Bei ya mafuta ya petroli nchini imezidi kushuka.
Katika bei zilizoanza Leo, mafuta ya petroli yameshuka bei hadi shilingi 3,040 Kwa Lita moja, kwa Jiji la Dar, kutoka bei ya mwezi uliopita ya shilingi 3,158
Nawaomba sana LATRA waitishe kikao Cha dharura, ili kupokea maoni ya wananchi, ili...