usa

  1. Wakati mchina anafanya majaribio ya ndege za jet, USA yuko mbioni kutuletea super sonic planes

    Kuna kitu humu mbeleni anataka kukifanya USA kwenye usafiri wa anga Shirika la anga la NASA limezindua ndege aina ya supersonic engine X59 na ni ya, abiria Hii ndege Ina speed zaidi ya sauti. Ni maboresho ya ndege aina ya Concorde zilizokuwa zinatumika huko nyuma. Hii ndege Ina uwezo mkubwa...
  2. K

    Yemen yashambulia ndege vita ya USA na kuzamisha meli ya Uingereza!

    Katika muendelezo wa serikali ya Houthi ya Yemeni kuiunga mkono Palestine na kujibu mashambulizi ya USA na Uingereza,Leo usiku imeendeleza mashambulizi yake dhidi ya meli ya Uingereza kw akuipiga makombora na kutungua ndege vita ya USA aina ya MQ9. The average unit cost of an MQ-9 is estimated...
  3. Iran imejitetea sana kwamba haikuhusika, na imewakana wote waliofanya mashambulizi dhidi ya USA

    Sasa wameachwa mayatima, Marekani inapiga, na hakuna mwenye uwezo hata wa kujifanya anajikuna, jana wamepiga maslahi 85 ya Iran huko nje......... Si Iran imewatelekeza? Iran denies involvement in drone attack on US in Jordan The Iranian government on Monday distanced itself from the kamikaze...
  4. K

    Yemen yashambulia tena Meli Vita ya USA na meli ya mizigo ya biashara huko Red Sea

    Utawala wa Houthi unaoongoza sehemu kubwa ya Yemen umeshambulia tena Meli Vita ya USA pamoja na meli ya mizigo, huu ni muendelezo wake wa kujibu mashambulizi ambayo USA alifanya wiki 2 zilizopita kwenye ardhi ya Yemen lakini pia ni muendelezo wa ahadi ya Yemen kushambulia kila meli za Israel na...
  5. T

    Rais wa Namibia apata saratani, anakwenda USA kutibiwa

    Siku Waafrika wakisema tunapinga na kulaani, na ni mtindio wa akili kukubali mtu mwenye dhamana ya kukuletea huduma ya afya eti yeye ndio anasafiri kupata huduma ambazo sisi hatuzipati, tena anaenda kwa gharama zetu, siku hiyo ikifika ndio haya yatakwisha. Kwa saab, kiongozi anakosaje...
  6. T

    Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kuhamia USA nikitaka, lakini mshahara ni ule ule popote nitakapoamua kufanyia kazi

    Habari wakuu, Nahitaji ushauri kidogo hapa. Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kufanyia kazi popote pale, na hata kuhamia yalipo makao makuu ya shirika kama nikitaka (Houston, Texas, USA), lakini pia nikitaka naweza kubaki hapa hata Tanzania nikaendelea kufanya kazi remotely, nikawa naenda USA...
  7. Putin ni mtu hatari wa kuongea saana ila USA analiogopa sana hili dude!

    Ijulikane kuwa, vitisho vya Putin kwa nchi zote wakati akiivamia Ukraine, ilikuwa, na ole wa nchi yoyote itakayotia nia kutaka kuisaidia Ukraine iwe kwa fedha, silaha na ama kivyovyote, itachezea moto mkali na itajuta nchi hiyo Kadri siku zilivyokuwa zikiendelea, kauli ya Putin ilikuwa ikizidi...
  8. USA, UK wanataka vita itapakae kwa makusudi kabisa

    Machafuko ya Mashariki ya kati hivi sasa ni mchezo uliopangwa na nchi za Magharibi, hususan USA UK na NATO yote wakishirikiana na vibaraka wao. Ikumbukwe, Israel ni base tu ya Mmarekani. Haitakiwi kabisa mashariki ya kati machafuko yaishe kwa sasa. Wakitoka Mashariki ya Kati wanaunganisha...
  9. Magaidi ya Houthi yapiga meli ya Urusi mabomu, yamechanganyikiwa tangu kipigo cha USA

    Urusi wajifunze kwa ujinga wao wa kutaka kushikamana na mazombi wa dini ile... Houthi militants mistakenly targeted a tanker carrying Russian oil in a missile attack on Friday off Yemen, British maritime security firm Ambrey said. The United Kingdom Maritime Trade Operations (UKMTO)...
  10. USA wapiga Houthi mabomu mengine tena na tena, magaidi yaanambulia kusema yatalipa kisasi

    Magaidi ya kidini yanaendelea kupigwa huku yaking'aka kwamba yatalipa kisasi...... The US military early Saturday struck another Houthi-controlled site in Yemen that it had determined was putting commercial vessels in the Red Sea at risk, a day after the US and Britain launched multiple...
  11. USA vs China Aircraft carrier

    China vs USA aircraft Carriers Tuwe wa kweli China bado safari ndefu Angalia DUDE la Chini hilo. Kweli China atamuweza USA🇺🇸 Jamani tuache masihara.
  12. Simba Sc kutangaza usajili muda wowote, Babacar Sarr atajwa

  13. Ni kwanini waislam wanazipenda sana China na Russia kuliko USA

    Haya mataifa mawili yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA. Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana Marekani Taifa la China linatamani hata Leo waislam wasiwepo, China ndiyo hivyo tu wanabanwa na Marekani...
  14. Wayemeni wamekinukisha tena Red Sea, wameishambulia manowari ya kivita ya USA

    Wayemeni kiboko, hawangoji, wakiamuwa wanafanya tu. Wameishambulia manowari ya kivita ya USA kwa missiles za za Dollar 2,000 nne, ote zimepigwa na missiles za Kamarekani zinazosikiwa kuwa zinagharibu zaidi ya Dollar million moja mpaka million 10 kila moja kwa uchache. Fikiri hasara za...
  15. Itapendeza sana Simba SC ikifuzu kucheza FIFA Club World Cup 2025

    Embu jaribu kuwaza Simba ifanikiwe kufuzu kwenye mashindano ya FIFA Club World Cup 2025 yanayotarajiwa kufanyika Marekani. Embu waza night kali flani hivi, Tanzania nzima mijini hadi vijijini ndani ndani huko kila mtanzania anakesha kuisubiri mechi ya Simba vs Real Madrid, oya weee. Halafu...
  16. USA wamesema watasapoti “UN resolution” kusitisha vita kwa muda usiojulikana ili kupisha misaada ya kijamii!

    Habari ndo hiyo, ngoja tuone kama Netanyahu atatii. The United States is prepared to support a new draft resolution in the U.N. Security Council that calls for an indefinite pause in the fighting to permit more humanitarian aid to flow into Gaza, U.S. Ambassador Linda Thomas-Greenfield said...
  17. K

    Meli ya kivita ya USA yafukuzwa baharini na jeshi maji la Iran

    Jeshi la wanamaji la Irani limeiamuru meli ya kivita ya Marekani iliyobeba ndege za kivita zaidi ya 20 iondoke karibu na eneo la bahari la Iran na pia ishushe chini helcopter yake ya kivita ambayo ilikua ikifanya doria baharini. Baada ya ubishi kidogo,wakatii amri. Tazama tukio Zima la...
  18. T

    TV na Monitor mtumba wa USA bei chee hizi hapa changamkia

    Sold!
  19. W

    Wajuzi wa mambo, hivi kwanini Biden bado ni rais wa USA pamoja na maboko yake yote?

    1. Mara kadhaa ameshaanguka tu hadharani. 2. Kusahau sahau anachotaka kusema. 3. Kumtukana, "What a stupid son of a bitch", mwandishi aliyemuuliza swali khhusu inflation.....huku kipaza sauti kikuwa on (alisahau kukizima). 4. Kupotea njia...n.k Sasa nachukulia ukubwa wa USA, kiranja wa...
  20. K

    Sugu ana nguvu mara 100% kuliko Tulia na sababu ni moja tu - USA!

    Raisi Samia, usalama wa taifa, Chadema wenyewe, Spika Tulia wote wanajuwa ukweli. Katika viongozi wa kisiasa wenye nguvu Tanzania kwa sasa ni Sugu. Sababu kubwa ni mmoja tu Serikali ya USA mabalozi wote wa USA wa kotoka maraisi wa vyama vyote vikubwa repuplicans na democrats ndiyo mtu wao na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…