usa

  1. MK254

    Urusi walalamika kwamba USA inachochea Ukraine kushambulia Crimea

    Hivi vita vinachekesha, yaani unavamia nchi ya watu halafu unalalamika kwamba usipigwe kwenye baadhi ya maeneo ya hiyo hiyo nchi ya watu.... ================= MOSCOW, Feb 17 (Reuters) - Russia on Friday accused the United States of inciting Ukraine to escalate the war by condoning attacks on...
  2. Kaka yake shetani

    Mtoto wa ndugu yetu anaona aibu kurudi Tanzania tangu alipokwenda Marekani

    Inauma sana kama hupo mbali na hakuna lolote alafu unaona au kusikia kwenye mitandao ya kijamii fulani kajenga, kaoa na yeye sasa kasafiri. Kinacho mfanya kuona aibu ni ubinafsi kipindi yupo huko alijiona ndio kafika tukashauri sana ndugu zake tuliopo mtambuka tufanye ushirikiano ila ndio hivo...
  3. Dr Matola PhD

    Wanaojua Dkt. William Mtanzania wa USA. Je, Profile picha ni yake?

    Kuna shida kidogo nimeigunduwa hii leo, kitaaluma hakuna daktari mbobezi wa mgonjwa yote, Sasa napata mashaka juu ya huyu Dr. William. Kwanza nilimtambuwa kama Medical doctor, lakini siku zinavyokwenda anazidi kuvaa uhusika mbalimbali kwamba yeye ni Sangoma, yeye ni Astrologist na blah blah...
  4. Ngongo

    FAKE: Rwanda yawatimua mabalozi wa USA, Belgian,UK & France

    Zipo taarifa za chini chini kwamba Rwanda imewataka mabalozi wa USA,UK, Belgium & France kuondoka Kigali ndani ya masaa 72. Kama Rwanda imefikia hatua ya kuwatimua wafadhili Wakuu wa budget yake naona mwisho wa PAKA umewadia. Ngongo kwasasa Kivu ya Kaskazini, ===== UPDATES ===== Habari...
  5. T

    Dunia ya ujasusi: Je, safari ya Zelenskiy Marekani ina siri gani?

    Igweeeeeee kumekucha kumekucha... Ulimwengu wa kijasusi unazidi kushika kasi kama mithili ya radi. Safari ya Rais wa Ukraine ni safari ya kijasusi pia ni safari yenye ujumbe mzito kwa Putin na Washirika wake kuwa Marekani wako tayari kwa vita mpaka tone la mwisho wa dam wakati Putin hatokuwepo...
  6. MK254

    Urusi yang'aka kuhusu ziara ya Zelensky kule USA

    Sasa sijui wanalia nini, kwani rais wa Ukarine hana uhuru wa kufanya ziara ya nchi nyingine aitakayo??? Subirini mfumo wa Patriot usimikwe vizuri ili show iendelee... The Kremlin said that nothing good would come from Ukrainian President Volodymyr Zelensky's trip to Washington on Wednesday...
  7. Erythrocyte

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuanza ziara ya Kikazi nchini Marekani

    Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Chama hicho Duniani kote leo. Kwamba Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mandela wa Eneo la Maziwa Makuu, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe, Leo tarehe 4/12/2022 anaondoka nchini Tanzania kuelekea nchini Marekani kwa ziara ya...
  8. Jidu La Mabambasi

    Fascist trends katika dunia ya kwanza, USA na Germany mifano hai

    Demokrasia ni mtindo wa kiutawala ulioasisiwa na Warumi ambapo uwakilishi wa wananchi na uongozi huamuliwa kwa kura za wananchi wenyewe. Na demokrasia ilianzishwa hata kabla ya Kristo(BC), lakini hii demokrasia ya kisasa haina hata miaka 200 kwa nchi zilizoendelea. Ukweli ni kwamba nchi...
  9. Mokaze

    RONALD REAGAN, the late former president of The USA on atheism

    I have long unable to understand the atheist in this world of so much beauty. And I have had an unholy desire to invite some atheists to a dinner and then serve the most fabilous gaurmet dinner that have ever been concocted and after dinner ask them if they believe there is a cook.
  10. Chizi Maarifa

    Mtoto wa Osama Bin Laden apasua Ukweli. Asema hawaamini USA na pia kuna mambo yalimkwaza kwa baba yake

    Waislamu si ruhusa hata kunuswa na Mbwa inakuaje huyu Osama alifuga Mbwa? Osama Bin Laden alikuwa na Ajenda gani akaone atumie Dini kuzikamilisha? Sisi Wa kristo wa Masaki na Waislamu wa Buza huwa tunapelekeshwa tu katika mambo haya. ====== Mtoto wa Osama Bin Laden, Omar Bin ambaye wakati...
  11. Shujaa Mwendazake

    Rais wa Baraza la Ulaya naye atapika nyongo: "EU inateseka zaidi na mzozo wa Ukraine kuliko USA"

    Baada ya Rais wa France, Emmanuel Macron kutapika nyongo kuwa ; Rais wa Ufaransa: "Muundo wa usalama wa Ulaya lazima utoe 'guarantee' kwa usalama wa Urusi" Naye Rais wa Baraza la Ulaya amefunguka na kuishambulia Washington. Soma: Washington daima inatanguliza masilahi yake ya kiuchumi...
  12. Mabange

    Ninahitaji mwenyeji USA jimbo lolote ila Texas ni much preferable

    Ni matumaini yangu nyote mu bukheri wa afya, namshukuru mwenyezi Mungu mimi ni mzima na naendelea na mapambano kama kawaida. Mimi ni mwanaume kijana mwenye passion ya kusafiri na kuishi USA especially kiutafutaji japo ninandoto za kuinvest hapa nyumbani TZ. Nimeamua kuliweka hili humu jf...
  13. Dr Akili

    Ubelgiji, Ujerumani, EU na USA hakuna mikutano ya hadhara wala maandamano ya vyama vya siasa baada ya uchaguzi mkuu. Kwanini sisi?

    Kote duniani mikutano ya hadhara na maandamano ya vyama vya siasa hufanyika tu miezi michache kuelekea uchaguzi mkuu. Hata huko Ubelgiji, Ujerumani, EU na USA ndivyo mambo yanavyokuwaga. Baada ya hapo the winner takes it all na upinzani huhamia bungeni. Ndiyo maana ya demokrasia: the majority...
  14. Chizi Maarifa

    Nimeumia sana Iran kufungwa na USA na kutolewa

    Kwa jana match ambayo ilikuwa kwangu muhimu sana ilikuwa ya Iran vs USA hii nliitamani sana. Ilikuwa match yenye mvuto wa peke yake kwetu sisi wapenzi wa Iran. Nlifuatilia kwenye vyombo vya habari huko nje. Tension ilikuwa kubwa sana na Iran walijipanga kupata siku ya mapumziko kama...
  15. A

    USA kashikwa pabaya na Putin

    Wajerumani hawataki kuona jeshi la USA kwao, wanawafukuza wa America kwao na NATO inansambaratika
  16. Wu-Ma

    Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

    Katika Hali ya kushangaza show ya mwandada Zuchu imedoda baada ya watu kutokutokea kwenye show , unaambiwa kulikuwa na maraia kama 20 tuu hv , na wako busy na mambo Yao , huku wakimpiga picha mara moja moja yaan hawawaelewi..... hata hvyo bila kupepesa macho amekiri Hali hyo na kusema kuwa...
  17. MK254

    Kaka mkubwa USA awa mpatanishi wa majirani wa Urusi waliokuwa wananyukana

    Kwa sasa Urusi hana ushawishi wowote ukanda huo, hiyo ni baada ya kuvurugwa na kataifa kadogo Ukraine.... The US-organized peace talks between Armenia and Azerbaijan in Washington come only a week after a summit hosted by Russian President Vladimir Putin in Moscow. The foreign ministers of...
  18. Shujaa Mwendazake

    Iran: USA siyo 'Invincible' kama inavyoaminishwa

    Unyakuzi wa ubalozi wa Marekani mwaka 1979 unaonyesha kuwa nchi hiyo inaweza "kupenyeka," Ayatollah Ali Khamenei amesema. Marekani siyo “invincible” kama inavyoweza kuonekana, Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei aliwaambia wanafunzi siku ya Jumatano kabla ya kile kinachoitwa Siku ya...
  19. S

    Gazeti la Marekani laandika kwamba USA walidanganya kuhusu Mmarekani aliyemuua Mtanzania na kumtorosha asichukuliwe hatua na Polisi

    Mtakumbuka kisa cha Mmarekani aliekuwa akifanya kazi Peace Corps hapa Tanzania, ambaye akiwa amelewa chakari alisababisha kifo cha mwanamke wa Kitanzania. Mtakumbuka pia kwamba maofisa wa ublozi wa Marekani nchini walimtoa polisi kwa madai kwamba alikuwa ni mwana diplomasia, na kumrudisha kisiri...
  20. S

    Pentagon yakiri droni za Iran ni "pasua kichwa" kwa Ukraine, USA🇺🇸 na NATO, hakuna 'kinetic interceptors' za kuzidungua!

    Pentagon yakiri kuwa droni zinazonasibishwa na Muajemi (Iran) zimekuwa "pasua kichwa" kwa Ukraine, US na NATO kwa ujumla. Afisa mwandamizi wa Pentagon amesema droni hizo zinachoma vibaya magarivita ya NATO yaliyopelekwa Ukraine (armored vehicles), mifumo ya ulizi wa anga, mikusanyiko ya...
Back
Top Bottom