Amani ya Bwana iwe nanyi,
Tunamshukuru Muumba kwani nchi yetu imejaaliwa kuwa na mito mingi mikubwa kwa midogo, ile ya msimu na isiyo ya msimu. Mito hii licha ya kupendezesha sura ya nchi imeleta pia changamoto za usafiri tokea upande mmoja kwenda upande mwingine.
Nilipokuwa kijana mdogo...
Wizara inayoshughulikia vivuko ndani ya ziwa victoria na Serikali mkoani Mwanza tunaomba mtupie macho wananchi tutakufa.
Hali ya bandari siyo rafiki kwa usafirishaji.
Kwa wasafiri wa kivuko cha KAMANAGA FERRY kutoka Mwanza Kamanga na Sengerema tunatabika sana hiloeneo ni barabarani watoto...
Wakuu mambo vipi? Naona ma PDF yameanza kumwagika, changamoto ya malalamiko ya kwanini Utumishi wako kimya, inakwenda kuisha huku changamoto nyingine zinazotokana na kuitwa zinaanza kuibuka kwa kasi ya ajabu. Hii ni kwa wote, wanaokwenda kwenye Saili mbalimbali na hata wanaowategemea...
Wakuu naomba koneksheni ya kuweza kusafirisha mizigo ya nyumbani kutoka Magu Mwanza kwenda Morogoro. So nahitaji gari ya mizigo inayopita hapa Magu kuelekea Morogoro au Dar..
SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA MATOKEO HASI KATIKA VYOMBO VYA USAFIRI NA MATUMIZI YA SIMU KWA VIJANA WA KARNE HII PAMOJA NA LUGHA YETU.
Sayansi na teknojia imekuwa msaada mkubwa katika karne hii ya 21,kumekuwa na mavumbuzi mengi na ya kisasa,Sayansi na teknolojia imezalisha na kuwaibua wataalamu...
Ninavyoandika hivi kuna Waumini wako (Mabinti na Wamama) wanarandaranda tu Kawe Stendi, Maringo na Ukwamani wakikosa Usafiri hivyo Fisi tuliopo Leo tumepata Nyama za Bure za Kula kwani tutawahifadhi Makwetu na Maghettoni na Kesho watakupa Ushuhuda wa Kubeba Mimba kwani Wengine tuna Mbegu Kali...
Katika nyakati hizi tofauti na nyakati za nyuma kidogo, dunia imejaliwa kufanya gunduzi mbalimbali za sayansi na tekinolojia ikiwemo gunduzi bora kabisa za vyombo mbalimbali vya usafiri ikiwemo pikipiki. Vivyo hivyo kwa Tanzania usafiri huu wa pikipiki maarufu kama boda boda umeleta ufanisi...
Kutokana na hali mbaya ya uchumi, watu wengi tunatumia usafiri wa basi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine. Mabasi ya siku hizi yanakuja na Tv set. Wamiliki wa mabasi haya wana tabia ya kufungua mziki kwa sauti kubwa sana wakidhani labda ni burudani kwa abiria wote waliomo ndani ya basi husika...
Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima.
Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima.
Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
Usafiri wa baiskeli kwa wengi ni kwa kuimarisha afya kwani unapotumia baiskeli unafanya mazoezi. Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta wengi wameamua kutumia usafiri huu kuwafikisha kutoka hatua A kwenda B.
Barabara zetu ni salama kwa atumiaji wa baiskeli? Bila tahadhari hii kutakua na vifo...
Wakuu Krismasi nimepanga kuitest LANDCRUISER PRADO TX kutoka Dar mpaka Johannesburg nipitie njia gani baada ya kuvuka Border? Zambia-Zimbabwe-SA au Mozambique?
NB: Ikumbukwe hii ni Adventure tu vibali/documents zote zimekaa vizuri
CORRECTION: Njia gani nzuri Dar-Johannesburg
Huyu jamaa huwa anatumia syllabus gani...mbona kama namna anaelezea mifumo ya engine na utendaji wa magari ni wa zamani ..
Ni sawa na mm kusoma kitabu cha zaman kinachoelezea namna engine za petrol na diesel zinafanya kazi where utakuta kitabu cha mwaka 70 huko ambavyo ndo vingi vimejaa ma...
Wakuu habari!
Naulizia Kama Kuna mwenye usafiri wa private kutoka DSM kwenda MWANZA ndani ya wiki hii tuchekiane PM,Nina kiasi Cha kuchangia mafuta na ninahitajika kufika Mwanza kabla au siku ya Alhamisi.
Ahsante!
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Tanzania Bw. Makame Mbarawa alisema Tanzania inapanga kutumia shilingi bilioni 468 (sawa na dola takriban milioni 201 za kimarekani) kwa ajili ya kununua ndege tano mpya ili kuhimiza maendeleo ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL).
Mbarawa amesema katika mwaka...
Bilioni 100 za Makamba zitumiwe kufunga mifumo ya gesi kwenye usafiri wa Umma!
Nimekadiria jiji la Dar tu kuwa na dala dala si chini ya elfu hamsini ambazo zinatumia mafuta ya zaidi ya Bilioni 150 kwa mwezi ambazo ni zaidi ya trilioni moja kwa mwaka.
Kuliko kuzipeleka fedha hizo kwenye kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.