Siku chache zilizopita nimetumia muda mwingi barabarani nikitumia usafiri wa Mabasi yanayofanya safari kati ya Dar Es Salaama na Arusha.
Hakika kuna mengi nimeshuhudia yanayokera mpaka unajiuliza ziko wapi Mamlaka zinazotakiwa kusimamia na kutoa miongozo, ina mana hawaoni haya?
Kati ya mambo...
Nimerudi siku chache zilizopita toka UK, nikaenda USA, nikapitia Canada, Egypt, China, Russia, Morocco na Saud Arabia kuna jamaa zangu walinialika kula sikukuu huko. Wadau hivi yale maziwa ya Camel mnawezaje kunywa? Mimi yalinishinda kabisa. Nyama yake huwa nakula mishkaki mara moja moja.
Leo...
Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani.
Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua...
Sam Chui ni mdau maarufu sana wa Safari za Anga jamaa amesafiri na mashirika ya ndege mbali mbali makubwa duniani.
Ndani ya miezi hii miwili jamaa ame tembelea Rwandair + Kenya airways
Jamaa ameonekana ameponda sana huduma za shirika la KQ kufuatia safari hake aliyo fanya kutokea Kenya...
Marekani imetoa onyo jipya la usafiri kwa Urusi ambayo inasema mamlaka "inaweza kuwatenga na kuwaweka kizuizini" Wamarekani nchini humo.
Ikitaja uwezekano wa kuwanyanyasa raia wa Marekani, onyo hilo linarudia wito kwa Wamarekani kutosafiri kwenda Urusi au kuondoka "mara moja". Pia ilionya...
Wapiga debe ni watu wenye vurugu, watu wa kuwapotosha abiria, watu wa kuwaibia abiria, watu wanaofanya bei ya usafiri kuwa kubwa, ni watu wanaoleta kero.
Najiuliza hivi Serikali mnashindwaje kupiga marufuku wapiga debe kutoka kwenye vituo vya usafiri?.
Nawasalimu wana jamii wenzangu.
Nina tatizo la usafiri toka Moshi kwenda Dodoma. Kwa yeyote mwenye connection ya either Lori au gari yeyote ya kusafirisha mizigo ya nyumbani kama sofa, fridge vitanda nk. tafadhali nijulishe. Au ushauri wa njia bora mbadala ya kuhamisha mizigo pia nakaribisha...
Habari nimehamishwa KIKAZI kutoka mkoa wa singida kwenda mwanza , na ninauhitaj kuhama na vitu vyangu vyote kama meza ,vitanda ,sofa , TV ,friji NK ,
Naomba kujua Kwa wenyeji wa singida Mjini wapi naweza nikapata ma FUSO yatakayonibebea hivi vitu vyote Kwa pamoja kutoka hapo singida Hadi mwanza
Shemeji yang nnaemzungumzia ndie yule niliwai mzungumzia siku moja humu jf kwenye Huu Uzi.[emoji116]
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/41201873
Ni kwamba wiki mbili zilizopita alikuja kupata msiba wa mama ake mzazi uko mkoani.
Sasa juzi nikiwa kwa Mchepuko Wangu mama J Akanambia...
Nilibahatika kuja Dar es Salaam kwa safari ya kibinafsi na mojawapo la tatizo la Dar ni usafiri. Kwenye hoteli niliyofikia nikawauliza usafiri utakaonisaidia nikiwa Dar na wakanishauri nijiunge na bolt. Kwa kweli usafiri wa bolt ni poa sana.
Unaweza kusafiri na bolt toka Sinza na kwenda...
Kuna abiria wanaosafiri kutoka Nyamisati kwenda Mafia wamekwama bandarini tangu Jumatatu hadi leo wakisubiri usafiri na hakuna sababu za msingi zinazotolewa, watu wanaambiwa wasubiri.
Sasa wasubiri hadi lini na mazingira ya kule ninyi mnayajua? Watu wana watoto wachanga kule, wahusika mko wapi...
Kampuni ya usafirishaji katika jiji la Dar-es-Salaam (UDART) maarufu kama mwendokasi inatakiwa ijitathmini utendaji wake mara moja kwani huduma ya usafiri wa mabasi haya ni kero kwa wananchi.
Madereva wakifika katika vituo vyao vikubwa (terminal) badala ya kupakia abiria waliojazana kwenye...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeipiga marufuku Linkee kutoa huduma ya taxi-mtandao kwa maelezo kuwa haina leseni ya kutoa huduma hiyo.
Aidha, mamlaka hiyo imewaonya madereva watakaotumia huduma hiyo, huku pia wananchi wakiaswa kutoutumia.
Habarini za asubuhi Wanajamvi,
Kwa wale wa dar poleni na mvua ya asubuhi asubuhi.
Naomba kuulizia usafiri wa bus safi na huduma bora toka Dar hadi Tunduma.
Nina wageni wangu kutoka nje wanataka kusafiri kwenda Tundumba kwa bus.
Nikiuliza bei ya kiroba cha mihogo sokoni niliambiwa ni 70,000-80,000. Inamaana ukiwa na heka tano za mihogo Kisarawe, na una van ndogo inayoweza kubeba viroba vinne kwa siku. Una uwezo wa kuingiza laki tatu kila siku ukipelela mihogo soko la ndizi asubuhi.
Jioni unawapa vijana viroba...
Nahitaji usafiri wa Gari za IT nahitaji niondoke saa 3 usiku na kufika Dodoma saa 12 asubuhi, kuna issue ya saa 2:30
Asante waugwana nimefanikiwa kupata Coster pale Mbezi nimeanza safari saa 4 usiku nikeingia Dom saa 11:00
Nimemalizana na jambo langu nipo njiani kurudi jijini Dar.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.