Hivi karibuni, Marekani imefanya kila iwezalo kwa kisingizio cha “usalama wa taifa” kuidhoofisha kampuni ya teknolojia ya Huawei, hata kuikashifu kuwa “mkiukaji wa haki za binadamu” na kutangaza kuweka vikwazo vya visa dhidi ya wafanyakazi wa Huawei. Lakini je, nani anayetishia zaidi usalama wa...