usafiri

  1. Pre GE2025 Dodoma: Ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo unategemewa kutatua changamoto ya usafiri

    Kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo yenye urefu wa kilomita 16, pamoja na ujenzi wa kalavati la Chikopelo, kumeleta faraja kwa wananchi wa vijiji vya Chikopelo na Zegele, wilayani Bahi, Dodoma. Mradi huu ni sehemu ya juhudi za Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...
  2. Usafiri wa mwendokasi kwa sasa ni roho mkononi. Vituo vya kupakia abiria ni hatarishi kwa walemavu, wajawazito, watoto, wazee na wagonjwa

    Usafiri wa mwendokasi umekuwa ni usafiri uliojaa changamoto kwa muda mrefu. Pamoja na changamoto zake umebaki kuwa usafiri wa haraka na tegemeo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam. Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa mabasi kiasi kwamba unaweza kukaa kituoni mpaka masaa mawili unasubiri usafiri hivyo...
  3. Miaka 64 ya uhuru: Watu wanakwama kwa siku 18 kisiwani bila usafiri, Hii ndiyo CCM

    Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima...
  4. Makambako: Serikali ipunguze matuta ya barabarani yanachelewesha muda na kuharibu vyombo vya usafiri

    Mdau wa Maendeleo toka Halmashauri ya mji Makambako Mhema Oraph ameiomba serikali ipunguze matuta ya barabarani kwani yamekuwa yanachelewesha muda na kuharibu vyombo vya usafiri. Mhema ametoa ombi hilo kwa Waziri wa viwanda na biashara akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani Njombe ambapo pia...
  5. Bunge Labaini Kusuasua Usafiri wa Mwendokasi (BRT) Dar

    BUNGE LABAINI KUSUASUA USAFIRI WA MWENDOKASI (BRT) DAR Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imetoa taarifa kuhusu uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam na kubaini tija ndogo katika utekelezaji wake licha ya uwekezaji mkubwa wa...
  6. Bunge labaini kusuasua kwa usafiri wa Mwendokasi Dar

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imetoa taarifa kuhusu uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam na kubaini tija ndogo katika utekelezaji wake licha ya uwekezaji mkubwa wa serikali. Hayo yamebainishwa bungeni jijini Dodoma leo...
  7. Jerry Silaa: Mfumo wa Kielektroniki wa Anwani za Makazi (NaPA) utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva

    Mfumo wa kielektroniki wa Anwani za makazi (NaPA) ambao una programu tumizi yaani ‘Application’ utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva ambapo kwa kutumia simu janja madereva wanaweza kupakua application hiyo itakayowarahisishia kumfikia mteja kwa haraka kwa kuwa...
  8. R

    Ni bora upange karibu na ofisi kwa kodi kubwa au upange mbali kwa gharama kubwa na usafiri wa taabu

    Upange karibu na ofisi kwa kodi kubwa Mfano: Upange kwa gharama X, umbali wa ofisi dakika 10 au Uende mbali kwa nusu ya kodi ya kuwa karibu, Gharama za usafiri kubwa na usafiri ni taabu Mfano: Upange mbali kwa nusu ya gharama X, usafiri laki 1, unaamka alfajiri kuwahi usafiri
  9. Mwanamke mmoja aliyefungua mashata kampuni ya usafiri Lyft USA amejibiwa huduma yake

    Mwanamke mmoja huko marekani alifungua mashtaka ya kuishtaki kampuni lyft inayotoa huduma za tax mtandaoni kwa kumkatalia sababu ya uzito wake. Sababu hii ilichangiwa wengine wakisema ina ubaguzi na wengine wakisema ni unyanyasaji. Baada ya kuzuka mijadala mingi kampuni lyft imeamua kuongeza...
  10. Jipatie container za ft20 na ft 40 pamoja na usafiri wa kusafirisha container , tupo kurasini ( DSM).

    Habari . Tunauza Container za ft20 na ft40 ambazo zote zipo katika hali nzuri.. Tuna container za ft20 na ft40 Zipo Kwa Grade kuna Grade A Grade B Grade C Karibu Sana bei zetu ni rafiki Sana...
  11. Faida ya kupakia mizigo kwenye gari unayo agiza nje, unapunguza gharama ya usafiri

    Kwa wale wanao agiza magari nchi za Japan,China,Singapore,UK,Canada na USA kipindi unapo agiza gari kama umenunua bidhaa nyingine mfano spare,electronics,nguo na machine ni vyema ukapakia ndani ya gari uliagiza ili kupunguza gharama za kusafirisha hizo bidhaa kwenye meli nyingine. Unachotakiwa...
  12. Hili la kufungwa barabara limekaaje? Kwa namna hali ilivyokuwa leo kwenye usafiri maeneo ya Posta na Kivukoni mpaka ifike hiyo tarehe 30 tutakuwa hoi

    JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam imetangaza kuwa Barabara tisa Jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara ya viongozi wanaokuja kutoka nchi mbalimbali kuhudhuria mkutano wa Nishati Afrika. Taarifa ya...
  13. Nawashukuru sana wafanyabiashara wa usafiri wa mabasi mlioamua kuiunganisha kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini

    Wakuu Previous hakukua na dalili za mtu kutoka direct from lake zone to nyanda za juu kusini. But kutokana na utashi na exposure ya watu wa maeneo husika sasa hivi usafiri wa hizo pande mbili upo muda wote. Mfano jana nimetoka Mwanza saa saa 10 jioni ila leo saa 7 au 8 hivi nimefika Mbeya na...
  14. Naomba msaada kwa wenye usafiri wa kwenda Bukoba kesho.

    Wakuu nimeitwa Usaili Bukoba , baada ya kusambaza CV yangu Ila changamoto nilionayo ni nauli tu. Kama unaweza nisapoti lift nitashukuru Sana . Au Kwa namna yoyote ile.
  15. A

    KERO Kero ya usafiri wa Daladala wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro

    Mimi ni dereva wilayani rombo imetokea kero ya askari polisi kitengo cha usalama barabarani kukamata madereva wasio na uhakiki wa leseni wanakamata gari wanapeleka kituoni kitu kinachosababisha usumbufu kwa abiria na wasafiri wanaotoka na kuingia wilayani rombo.... Ninaomba mamlaka husika...
  16. Tatizo kubwa la usafiri Dar inawezekana ni idadi kubwa ya watu na jiografia ya mji ilivyokaa

    Dar es Salaam, asubuhi karibia theluthi mbili ya wakazi wote wa mji wanaofanya kazi wanaenda Kariakoo, Posta na Ubongo katika maofisi, kwenye biashara na pia kufuata huduma mbalimbali za kiofisi, halafu jioni tena karibia watu wote hao wanageuza kurudi makwao kwa pamoja kama kumbi kumbi. Kwa...
  17. Aliyeanzisha usafiri wa mwendokasi sidhani kama alikuwa na mpango wa kuwatesa watanzania kiasi hiki

    Amani iwe nanyi watanzania Sina uhakika huyu aliyeanzisha huu mradi wa mwendokas kama alikuwa na lengo na kutesa watanzania kiasi hiki Na kama angejua watu watakuja kuteseka namna hii hakika asingeuanzisha Utawala uliopo madarakani umeshindwa hata kusimamia huu mradi halafu wanataka...
  18. Je ni sahihi kondakta wa daladala kupiga kelele za kuita abiria? Au abiria hawajui wanakokwenda? Je abiria wanakuwa hawaoni usafiri? (vipofu)

    Je ni sahihi kondakta wa daladala kupiga kelele za kuita abiria? Au abiria hawajui wanakokwenda? Je abiria wanakuwa hawaoni usafiri? Hii tabia ya kondata kuita abiria na kutangaza vituo daladala zinakoelekea inanipa maswali mengi sana Huwa napata maswali makubwa matatu? 1: Abiria hawafahamu...
  19. Kuna members hapa jamiiforum hawajawahi kupanda usafiri wa bodaboda

    Je kuna watu kabisa katika maisha yao hawajawahi kupanda boda ?
  20. A

    KERO Changamoto ya usafiri wa daladala nyakati za usiku Buhongwa-Usagara

    Habari, Kumekuwa na changamoto kubwa nyakati za jioni kwa daladala za Buhongwa kwenda Usagara kwani abiria wote wanaoshuka njiani wanaliopishwa nauli sawa na anayefika mwisho wa gari hali inayowaumiza abiria hao Tafadhali mamlaka ziangalie hili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…