usaliti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

    Habari wana JF. Leo na leta kisa changu hiki kilichonitokea, nina miaka 38 sasa. Ni Baba wa watoto 2 nilizaa na wanawake wawili. Wa kwanza mke wangu wa pili niseme kama mchumba tuu. Miaka kama 12 hivi iliyopita nilikutana na mdada mmoja kanisani, nilimpenda kwa muonekano wake hasa mavazi yake...
  2. Kamanda Asiyechoka

    WanaChadema, kama maridhiano ni kuwa CCM watatupa wabunge ili wao waendelee kutawala, huu ni usaliti

    Yaaani kumbe tunawaza matumbo yetu tu? Tunawaza kuingia bungeni ili baada ya miaka mitano tuwe na mafao ya kumaliza ubunge na kusepa. Lakini sio kuwa na uchungu na taifa letu. Sio kuwa na uchungu na namna watanzania wanavyoonewa. Hata 2025 sidhani kama tutapata huo Ubunge.
  3. M

    Usaliti wa kisiasa: Ukraine wameuona zaidi kuliko pengine

    Kwenye kampeni ya kuomba kuchaguliwa kuwa rais Zelensky alisema hivi: “Our first priority is a ceasefire [in Kiev’s war with the Donbass]…I would not hesitate to lose my position for the sake of peace.” Yaani "Kipaumbele chetu cha kwanza ni kusitisha vita (kati ya majeshi ya serikali na...
  4. S

    Kama unaamini wanawake hawajui kwamba matokeo ya kukamatwa wakicheat hayalingani kati ya wanaume na wanawake, basi unaidanganya nafsi yako

    Wanawake ni wenye ujasiri sana. Watadhubutu kukupa changamoto katika maeneo mengi, ili kujaribu jinsi unavyokuwa dhaifu au imara. Wanajua wanachofanya na watakusukuma hadi kufikia hatua ambapo utaanguka na bado kukataa kuwajibika. Mwanamke ambaye anafungua miguu yake kwa mwanaume mwingine...
  5. Mzalendo Uchwara

    Uchapakazi wa Hayati Magufuli pamoja na usaliti ya viongozi wa CHADEMA umekimaliza chama

    Ndugu wadanganyika wenzangu, Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya mwaka 2015 pamoja na mambo mengine, ilikuwa na mambo yafuatayo; 1. Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa kwa kuzingatia maslahi ya nchi. 2. Kuboresha bandari zilizopo na kujenga mpya kama vitega uchumi vya...
  6. Pang Fung Mi

    Bikra siyo chanjo ya kuchapiwa

    Wasalaam JF, Mtengeneza njia ni mmoja kwa matumizi ya walio wengi. Mwanakulianza ni mwanamajumui wa kugawa upendo. Ulivyopewa wewe bila mbambamba hata bustani ya Eden nyoka aliwekwa kwa tafsiri yake. Tuwasifie na wanaotupokea vijiti upele. Wameupiga mwingi. Wadiz
  7. Hemedy Jr Junior

    Usaliti na mauaji katika mahusiano

    Inauma sana ukipata taarifa kuna mtu kajiuwa kisa (Mapenzi) siwezi kujaji sana maana kuna watu wanapenda mpaka wanakuwa addicted like(Mdogo angu) Kabla ujasalitiwa jiulize swali, mapenzi nini? swali la pili Je, upo sehemu sahihi, yaani uliyenae ndo chaguo lako au kuna mmoja alilazimisha nafsi...
  8. Makonde plateu

    Wengine wakifurahia Valentine's Day, mimi naugulia maumivu ya kuchapiwa

    Daah maisha siyo fair na wala hayajawahi kuwa fair hata kidogo na hayatawahi kuwa fair hata kidogo as long as tunashaishi wacha tuendelea kuhustle. Si maana yaani bwana mwingine anacheka na wengine wanafurahi, yaani sio poa kabisa. Si mnakumbuka story yangu ta jana baada ya manzi wangu...
  9. SPACE CADET

    Kwa mambo haya mnataka tuoe kweli?

    Hiki kisa nimekichukua FB asee Mimi ni mama wa watoto 2 mimi na mume wangu tulikua vizuri shida ni huyu mwanaume ambaye niko naye. Nimfanyakazi mwenzangu na ni mume wa mtu. Mwanzo mahusiano yalikua ya kawaida tu tunafurahiana lakini baadaye nikajikuta naanza kumpenda nikabeba mimba yake na...
  10. Analogia Malenga

    Raila asisitiza kutomtambua Ruto kama Rais, awaambia wabunge wa Azimio 'Usaliti hautavumiliwa'

    Kiongozi wa Chama cha Azimio la Umoja, Raila Odinga amesema umoja huo hautamtambua Rais Wiliam Ruto kama Rais wa Kenya. Odinga ametoa ujumbe kuwaonya wanachama wa umoja huo kuwa hawatavumiliwa kwa usaliti wa kumtambua Ruto kama Rais. === Azimio la Umoja One Kenya Coalition party leader Raila...
  11. Infinite_Kiumeni

    Sababu 6 kwanini wanawake/wake za watu hutoka nje na kufanya mapenzi na wanaume wengine

    Kwanza ijulikane kuwa kuna aina mbili za wanawake, wanawake wanaojiheshimu, wanaojithamini na kutunza utu wao kwenye jamii (wife materials) na wanawake wengine wote waliobaki. Wanawake wengine waliobaki ni rahisi kukusaliti kwa kuwa haridhiki, hawa ndio wale tunaambiwa tusioe/ tusitengeneze...
  12. ITR

    Wanawake uzinzi una gharama kwenu kuliko wanaume

    Kwanza niseme uzinzi si kitu kizuri kwa jinsia zote ila mwana mke ana athirika kwa kiasi kikubwa kutokana na maumbile yake. (1)Kwanza nianze kwa kusema kuwa wanawake wazinzi ni mabingwa wa kutoa mimba yaani ni wauwaji na magaidi ,kama ww umetoa mimba huna tofauti na boko haram. (2) Wakati ww...
  13. Jbst

    Mapenzi ni upuuzi

    Nimegundua kwa mara ya pili mapenzi ni upumbavu na upuuzi tu, yalishanikuta mara ya kwanza nikapuuzia na hii mara ya pili nathibitisha ni upuuzi tu! Baada ya siku kadhaa kuwakejeleli watu hapa JF waliokuwa wakilialia kipuuzi kuhusu mapenzi na mimi yamenikuta aisee! Unampenda mtu na kumjali na...
  14. SaulGoodman

    Wanawake wakiwa na hasira ni raha!

    Guys I hope you're doing just fine, and so do I. Basi bana kama ilivyo ada leo nina jambo la ku share na ninyi especially wanaume wenzangu. Wanawake bwana wakiwa hana hasira ni raha mpaka nashindwa kuelekeza. Niende sasa kwenye kisa kilichonikuta kitambo kidogo wakati niko chuo. Kulikuwa na...
  15. 44mg44

    Hali ya kutokupenda ujulikane wewe ni kabila gani maofisini ni uzalendo au ni usaliti?

    Mnaofanya Kazi katika ofisi za Uma na za private lazma mtakubaliana na mim kuwa Kuna watu huwa hawataki wajulikane kuwa yeye Ni kabila gan,mfano watu wa Kanda ya ziwa waliobahatika kusoma na kuajiliwa kwenye ofis za Uma huwa hawapendi wajulikane walikotoka. Wanawake wa Kisukuma ndo wanaongoza...
  16. KAKADO

    Nukuu ya Baba!!Watanzania tumejifunza Usaliti practical nyakati za Magufuli na Sasa!!

    Huhitaji kusoma biblia wala kusoma msaafu kuelewa Usaliti wa Wanadamu,tunasoma kuelewa zaidi neno la Mungu lakini kwa Usaliti tayari tumeonyeshwa kwa vitendo,Viongozi wakuu wa na washauri wakuu wamekuwa wasaliti wakuu kwa maslahi yao na vizazi vyao,Kwa Siasa za Tanzania Ukitaja Neno Magufuli...
  17. kilamba lamba

    Unawezaje kustahimili usaliti wa kimapenzi?

    Habarini wana jamvi. Natumai mu wazima wa afya kabisa. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama kichwa cha habari kilivyosema. Wewe kama binadamu uliyekamilika kifikra na kihisia, unawezaje kustahimili usaliti wa kimapenzi wa aina yoyote. Uwe wa text, kushuhudia kabisa au kwa kuambiwa. Ni swali...
  18. R

    Nimejifunza mengi kutoka kwenu, lakini bado nahitaji ushauri

    Hello JF members, Ilibaki kidogo tu nijiengue ndani ya JF baada ya kupondwa na wengi kuhusu tatizo langu lililousumbua moyo wangu, lakini ntafanya nini, sikuwa na mtu wa kumlilia, ndo maana niliamua kuanika dukuduku la moyo wangu kwenu nikiamini ningepata kutiwa moyo, lakini ilikuwa tofauti...
  19. Sheffer95

    Wanawake huwa mnajisikiaje katika hili?

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwaajili ya siku ya Akina mama wote, pili niwashukuru wanawake wote kwa mioyo yenu ya upendo, uvumilivu, kujali na kila kitu. Ninyi ni mama, dada,wadogo pamoja na wake zetu Ni hivi huwa mnajisikiaje pale tunapokuwa tumewadanganya na majanga yakatukuta na ikabidi...
  20. Kamanda Asiyechoka

    WanaCHADEMA mmesahau usaliti na uroho wa pesa aliotufanyia Zitto miaka ile kisa tu anamchafua hayati JPM?

    Mmesahau ile miaka chama chetu kilivyokuwa na nguvu kiasi cha kutaka kukamata dola? Zitto kwa tamaa ya pesa akatusaliti na kuanza kuweka mamluki ili tusipate ushindi. Mmesahau alivyohongwa na watu wa CcM na kuharibu chama chetu mpaka tukamtimua? Huyu ni mtu anayejali pesa na matumbo yake. Kwa...
Back
Top Bottom