Wakuu,
Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo!
Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari hayaendi hasa kukiwa na watu wengi kituoni ni baadhi ya kero nilizokutana nazo kwenye usafiri huu wa...
Serikali imefanya jambo jema sana kuruhusu safari masaa 24, matumizi ya gari ndogo na Costa kupakia abiria usiku, matumizi ya magari ya magazeti na IT kutumika kubeba abiria yamepungua na sasa watu wanasafiri salama na mabasi yaliyoruhusiwa
Kutokana na ubora wa mabasi yanayotumika sasa huko...
SERIKALI KUPELEKA HUDUMA YA USAFIRI WA DHARULA KWENYE MAENEO YASIYOFIKIKA
NAIBU Waziri TAMISEMI (Afya), Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali kwa kushirikiana na Wizara ya Afya imeandaa mpango mkakati madhubuti utakaoyawezesha maeneo magumu kufikika kupata huduma za usafiri wa dharura pindi...
Ndugu zangu wana JF hii video ni ya leo asubuhi katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Luis, yaani kimekuwa na changamoto ya uhaba wa magari asubuhi ya leo Oktoba 16, 2023.
Foleni imekuwa kubwa ya abiria kusubiri mabasi, wapo ambao wamelazimika kusubiri mabasi hayo kwa saa tatu.
Upande wa...
Naibu Waziri Kihenzile aipongeza tasac kwa usimamizi na udhibiti makini wa vyombo usafiri majini
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe. David Kihenzile amelipongeza Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa usimamizi na udhibiti makini wa vyombo vinavyotumia usafiri kwa njia ya maji na...
Siamini kabisa kuwa Udart wanaweza kuendesha biashara kwa kukosa chenji ya kurudisha kwa abiria wao.
Mara nyingi sana utakutana na kero la kukosekana chenji kwenye vile vibanda vya wauza tiketi vilivyoko kando ya barabara ya Morogoro hasa kwa maeneo ya Kimara Temboni, Mbezi kwa msuguri...
Wakuu
Niende straight to the point.
Hii aabia ya baadhi ya viongozi wa dini kupendelea kuhubiri tena kwa sauti Kali kwenye vyombo vya usafiri vya umma naona kama haijakaa sawa.
Kila kitu kufanyika mahali pake ndio USTAARABU.
Kama kuna usafiri unaotumiwa na watu wa hali ya kawaida na chini kwa wingi ni pikipiki, tunazoziita bodaboda.
Huduma hii ni rahisi, haraka na unafika uendako kwa kasi sana ukilinganisha na usafiri binafsi au hata mabasi ya Mwendokasi(DART).
Lakini sekta hii haina uratibu wa aina yoyote nchini...
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) imesema hakuna utoroshwaji wa wanyama pori kwenda Falme za Kiarabu kama taarifa za upotoshwaji zinavyodai.
Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari amesema katika taarifa kwa vyombo vya habari leo kuwa kama Mamlaka inayohusika na kutoa vibali...
Wakuu,
Mtu analipia basi luxury kupata huduma extra, nzuri na bora, asafiri akiwa anajisikia huru. Inakuaje unalipia kusafiri basi luxury halafu unakutana na choo kama hiki? Choo hiki ni kwa huduma ya haja ndogo pekee na hauruhusiwi kuingiza tishu/toilet paper na haiwekwi kabisa chooni lakini...
Baada ya mvutano wa siku mbili hatimaye usafiri wa Daladala Mkoani Arusha umerejea kama kawaida leo Jumatano Agosti 16, 2023.
Afisa Mfawidhi wa LATRA, Joseph Michael amesema “Kilichozingatiwa ni Sera, tumewapangia vituo vipya watu wa Bajaj, tunawaondoa mjini kuwapeleka pembeni na wamekubali...
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kwenye gazeti la Washington Post umesema watu ambao hugombania usafiri wana nafasi kubwa ya kuishi maisha marefu na kuepukana na baadhi ya saratani.
Kwa Dar es salaam, wakazi wa mbagala wanajulikana kwa kugombania gari na kupambana kupata nafasi ama kiti cha...
A: UTANGULIZI.
Usafiri ni hali ya kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa madhumuni mbalimbali.
Maendeleo ni hali ya kukua kifikra, kiuchumi, siasa, kijamii au kiutamaduni kutoka hali duni kwenda hali bora kuliko awali.
Maendeleo endelevu ni maendeleo ambayo kutokea kwake...
Constantine J. Samali Mauki
Utangulizi
Nikiwa mtoto, nilijua watu wanaosafiri kwa ndege ni watalii (kwa maana ya wazungu), matajiri, na viongozi wakubwa wa Serikali. Nilipokuwa mkubwa na mpaka sasa, naona mtizamo wangu bado ni uleule niliokuwa nao nikiwa mtoto, kwamba usafiri wa ndege ni wa...
Hapa ninazungumzia Neno la Mungu la kwenye Biblia.
Wanasaikolojia wanakiri kuwa maneno yana uwezo mkubwa sana wa kumwathiri mtu. Ikiwa maneno ya kawaida yanaweza kusababisha mabadiliko, ni kwa kiwango gani Neno la Mungu linaweza kuleta matokeo yaliyoahidiwa na Mungu Mwenyewe? Kama unataka...
Miongoni mwa changamoto zinazolikabili Taifa la Tanzania na Bara la Afrika lakini pia Dunia nzima ni Ajali za Barabarani pamoja na Foleni za Barabarani.
Ajali za Barabarani husababisha aidha kupoteza roho za watu au kuharibu miili na akili za watu jambo ambalo halitakiwi kunyamaziwa hata kwa...
Hello 👋
Tunatumia usafiri sana sana usafiri wetu daladala, mwendokasi, bajaji nk
Nisikuchoshe kuna tukio nishashuhidia na kusikia nikaishia kucheka mpaka mwisho wa safari
Ya kwaza ilikuwa mwaka 2015 nikiwa kwenye daladala kipindi cha uchaguzi tukifika kituo fulani sasa pembeni kulikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.