usahihi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je Kuna Usahihi Wowote Wa Kisayansi Katika Hiki Anachokisema Huyu Malaika Kupitia Nabii?

    Wakuu niko najifunza kwa kusoma makala za hadithi za Sunnah za waislamu. Haya ni masimulizi ya mtume wao kwa watu wake wa karibu. Lakini nimesoma Sahih Bukhari 3366 Book 60 Hadithi ya 4 (Link:- Hadithi hii hapa) nakutana na hiki kisa kama kinavyoonekana kwenye hii picha. Hapa ni tafsiri...
  2. R

    Inakuwaje unanunua vocha ya simu (scratch card) unaingiza namba kwa usahihi kabisa unaambiwa namba ya vocha uliyoingiza haipo?

    Hili limeshanitokea mara kadhaa matokeo yake naishia kutupa vocha na kuweka nyingine. Siku hizi huwa sinunui sana vocha za kukwangua nanunua tu bando kwa mtandao. Leo nimekuta vocha ambazo nilikuwa nimenunua kitambo na huwa mara nyingi inakuwa kwa ajili ya msichana wa kazi. Nikataka kuingiza...
  3. Siri ya kuomba Mungu kwa usahihi ili upate majibu

    Kuna dhana ipo katika watu wengi kuangaika kutuma maombi yao kwa Mungu (ulimwengu wa kiroho) ili kuweza kupata majibu ya maombi yao. Tatizo ni jinsi ya kutuma maombi. Shida kubwa kwa watu ipo katika namna ya kuongea na Mungu/ulimwengu kwani wengi hawajapewa siri ya kuongea na muumba wa kweli...
  4. Kufa Kidogo Ili Kuishi Zaidi: Tafakuri Dawa Kama Sumu Iliyopimwa Kwa Usahihi

    Health Je, wewe ni mganga wa jadi? Mfamasia? Au labda mtafiti unayetafuta tiba kubwa inayofuata kwa ugonjwa wa kisukari, unene uliopitiliza, au magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanayohusiana na mtindo wa maisha? Je, umechoka kutafuta? Inawezekana majibu yako hayako katika molekuli mpya, bali...
  5. Tupambane na tusikate tamaa lakini tusichoshwe na usahihi

    Kwa nini kuchoshwa na usahihi? Mara nyingi kuna watu ambao huwa na msimamo wa mambo wanayoyaamini. Mfano: Kuna binti mmoja alikuwa anasoma katika shule ya upili(secondary) na lengo lake lilikuwa ni kupata elimu bora ili awe na maisha bora na akawa akiamini kwamba endapo atasoma kwa bidii...
  6. D

    Swali la Mbunge Ruhoro kuhusu malipo ya wastaafu halikujibiwa kwa usahihi

    Katika kikao kinachoendelea bungeni Mbunge Ndaisaba Ruhoro wa Ngara alihoji kuhusu maboresho ya pensheni za wastaafu kutokana na kupanda kwa hali ya msisha. Naibu Waziri Katambi kajibu kwa hoja za actuarial science na eti mapitio ya pensheni hufanyika kila miaka 3. Ukweli ni kwamba ktk kipindi...
  7. Usahihi wa Maamuzi unategemea Usahihi wa Taarifa, na kinyume chake

    Parable 02|15-16/24| Katika mazingira yakudadisi au kulichambua jambo fulani( ni kama tulikua tuna fuatilia kanuni/taratibu/sheria/sera flani flani) . Sehemu ile tulikua watu zaidi ya wawili, tulilichambua lile swala uchambuzi ukaonyesha tuko sahihi na hasa mkuu Wa idara alioneshwa kuamini...
  8. Usahihi ni upi katika vyeo vifuatavyo vya kisiasa

    Cabinet- Kwa nini ni Baraza la Mawaziri na sio Baraza la taifa la uongozi wa nchi? Ministry of Finance- Kwa nini inaitwa Wizara ya Fedha badala ya Wizara ya hazina kuu ya kitaifa? Secretary of State(US)- Kwa nini media huwa zinamuita Waziri wa mambo ya nje badala ya Katibu wa taifa wa mambo ya...
  9. Endelea zako tu Kupumzika kwa Amani Hayati Robert Mugabe hukuwa na Baya na hapa Umenena kwa uhakika na usahihi wote

    Ask your girlfriend to visit you, she will say 'she doesn't have money for transport' but if someone tells her that you are with another girl at the hotel. She can even hire a private jet to follow you. Chanzo: Robert Mugabe Hilarious Quotes Sasa kama Mkongwe kabisa Hayati Robert kamaliza...
  10. Bodi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Umoja wa Ulaya yasema Chat GPT bado haifikii viwango vya usahihi wa Taarifa

    Juhudi za openAI za kupunguza matokeo yasiyo ya kweli kutoka kwenye chatbot yake ya ChatGPT yamegonga mwamba kwa sheria za data za Umoja wa Ulaya Jopo la wachunguzi lililoundwa kwaajili kufuatilia usahihi wa taarifa za ChatGPT imesema "Ingawa hatua zilizochukuliwa ili kuzingatia kanuni ya uwazi...
  11. Ni sahihi kumpa mtoto uliyemuasili hadhi ya uzaliwa wa kwanza?

    Inafahamika kuwa unapokuwa umemuasili mtoto Kisheria, anakuwa na haki zote kama watoto wako wa damu. Kuanzia majina, urithi na haki zinginezo za watoto wa kwenye familia. Kama jina lako ni Mapema Akili, na mtoto uliyemuasili anaitwa Sahihi, majina yake kamili yatasoma Sahihi Mapema Akili...
  12. Filamu Zilizotabiri ‘Future of Humanity’ kwa Usahihi

    "Hakuna mwenye uwezo wa kutabiri mambo yatakayotokea wakati ujao kwa usahihi isipokuwa Mungu pekee". Hivyo ndivyo wanasema, maana yeye pekee anatambua mwanzo na mwisho wetu. Wataalamu wengi wamejaribu kufanya hivyo, wengi wameaibika na wengine kuapa kabisa kamwe hawawezi kuja kutabiri, baada...
  13. Pre GE2025 Kupigia kura mtandaoni: Urahisi, Usahihi, na Ufanisi katika Mchakato wa Uchaguzi

    Kupigia kura mtandaoni imekuwa njia yenye urahisi mkubwa katika michakato ya kupiga kura kipindi cha uchaguzi, baadhi ya nchi haswa za ulaya, nchi za Baltic kama vile Estonia, zimetumia njia hii tangu mwaka 2005. Hii njia inapunguza kupoteza muda ikilinganishwa na mfumo wa kura za jadi...
  14. Usahihi Kuhusu Nembo Anayotumia Rais Samia Suluhu

    Je ngao/nembo ya Taifa imebadilishwa? Ni moja kati ya maswali ambayo yanaulizwa sana na wadau wengi wakitaka kufahamu kuhusu nembo inayoonekana kwenye mimbari (podium) ya Rais wa Jamhuri ya Muungano katika siku za karibuni Kimsingi ile si ngao ya taifa bali ni alama ya bendera ya Rais au kwa...
  15. Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

    Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa. Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo...
  16. Mahakama ya Rufaa inaenda kupitia upya usahihi wa haki ya raia wa kigeni kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi

    Unakumbuka ile kesi ambayo Mahakama Kuu ya Tanzania iliamua kwamba Raia wa Kigeni wanaweza kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi (where High Court ruled that non-citizen heirs could own land by way of inheritance)? Uamuzi ambao ulitolewa na Mahakama Kuu mwaka 2011. Lakini serikali...
  17. R

    Sayansi imeshindwa kutabiri kwa usahihi matetemeko ya ardhi?

    Huwa kila zinapokuja hizi habari za matetemeko ya ardhi swali hili hunijia akilini. Ni juzi tu huko Uturuki maelfu ya watu wamekufa kutokana na tetemeko la ardhi. Sayansi ya maumbile ya dunia (Geology) imeshindwa kubashiri na kuepusha janga linalotokana na mitetemo ya ya dunia?
  18. Rais ndiye anajua kwa usahihi miradi itaisha lini na kiwango cha uchumi wa taifa letu

    Rais ndiye anatafuta pesa zote za miradi na kujenga uchumi wetu. Hivyo ni yeye ndiye anajua kwa undani zaidi ukamilikaji wa miradi na level ya uchumi wa taifa letu. Tuwe makini kumsikiliza Rais wetu anapohutubia.
  19. SoC02 Jinsi ya kuutunza na kuutumia muda kwa usahihi ili ufanikiwe kutimiza malengo mbalimbali uliyojiwekea?

    Kila mtu katika maisha ana malengo yake ya kimafanikio, yanaweza kuwa mafanikio ya kiuchumi, kisiasa, kielimu au katika nyanja nyingine zozote za kijamii. Lakini watu wengi hushindwa kutimiza malengo yao kama vile walivotarajia kutokana na sababu tofautitifauti, ikiwemo matimizi mabaya ya muda...
  20. A

    Ijue afya ya udongo ili utumie mbolea kwa usahihi

    1. Afya ya udongo ni nini? Afya ya udongo ni uwezo wa udongo kukidhi mahitaji ya ukuaji na uzalishaji wa mimea kama vile: virutubisho, maji, hewa pamoja na uwezo wa udongo kushikilia mmea 2.0 Virutubisho 16 muhimu kwa ajili ya ukuaji wa mmea A. Virutubisho vinavyohitajika na mmea kwa kiasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…