA ana contribute mpaka...
  10. Barbarosa

    "Wapigania haki” USA ni noma sana, sijui ni haki gani hiyo? Jionee hapa, pure evil!

    Wanataka kumuibia, kagoma wamepiga karibia kuua
  11. M

    USA is Burning

    The front of CNN Center in Atlanta was the scene of violent protests on Friday evening that resulted in damage to the front of the building and inside. The protesters broke the glass outside the main entrance to CNN's Atlanta headquarters. Apparently the police headquarters is housed in the...
  12. Barbarosa

    Suluhisho USA, AK & Co. Wazungu wajitenge waunde States zao wawaachie waliobakia Amerika!

    Multiculturalism imeshashindikana, ushahidi uko wazi kuanzia USA mpaka AK, sasa hivi USA inawaka moto, suluhisho pekee ni ,, racial segregation” nina uhakika kila ,,race” ikikaa peke yake itafanya inavyotaka, ...
  13. Barbarosa

    Post-Corona parties USA, full kujiachia!

    Walete walete, Muzungu ashachoka na ujinga wa lockdown social distancing, ... Ocean City, Maryland USA, no social distancing!
  14. M

    Five (5)Most deadliest Weapons Owned by USA

    Heavy US Military artillery [Photo: Courtesy] The United States of America is the most powerful military power the world has ever known. Since the end of the Second World War, America has enjoyed dominance and uninterrupted superiority in the world's military arena. It is arguably the most well...
  15. R

    Historia ni mwalimu mzuri: Yanayofanywa na Rais kukabili coronavirus, yalifanywa na USA wakati wa Spanish flu na kuleta maafa makubwa

    How U.S. Cities Tried to Stop The 1918 Flu Pandemic .Philadelphia’s response was too little, too late. Dr. Wilmer Krusen, director of Public Health and Charities for the city, insisted mounting fatalities were not the “Spanish flu,” but rather just the normal flu. So on September 28, the city...
  16. mimitungi

    USA mswaada wa Sheria H. R. 6666 na Microsot chip 060606, Je? Ni mwanzo wa upimaji wa Corona kinguvu duniani?

    Malengo yake ni: To authorize the Secretary of Health and Human Services to award grants to eligible entities to conduct diagnostic testing for COVID–19, and related activities such as contact tracing, through mobile health units and, as necessary, at individuals’ residences, and for other...
  17. Superbug

    Uzi maalum wa sisi diaspora tunaoonewa wivu kisa tupo Ulaya au USA

    Kutokana na wabongo wengi kutuonea wivu sisi waishi ulaya nimeona nifungue huu uzi ili nyie mlioko nchi za maziwa makuu mje humu mumtaje mwana ulaya mmoja mkimtaka atoe uthibitisho wa yeye kuwa mbele USA au Europe. Nimegundua wabongo wengi mna wivu mtu akiwa mbele mnamchukia mtamfukunyua mpaka...
  18. K

    Radio ya USA leo watajadili Serikali ya Tanzania kukataa(Denial) ukweli wa Corona

    Leo nasikiliza radio ya taifa (NPR) topic yao kubwa ni jinsi Serikali ya Tanzania kukataa ukweli kuhusu Corona na kutumia nguvu na vitisho kunyamazisha watu. Wanasema vilevile wataongelea mazishi ya usiku usiku. Nchi jirani kulalamika pia zitaongelewa kama Zambia kufunga mipaka na nchi nyingine...
  19. M

    President Donald Trump: This wasn't just Flu by the way, USA was attacked

    United States President Donald Trump today termed coronavirus an “attack” on the country saying nobody has ever seen anything like this. Washington: President Donald Trump believes that coronavirus is an attack on the United States. Talking to reporters the US President said the US was...
Back
Top Bottom