Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuufahamisha umma juu ya kusitishwa kwa huduma ya usafiri wa treni ya abiria inayotoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya bara (Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma, Tabora, Mwanza, Mpanda na Kigoma) kuanzia tarehe 28.03.2023.
TRC imesitisha utoaji wa...
Ndugu zangu naomba nitoea pongezi kwa kampuni ya mabasi Ester Express kwa kusikia kilio cha wasafiri hapa nchini.
Kampuni hii imeingiza mabasi mapya ili kurahisisha usafiri hasa mikoani. Hongereni sana.
Mamilioni ya wasafiri nchini Ujerumani leo Jumatatu wanalazimika kutafuta njia mbadala ya usafiri baada ya kushuhudiwa kwa mgomo katika sekta ya uchukuzi.
Viwanja vya ndege,vituo vya mabasi na treni njia za majini kote nchini vinatazamiwa kuwa vitupu kufuatia mgomo huo unaotajwa kuwa mkubwa...
Sasa ni rasmi ile biashara ya Magari madogo kubeba abiria katika mkoa wa Simiyu maarufu kama Mchomoko, imereja rasmi baada ya tarkibani miezi tisa tangu yazuiliwe kufanya kazi hiyo ndani ya mkoa huo.
Hiki ni kicheko na furaha kubwa kwa wananchi wa mkoa wa Simiyu hasa vijana ambao walikuwa...
Na kenge,
Hakuna biashara ngeni lakini unaweza kuifanya bila kuwa na mtaji mkubwa na bila taaluma kama IT au ufundi gereji kama wengi wanavyodhani.
UTAFANYAJE?
Wizi wa vyombo ni tatizo kote duniani sasa kama ni Jobless na unatafta pakuanzia unaweza kutafta mtaji wa kuanzia LAKI 5 NA...
Habari wadau, poleni kwa namna mambo yalivyo sasa maisha magumu na agenda za kipuuzi ambazo shetani anataka kuingiza katika maisha ya binadamu sisi.
Hapa naendelea wakati tunaishi na kujarbu kutatua changamoto zetu za maisha kama kujenga na kumiliki usafiri ambao utatoa point A kwenda point B...
Habari wakuu,
Kama kuna yeyote anayesafiri kwa usafiri binafsi (Noah au gari nyingine yenye nafasi ya kutosha) kutoka Dar kwenda Moshi mchana kuanzia saa tisa siku ya jumatatu tarehe 20/03/2023 na ana nafasi ya watu wawili tafadhali tuwasiliane inbox.
Shukran.
MBUNGE OLIVER SEMUGURUKA ARAHISISHA USAFIRI KUWAFIKIA WANACCM
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera CCM Mhe. Oliver Semunguruka ametoa Pikipiki 8 kwa Makatibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa Wilaya zote za kichama mkoani Kagera.
Mhe. Oliver amesema kuwa amefikia hatua hiyo...
Baada ya mateso ya muda mrefu kwa wananchi wa Mtwara na Mnivita kutokana na changamoto ya ubovu wa barabara, serikali sikivu ya Dkt. Samia Suluhu Hassani imetatua changamoto hiyo kwa kamilisha ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita 50km kwa kiwango cha lami.
Lengo la serikali ni...
Kampuni ya huduma za usafiri kwa njia ya mtandao ya Uber Limited, imetangaza kuresha huduma zake rasmi baada ya kuisimamisha huduma hiyo tangu Aprili 2021.
Kampuni hiyo hiyo iliyositisha huduma zake Aprili 2022, ikipinga kanuni mpya za usafiri wa teksi mtandaoni zilizotangazwa na Mamlaka ya...
Wakuu kama title inavyosema, nahitaji kusafiri kutoka Morogoro kwenda Butiama karibu na chuo cha Mwalimu Julius Nyerere University of Agriculture and Technology, kwa anayefahamu bus ninalotakiwa kupanda, pamoja na routes za kupitia kufika hapo naomba anisaidie please🙏.
Ikiwa sasa unatumia saa 17 hadi 20 angani kwa ndege kusafiri umbali mrefu mataifa kwa mataifa!
Ipo siku wataalam watafanikisha kupata njia nyepesi ya kuitembelea dunia kwa muda mfupi sana wa dakika 20 hadi 25 tu
Nitaieleza dunia kwa mfano wa chungwa!
Kama tulivyowahi kujifunza huko zamani shule...
ABIRIA wanaosafiri kwenda mikoani hususani mikoa ya Kaskazini wamelalamikia utaratibu unaofanywa na mawakala wa mabasi kwa kukataa kuwakatia tiketi za siku mbili au tatu kabla ya kusafiri na kuwataka wafike siku hiyo hiyo ya safari.
Abiria anayetaka kukata tiketi ya siku mbili au tatu kabla ya...
Jamaniiiii eh
Nina plan ya kuanzisha usafiri mtandaoni ambapo kutakuwa na App ambayo mteja ataingia na kuchagua au kupata dereva.
Mfano kama wanavyo fanya ping
Utaratibu huwa upoje
Duniani kote usafiri wa reli ndiyo usafiri wa bei rahisi sana kuliko usafiri mwingine wowote. Malengo makuu ya kuboresha usafiri huu kwa kiwango cha SGR yalikuwa:
~Trip moja ya treni ya mizigo ingaliweza kusafirisha mzigo wa sawa na semi-trailers za malori 500 kwa mara moja, kwa spidi ya 120...
Nigeria jana Jumatatu ilirejesha huduma ya usafiri wa treni kati ya mji mkuu Abuja na mji wa kaskazini wa Kaduna, miezi minane baada ya kusitishwa kufuatia moja ya mashambulizi makubwa zaidi kutokea nchini humo.
Machi 28, watu wenye silaha walitumia vilipuzi kulipua reli na kushambulia kwa...
Habari ya muda huu wakuu wa JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna muda unaweza kupata safari ya ghafla ya usiku kuelekea mkoani, hivyo katika uzi huu tutajaribu kupeana maeneo ambayo utaweza kupata usafiri bila tatizo
DAR- ES SALAAM[Mbezi-louis]
kwa dar ukitoka tu pale stand ya...
Habari za jioni, usiku, mchana na asubuhi. Nimekuwa nikijuiliza sana ni nani alileta huu usafiri wa boda boda, maana nikikumbuka miaka ya nyuma usafiri tegemezi ulikuwa ni dala dala, teksi na gana gana. Ila ghafla zikaibuka maboda boda ambao wamekua kero sana kila sehemu kwa kuendesha piki piki...
Kwa niaba ya Kamati ya Mfuko wa Mafunzo ya TCAA, Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania inakaribisha Watanzania wenye sifa za kuomba mkopo wa mafunzo ya fani ya Uhandisi wa Matengenezo ya Ndege (nafasi 10)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.