usa

  1. Eli Cohen

    Border ya Kusini ya USA imekuwa crisis. Makundi ya wazamiaji yaongezeka haijawahi tokea

    Kwa kipindi hiki cha Biden, kumekuwa kuna ongezeko kubwa la kihistoria la wahamiaji waonajaribu na wengine wengi kufanikiwa kuingia USA. Kwa uchunguzi wa hivi karibuni wamegundua kuwa makundi ya uharifu na nchi nyingine wanatumia fursa hii kuzamisha waharifu, magaidi na majasusi.
  2. J

    I regret to come to The USA

    Hello everyone on this platform. Without wasting your time, let me tell you my story. The reason I want to tell you my story for free is because I think it can help someone who's planning to leave their country for greener pastures abroad. I know many African youngsters are ready to risk...
  3. FaizaFoxy

    Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu

    Kuvamiwa kwa Isael ni mpango uliosukwa ukasukika kama ulivyosukwa mpango wa 9/11. Kinachotafutwa ni Saudi Arabia siyo Gaza wala Palestina wala Iran. Naamini kuwa Israel na Palestina na yanayoendelea huko Gaza ni uwakala (proxy) tu wa kutafutwa Saudi Arabia. MBS wa Saudi Arabia" alimtowa nishai"...
  4. mugah di matheo

    Hivi uadui wa uisilamu na USA upo kweli? Ulitokana na nini?

    Vita zinazotokea Mashariki ya Kati huwa inaelezwa chanzo ni USA, sababu ni chuki dhidi ya Uisilamu. Kwanini uisilamu? Kwanini isiwe Waarabu bali ihesabike ni Uislamu? Mbona kuna nchi za kiislamu hazina migogoro mfano; Indonesia, Malasyia na hata Turkey? Kwanini USA ichukie Uislamu na sio dini...
  5. K

    Dunia yaamka dhidi ya Marekani na Umoja wa Mataifa

    Kuelekea mzozo kati ya Gaza na Israel mataifa mengi ya Amerika Kusini,Afrika na Asia yanaungana na Hamas na kudai kuwa sera za USA ni onevu na kandamivu na baadhi ya mataifa yakitaka kusitisha mahusiano ya kidiplomasia na Israel. Mathalan Gustavo Petro rais wa Colombia amemtaka balozi wa Israel...
  6. PakiJinja

    Nawakumbusha Wacheza Kamari kwamba, Kamari ni haram ila USA Green Card Lottery Tayari imeshafunguliwa

    Najua kuna wacheza kamari tayari wameshacheza, wengine hawana taarifa na wengine wamesahau. Naomba nitumie uzi huu kuwakumbusha wale wote walio tayari kucheza USA Green Card Lottery, kwamba, dirisha limeshafunguliwa na wacheza kamari kutoka nchi mbalumbali wanacheza kwa bidii kujaribu bahati...
  7. T

    Tutafika lini huku: Mbunge mmoja Marekani apitisha hoja ya kumuondoa Spika wa chama chake mwenyewe

    Jamani wenzetu ni wazalendo, na wamejipa nguvu ya kushughulikia watawala wanaozingua. Unahitaji kura moja kuleta Azimio lijadiliwe! Nchini Marekani Mbunge Matt Gaetz wa chama cha Republican jana amewasilisha hoja ya kupitisha Azimio la Bunge la kumuondoa Spika wa chama chake mwenyewe akidai ni...
  8. Venus Star

    New York! Mafuriko ya kutisha katika jiji kubwa zaidi huko USA!

    "Hii ni dhoruba inayotishia maisha," gavana Wa New York alisema. Mvua ya mwezi mmoja ilianguka kwa masaa machache tu ijumaa, wataalam wa hali ya hewa walisema. Hadi 20 cm ya mvua ilianguka katika sehemu zingine za jiji. Mamlaka za jiji zilitangaza hali ya dharura. Video inaonyesha watu...
  9. Venus Star

    China vs USA: Infrastructure, Technology and Development

    Hakuna marefu yasiyo na ncha. Huu ni msemo wetu waswahili ukiwa na maana ya kwamba hakuna kitu kikubwa kisichokuwa na mwisho wake. Dunia yetu hii imekuwa na wababe wengi sana, waliweza kuleta mabadiliko makubwa sana hapa duniani. Walikuwepo akina Gilgamesh watawala ambao waliweza kujiita kuwa...
  10. Venus Star

    Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

    Bila kupoteza muda. Tumsifu YESU KRISTU. Leo nataka niongelee kuhusu uwezo wa Jeshi la North Korea. Kwanini hawa jamaa wanatisha sana? Na kwanini West wanaeneza propaganda nyingi sana ili tu waweze kuwapoteza? Kwanini Marekani anawekeza sana kwenye nchi za Japan na South Korea ili kupambana na...
  11. M

    Kifaru Cha Uingereza CHALLENGER 2 chaungana na vile vya ujerumani LEOPORDS 2 kuchomwa moto na majeshi ya Urusi: ABRAHAMS cha USA kitafuata mkondo!

    Putin alipowaambia waingereza walipokuwa wanajidai kupeleka vifaru vyao wanavyoviamini nchini ukraine kuwa na vyenyewe vitaungua hakua anatania. Kilipopelekwa tu kimoja uwanja wa mbele kupima kina cha maji, hakikurudi!! British Challenger 2 tank 'hit' in Ukraine By Thomas Spencer & Alex...
  12. bahati93

    Endapo kipyenga cha mwisho kitapulizwa, taifa halina cha kupoteza

    Kwema hukoo mlipo Kusema kweli USA watu wamekula bata sana hata Sir God akipuliza kipenga wengi wao hawana cha kujutia. Embu tizama mastar wa Marekani walivyo wengi ukilinganisha na nchi nyingine, tazama maisha wanayo ishi yalivyojaa anasa. Ama kweli hakuna usawa kabisaa sijui sisi watu wa...
  13. LIKUD

    Kwanini Watanzania huwa wana "feel at home" mara tu baada ya kuingia USA?

    Sababu kuu inaweza kuwa nini wadau? how comes mtu upo kwenye "strange land" but still you feel at home. Hata ' home sickness' hakuna! Mimi sababu ninazo zihisi ni 2, mosi ;kwa sababu mhusika anakuwa tayari yupo Marekani kiakili (mentally) kwa muda mrefu so anapo fika Marekani physically...
  14. Jumanne Mwita

    Museveni azijibu kibabe nchi za Magharibi pamoja na kuwekewa vikwazo

    Kampuni ya Magharibi ilikuja na kupendekeza kuchimba urani. “Nichimbe na upeleke wapi?” Walisema“ Isafirishe nje ili kuzalisha nishati ya nyuklia kwa ajili ya umeme na dawa. Nikawauliza: “Mmesikia fununu kwamba kuna binadamu hapa Uganda wanahitaji umeme? Walitoweka. "A Western company came and...
  15. Venus Star

    Ijue USA kwa namna nyingine (Details about USA you don't know)

    Kuna watu wanaweza wakashangaa sana kuona USA kuna watu wanaishi maisha magumu sana. Kwamba huko USA kuna watu hata mlo wa siku kwao ni shida. Kuna watu wanashinda njaa na wanakufa kwa kukosa chakula. Leo katika uzi huu nitaenda kiundani sana kuiongelea Marekani katika mambo yafuatayo:- 1...
  16. Termux

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa NIGER (Russia + Wagner) na ECOWAS (France + Nato + USA). Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa NIGER ( Russia + Wagner ) na ECOWAS ( France + Nato + USA). Nini chanzo na hatma ya mzozo? Jeshi la Niger kupitia televishen ya taifa limetangaza kupindua serikali ya nchi hiyo. Shughuli site za serikari zimesimamishwa na mipaka ya nchi imefungwa. ======...
  17. B

    Kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, Canada na USA

    Wakuu, Ninapenda kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, CANADA na USA. nimejaribu kusearch bila mafanikio. Kwa mwenye uzoefu, naomba maelekezo au ukashare linki ya site inayo uza.
  18. Lord denning

    Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

    Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi! Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira...
  19. FaizaFoxy

    Taliban, kiboko ya USA wafanya gwaride la kuonesha vifaa walivyomteka USA baada ya kumtandika mpaka akatoka mbio

    Taliban huko Kandahar Afghanistan wamefanya gwaride la aina ya kipekee duniani, haijawahi kutokea. Gwaride la kijeshi ambalo. Limehusisha vifaa walivyoviteka tu. Taliban walivamiwa na majeshi ya Marekani (USA) yakishirikisha majeshi ya nchi 30 za NATO. Taliban hawakukubali, wakaingia vitani...
  20. SAYVILLE

    Nini kilimkuta beki wa USA katika goli hili la Ghana?

    Kuna goli moja aliwahi kufunga mshambuliaji wa Ghana, Asamoah Gyan katika Kombe la Dunia 2010 katika mechi ya Ghana vs USA. Wakati Gyan anaelekea kufunga aligongana na beki wa USA, Carlos Bocanegra (jersey # 3) ambaye alionekana kupoteza uelekeo huku akiangaza juu, halafu Gyan akapata fursa ya...
Back
Top Bottom