usaliti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baraka Mina

    Ikulu, Dodoma: Humphrey Polepole na Waziri Kindamba waapishwa

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan anawaapisha viongozi aliowateua kama ifuatavyo: WAZIRI KINDAMBA WAZIRI...
  2. demigod

    Kwanini ni rahisi kwa Mwanamke kusamehe usaliti kuliko Mwanaume?

    Habari wana jamvi? Kama mada inavyojieleza hapo juu. Napenda kufahamu kwanini Mabinti wengi wanao nipata nikiwacheat ni wepesi sana kusamehe na kusahau kuliko mimi ambaye nikimkuta binti ana makando kando huwa ni mara moja anapotea katika ulimwengu wangu. Yaani hata nijaribu vipi kumpenda tena...
  3. kibenten

    Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

    Nipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja. Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30. Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia...
  4. chaz beezz

    Mke wangu tangu abebe ujauzito hana hisia za kimapenzi. Nateseka sana

    Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano). Nimetumia njia nyingi Sana za kumshawishi kutengeneza mazingira ya kupata Raha ya penzi lakini wapi hugoma kabsa tuwapo...
  5. S

    Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

    Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi. Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni ujinga wa kujitakia. Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu sasa yapata miaka mitatu. Imefikia hatua...
  6. Kichwamoto

    Mtazamo wangu kuhusu Usaliti wa wake za watu katika Ndoa

    Amani ya Bwana iwe baby I! Nawasilisha mtazamo Kwa nini tunaoa au kuolewa na je ni kwa namna impendezayo Mungu? Kwenye jibu hapana hilo tarajia usaliti utokee. Pilau ya nyumbani huzoeleka na pilau ya harusini haizoeleki. Na hii mazoea ni katika himaya ya shetani kifikra na kimatendo. Historia...
  7. M

    Zitto amezidi kuwachefua Watanzania

    Nakumbuka kabisa alifanya usaliti mkubwa sana kukivuruga CHADEMA kikiwa na nguvu kubwa kiasi Cha kutaka kukamata dola. Akawa anakula rushwa na kuvuruga chama Kwa kufanya uzandiki. Leo hii anatumika kuhujumu Watanzania wasipate katiba mpya kisa tu ACT Wazalendo ni vibaraka wa CCM na yeye...
  8. Equation x

    Wengi tunaishi kwenye ndoa kwa kuvumiliana tu

    Kwa mtu aliyezoea kuchepuka hawezi kuacha hiyo tabia kirahisi, kwa sababu kwenye mahusiano kila mmoja huwa na sifa ya kipekee ambazo hazifanani na mwingine; kuna mwingine ni mchangamfu sana, mwingine anajua sarakasi za kila namna, mwingine ana ladha tofauti, wengine wanajua ku-handle n.k...
  9. jingalao

    Ni Usaliti kwa mwanaCCM Kumpuuza au kumbeza Humprey Polepole

    Ni fact kuwa tulipokuwa tunaelekea uchaguzi wa mwaka 2015 CCM ilikuwa hoi bin taabani katika taswira yake kweye jamii. Alihitajika mwamba wa kuikomboa. Nampongeza Mhe Jakaya kwa kutulutea JPM ambaye aliiheshimisha CCM. Katika harakati za kampeni Magufuli alikiri kuwa wapo wana CCM waliokuwa...
  10. Muuza simu used

    Ulishawahi kutokumuamini mpenzi wako japo hajakuonesha dalili yoyote ya usaliti?

    Yaani una date na mdada fulani hajawahi kukuonyesha dalili yeyote ya kucheat wala hujapata aina yeyote ya ushaidi lakini moyo wako haumwamini hata kidogo unahisi tu sio mwaminifu, anaweza kuwa na simu yake mara kwa mara ukapekuwa kila kitu na bado tu moyo wako ukakwambia hapana kuna kitu hakipo...
  11. April26

    Usitumie usaliti kama suluhisho

    "USITUMIE USALITI KAMA SULUHISHO" Elewa tabia za kudanganywa na mpenzi wako. Watu hudanganya kwa sababu nyingi na sio kila wakati kuhusu ngono. Wakati mwingine watu hudanganya (usaliti) kwa sababu wanatafuta uhusiano wa kihisia, kujaribu kukabiliana na hasara au migogoro au kutafuta ku escape...
  12. Liverpool VPN

    Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

    Eeeh bwana ehh ni Mimi Mr. Liverpool Tena. Weekend hii tumempiga Manure na nyundo Kali sanaa mpaka kapoteana.!! Sasa jiulize ile ilikua Old Traford, je wakija Anfield..!!! Turudi kwenye mada .... HIVI KWANINI HAMSIKII NIKIWAAMBIA MSIOE ??😳😳😳 Sasa Kuna mwenzenu yamemkuta huku ...
  13. MulegiJr

    Uzalendo, Itikadi za vyama na Usaliti

    Sitamani kuingia ndani Sana katika maana ya maneno matatu hapo Juu, #Uzalendo ni dhana ya mtu kusimama kwa ajili ya Taifa lake na si kwa maslahi ya kikundi au yeye mwenyewe. #Itikadi ya vyama vya siasa ni Mlengo wa uendeshaji na usimamizi wa Mwenendo mzima wa utawala, imani itegenezayo mifumo...
  14. Mchokozi wa mambo

    TARURA huu ni uhuni na usaliti kwa kata ya Kitunda, Mzinga na maeneo jirani

    Kwakweli inasikitisha kweli kwa kinachofanywa na TARURA katika barabara za Kata ya Kitunda, Mwanagati na maeneo jirani na kata hizo naweza kusema ni uhuni na kutukosea wananchi. Wameweka bango kubwa la ukarabati wa barabara na kushangaza wamepitisha greda na kumwaga kifusi cha vumbi. Hata kama...
  15. Miss Zomboko

    Shinyanga: Mume aua mke wake kwa Panga akimtuhumu kusaliti Ndoa yao

    Mwanaume anayejulikana kwa jina la Heneriko John (53) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, amedaiwa kumuuwa mke wake Regina Jiyenze (45) kwa kumkata mapanga kichwani na mabegani, kisha kujisalimisha kwa Jeshi la Polisi. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga George Kyando, amesema tukio hilo...
  16. mchakavumlasana

    Wanawake, mnaponyaje maumivu ya kusalitiwa na wenza wenu?

    Habari za jioni. Swali kwa Wanawake, mnawezaje kupona maumivu ya usaliti? Mnawezaje kurudisha ule upendo ulioisha mioyoni mwenu? Umeolewa, mna zaidi ya miaka 15, jamaa matukio ya hapa na pale, zaidi akaanza dharau. Mnasuluhisha maisha yanaendelea ila sasa anakuwa amekutoka tu rohoni...
  17. Abraham Lincolnn

    Niliingia kwenye mahusiano na binti wa miaka 19

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja,Ambaye tulikutana akiwa na miaka 18 nikiwa nimemzidi miaka 12 tukaishi naye pamoja (pika pakua) mpaka alipotimiza miaka 19 mapema mwaka huu.Naweza kumsifia kuwa ni binti ambaye hakuwa na makuu wala tamaa maana alinikubali na maisha yangu...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ushuhuda wenye funzo kwa wanawake *Majuto ni mjukuu*

    MAJUTO NI MJUKUU Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata siku moja, hakuniuliza nini wala nini, alinpa uhuru wa kutosha, nikiaga naenda mahali anasema nenda, hata kama narudi saa...
  19. J

    Is she still in love au nipo pending?

    Habari wanazengo Nipo na gal tumedate since high school lakn recently nmekuja kugundua anaongea na mchizi mwingne na mchizi yupo very close na dogo.. nmejaribu kumkanya lkn naona dogo yupo attached. Lakin kila ntakacho ananipa.. except to unajua mnshare romantic moments and presence na mshikaj...
  20. Nigga What

    Wanawake kuweni makini

    Kuna rafiki yangu wa karibu ameanza kuhangaikia talaka baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka mitatu. Amejaaliwa maisha mazuri kiasi na mwanamke mzuri sana ambaye amepata nae watoto wawili. Kisa cha bwana huyo kuhangaikia talaka ni mwanamke kumsaliti na mwanaume mwingine ambaye amethibitishwa...
Back
Top Bottom