Kuna goli moja aliwahi kufunga mshambuliaji wa Ghana, Asamoah Gyan katika Kombe la Dunia 2010 katika mechi ya Ghana vs USA.
Wakati Gyan anaelekea kufunga aligongana na beki wa USA, Carlos Bocanegra (jersey # 3) ambaye alionekana kupoteza uelekeo huku akiangaza juu, halafu Gyan akapata fursa ya...