Zimebaki wiki mbili kabla ya pre season ya Man Utd ianze mwishoni mwa mwezi huu lakini mpaka leo hakuna usajili wowote uliofanyika.
Mashabiki wa Man Utd wana matumaini makubwa sana Kocha mpya wa Man Utd, Eric Ten Hag (ETH), lakini matumaini hayo yanaweza yakayeyuka kama hatopewa/kusajiliwa kwa...