Kesho rasmi walimu wanaanza usaili, na usaili huu utaendelea hadi tarehe 24 mwezi wa pili. uzi huu umeandaliwa mahsusi ili kuwa jukwaa la kushirikiana mawazo, maswali mliyokutana nayo, changamoto mlizopitia, na uzoefu wenu wa mtihani.
Lengo ni kuwasaidia wenzetu wanaotarajia kufanya usaili huu...