Russia could go to war with the USA any day now. What are your thoughts on this?
I truly hope not as the war wouldn’t be fought in US but in Europe.
But there is something that our American allies don’t really understand. Russia can’t be changed overnight with war or with the threat of war...
Nilishawahi kusema kuwa mwisho wa siku Zelensky na Ukraine yake watajakuwa maadui wakubwa sana wa Marekani na NATO kwa ujumla.
Kisa ni kwamba haiwezekani kuipatia Ukraine kila inachokitaka bila kuangalia athari yake kwa usalama wa dunia! Kwa mfano Zelensky alikuwa anataka NATO waweke NO FLY...
Hivi Marekani angejichanganya leo akaamua kuivamia Iran kwa kuitumia ardhi ya Iraq lakini asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo kama alivyowekewa Urusi.
Halafu Iran isaidiwe silaha mfululizo na Urusi, China, India, na nchi zingine za kiarabu, je Marekani angestahimili kwa muda gani...
Ukraine inalalamika kuwa Russia inatumia silaha nzito mno, TOS-1A Thermostatic Rockets (vacuum bombs), ktk mapigano huko Donetsk.
Kwa mujibu wa Marekani, silaha hizo ni special kwa kuangamiza ngome za kijeshi zilizo kwenye mahandaki chini ya ardhi na maadui waliojificha kwenye bunkers. Silaha...
Bunge ni mahala pa kuwasilisha mawazo ya Taifa. Ni mahala ambapo nchi inatarajia mijadala mizito ya mambo mbalimbali ya taifa.
Ni jambo la kutia hasira na aibu, mbunge anafanya mzaha wa sarakasi mbele ya vyombo vya habari, live, tena wakati huu mgumu wananchi wanapambana na hali ngumu.
Huyu...
Mkuu wa nchi baada ya kuona watanzania wanamashaka namna royal tour ilivyodhaminiwa aliahidi kuwataja hadharani waliochanga na namna michango ilivyochangwa.
Sasa hivi naona watanzania wameshasahaurishwa tena juu ya hili maana maridhiano yamepamba moto ili mifarakano itulie kwanza.
Lakini...
Hesabu ziko HIVI; ukinunuwa SIMU yeyote iliyotengezwa china kama Tecno, Itel, Huawei, Redmi, sumsung, etc,etc sehemu kubwa ya hela INAENDA USA.
Kwa Nini? SIMU zetu Zina hardware na software, yaani program kama fb, Whatsapp, Twitter, etc,etc. Sehemu kubwa ya hizo software ni makampuni ya USA...
Machina anafuata Kwa mbali in terms of per Capita ila Kwenye GDP anamkaribia. Ukweli mchungu USA ataendelea kutuburuza miaka mingi ijayo labda utokee muujiza wa Mungu.
Pentagon has rejects reports claiming US intelligence was used in alleged Ukrainian strike on warship Moskva
The US didn’t provide Ukraine with intelligence that allegedly allowed it to strike Russia’s Black Sea flagship Moskva off the coast of Odessa last month, Pentagon press-secretary John...
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha...
Mashirika mengi ya usafiri wa anga ulimwenguni yanatumia sana ndege zinazotengenezwa na either Boeing ya Marekani au Airbus ya Europe. Ni kwanini? Ina maana nchi nyingine kama china, Russia, south Korea wameshindwa kuunda haya madude?
Hata mashirika yaliyoko china ndege zao ni either Boeing au...
Baada ya figisu figisu za muda mfupi kumzuia mkurugenzi mkuu wa kampuni ya space X na mtu tajiri zaidi duniani kwa paper assets bwana Elon Musk hatimaye amefanikiwa kuununua mtandao wa twitter
Mpaka sasa makundi ya haki za binadamu hayaelewi twitter chini ya mmiliki huyo mpya kama itaweza...
Walitana kwa ukaribu na hii ishara kuwa kuna uwezekano wa kuambukizana maana hata chanjo za kovidi hazizuii maambukizi
👇
Vice President Kamala Harris tests positive for COVID-19
Makamu wa Rais wa USA Kamala Harris tests positive with Corona virus …
=======
(CNN)Vice President Kamala Harris tested positive for Covid-19 on Tuesday after returning from a weeklong trip to California.
"Today I tested positive for COVID-19. I have no symptoms, and I will continue to...
Baada ya kuiona trailer ya documentary ya Royal Tour na kufahamishwa kuwa ipo Amazon, niliamua na mie ngoja nilipie kuiangalia. Ajabu ni kwamba nilipotaka kulipia nilipata ujumbe kwamba kwa kuwa credit card yangu sio ya USA basi siruhusiwi kuilipia.
Hivi huu ubaguzi hadi kwenye credit card?
Nimetafakari sana juu ya misada inayotolewa kila uchao na Marekani kwenda Ukraine, na jambo Moja limenijia kichwani, VITA YA SYRIA, tunakumbuka wakati utawala wa Assad ulivyokaribia kuporomoka Baada ya kupata mashambulizi mazito Toka Kwa ISIS(ISLAMIC STATE OF IRAQ AND SYRIA), kundi la kigaidi...
Alisikika akisema Mkuu wa majeshi ya Marekani
Anasema Marekani ni Taifa kuliko watu wanavyodhani anasema huu ujumbe nadhani Urusi, Iran, IS na North Korea wanaangalia , Kama una akili timamu Amerika ni Nchi ya kuikimbia kwenye vita maana imeona vita, imecheza vita na unajua vita na haipendi...
Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali.
Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
airport
dada
diaspora
jnia
kaskazini
katiba
katiba mpya
kudai
kusoma
mabango
marekani
miwani
mpya
mtu
mwigulu
mwigulu nchemba
nchini
picha
tanzania
ubalozi
usa
waandamana
wabongo
watanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.