Habari za asubuhi wakuu. Ni matumaini yangu kwamba hamjambo humu ndani.
Wakuu bila kupoteza muda ni kwamba leo asubuhi nikiwa tumelala, mpenzi wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa tano aliniomba nimsaidie kutengeneza simu yake kwa sababu ilikuwa na matatizo katika upande wa WHATSAPP...
Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kifo cha Magufuli kimeleta kipindi cha mpito chenye wasiwasi ila Rais Samia Suluhu ameanza vizuri kuendeleza yale aliyoacha Rais na kufanya marekebisho na mashahihisho pale panapostahili
Makamba ameongea kauli za kutiliana shaka, utengano, kuhukumiana...
Watu hawa wameandaa au kuandaliwa mjadala wenye maudhui ya usaliti kwa Hayati Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli.
Nimewashangaa wataalamu hawa wa tiba ambao hawana weledi wala uzoefu wa maswala ya chanjo kujivika joho la utaalamu na kuongelea chanjo ya covid 19 Tanzania.
Kwa ufupi hawajui...
Habari ndugu zanguni,
ni miaka mitatu sasa tangu niingie kwenye ndoa, toka mwanzo wa mahusiano na mke niligundua tabia ambayo sikuipenda ,mke wangu alikuwa bado anawasiliana na ndugu wa ex wake hasa dada zake na mamake yake yaani kwenye mambo ya kifamilia/sherehe watamshirkisha japo yeye na...
Sikupata jibu na niliwaza sana kilichompeleka Maalim Seif Ikulu kukutana na Magufuli ni nini?
Niliwaza sana, nikamlinganisha kitendo hicho na say, Museveni kukutana na Bobi Wine, his main rival au enzi hizo PW Botha kukutana na Mandela kwa faragha. Watu wasingelielewa.
Kumbe usaliti wa Maalim...
Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa, Miji na Miji Midogo ndiyo waliopanga na kupangika kwa mipango iliyoiwezesha CCM kushinda kwa kishindo. Wao ndiyo walioratibu taratibu bila tabu mbinu zote za ushindi wa CCM kwa mwamvuli wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Wakurugenzi ndiyo walipokea maagizo ya...
ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu.
Tumetoka katika uchaguzi uliofanyika tarehe 28 ya mwezi Oktoba, uchaguzi ambao ulitawaliwa na uchafuzi mkubwa...
Tukubali ama tukatae, ukweli ni kwamba, CHADEMA haikuliangalia suala hili la kina Mdee na wenzake Kwa umakini kama chama
Hoja ya kina Mdee ni kwamba! waliapa kulitumikia Taifa kama wabunge wa kuteuliwa kwa sababu ipo barua iliyotoka Kwao CHADEMA yenye Baraka zote ya wao kufanya hivyo!
Ndugu...
Leo baraza la vijana wa CHADEMA Taifa limetoa msimamo kufuatia wabunge 19 ambao wamekwenda kuapa bungeni kinyume na msimamo wa chama.
MWENYEKITI: BAVICHA tulikutana katika kikao chetu tulichokifanya kwa njia za kidijitali kujadili mustakabali wa chama chetu kufuatia kadhia hii iliyotokea katika...
Katika uchaguzi huu uliopita wa 2020, CHADEMA walitegemea sana nguvu ya Mwanamke.
Cha kushangaza, CCM ambao kwa miaka mingi walituaminisha kuwa Mwanamke wa Kitanzania ana ushawishi mkubwa katika siasa zetu, walionekana kutojali kabisa nguvu ya Mwanamke, labda Zuchu tu.
Wagombea Wanawake nafasi...
Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana.
Yafuatayo ni maelezo kwenye mkutano huo kuanzia mwanzo...
Nidhamu katika taasisi yeyote ile ni jambo la msingi sana, iwe sehemu ya kazi iwe jeshini, kwenye biashara, pesa zako bila nidhamu huwezi kufanikiwa.
Kiongozi anapoenda kinyume na maamuzi halali ya taasisi ni aidha anajiuzulu au anafukuzwa. Halima Mdee amekiuka maamuzi halali ya Kamati Kuu...
Nimeona viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakitaka Tanzania iwekewe vikwazo baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu uliopita.
Mimi ninauhakika Tanzania haijafikia hatua ya kuwekewa vikwazo vya kiuchumi kwani hao wafadhili wanajua moja kwa moja mwananchi wa kawaida ndio atakayeumia na vikwazo...
Kuna habari zina-trend mitandaoni kuwa kuna kundi la wanawake wa CHADEMA lipo kwenye harakati za chini kwa chini kula njama za kwenda Dodoma kula kiapo cha kuingia bungeni kwa viti maalum.
Kundi hilo linajumuisha wanawake wenye majina makubwa makubwa ndani ya chama hicho, waliojijengea heshima...
Hakuna kitu kinauma duniani kama kugeuzwa mbuzi wa kafara.
Walichofanyiwa Kessy na Ghasia huenda kikawa kichomi kimoja kibaya sana kwenye maisha yao yaliobaki hapa duniani.
"Kwanini mimi? Kwanini mimi? Yaani ina maana sina thamani kiasi hicho mpaka wanitose mimi baharini? Yaani kati ya viti...
Ni wazi Wala Bila Shaka kwa Sasa CHADEMA na ndugu zake wamepata matunda ya usaliti wao kwa wananchi.
Msimtafute mchawi hali ya kua mmejiroga wenyewe kwa matendo yenu kwa wananchi na Wala msiangalie mlipoangukia,rudini Sasa muangalie mlipo jikwaa.
Wanachi wengi wamekata tamaa na nyinyi kiasi...
Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene
======
Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje?
Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
Wakuu habarini za kazi, poleni majukumu na shughuli za hapa na pale katika kujitafutia mkate wa kila siku na imani mko vizuri.
Tuingie kwenye point, kiukweli mimi ni kijana wa miaka 25 nimekuwa member wa muda mrefu sana wa JF toka nikiwa na miaka 21 katika kusoma comments za watu mbali mbali...
Nampenda Jay kwasababu anaimba na kuandika maisha yake halisi.
Ukisikiliza nyimbo yake ya You Must Love Me na Kill jayz, amewahi kutaja kisa cha kumpiga risasi kaka yake, akiwa na umri wa miaka 12. Walipitia maisha magumu na familia yake na ni msimu ambao hata baba yake aliitelekeza familia...
Mlihama CUF na CHADEMA kwa mbwembwe sana kuhamia CCM. Mkatupa karata zenu kuwania Ubunge. Sasa mmeshindwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Tena mmepigwa 'kipigo cha mbwa koko'.
Sasa mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao waliowapita kura za maoni na waliowakataa kupitia kura zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.