used

  1. Wana Teknolojia nina Swali: Bora kununua mid-ranger smartphone mpya au flagship used ya miaka 2 iliopita?

    Nna swali kidogo. Kwa mwaka huu mfano 2024, ukawa una Million 1 tu ya kutumia kununua simu. Ni bora kununua hizi simu za uwezo wa kati (mid-rangers) mfano Samsung Galaxy A55 mpya kabisa…au ni bora kwa gharama iyo iyo ukanunua flagship (high performance smartphone) ila used ya miaka miwili au...
  2. O

    Nani aniuza printer yenye uwezi wa kuprint a3 used lakini mfukoni Sina pesa ndefu yaani mamilioni

    Mwenye printer used inkjet yenye uwehio karibu
  3. Naenda Dar kununua pikipiki used mbagala zakhiem nina kesh ya 1.2m

    Wakuu msaada kwa wazoefu wa dar tafadhali kuna jamaa najiita mwanapunda org. Ni kampuni maaulumu ya kuuza na kununua pikipiki. Kuna chuma 1 inauzwa m. 1 nimeona kunitumia wanaweza nibadilishia pikipiki. Kimbembe wakati wa kurudi nisaidieni usafiri mzuri wa kuipakilisha pikipiki yangu TVS...
  4. "Religion should be used to maintain peace, when it gets involved in Political it can confuse believers"

    The Deputy Speaker of the Parliament of the United Republic of Tanzania, Mussa Azzan Zungu, has called on the Ahmadiyya Muslim Community to continue collaborating with society to maintain peace in the country and to avoid individuals with personal grudges who aim to disrupt peace. Zungu who is...
  5. A

    Tunauza Photocopy machines Canon Ir 2525i Used

    Tunauza Photocopy machines Canon Ir 2525i Used Bei ni 2,500,000/- kwa moja Tupo Zanzibar, tunaweza tuma Dar na hata mikoani ila gharama za utumaji zitakuwa juu ya mnunuzi.
  6. Natafuta amplifier used nina 150,000

    Wakubwa nina 150,000 mwenyewe anayo AMPLIFIER used nataka kuitumia kwenye movies library office.
  7. Nahitaji Starlet Used

    Habari wakuu Nahitaji starlet used ,iwe kwenye hali nzuri. Niko Kibaha Maili moja piga 0713 039 875
  8. M

    Anaejua soko la simu used bei kitonga

    Nataka kuanza kuuza simu used, anayejua soko au wapi wanauza bei ya jumla iwe ndani ama nje ya nchi anipe A to Z....🙏🙏🙏🙏
  9. FOREIGN USED EXCAVATOR FOR SALE

    PRICE 208.000.000 BEFORE VAT KOMATSU PC360-7 FOREIGN USED WITH GOOD CONDITION 9000 WORKING HOURS LOCATION TEGETA FOR MORE INFORMATION 0768 432 891
  10. Kwa mnaohusika na kubomoa magorofa kariakoo naombeni connection ya vifaa jenzi used

    Habari zenu wanajamvi, kama nilivosema Nahitaji vifaa jenzi used lakini vilivyo katika hali nzuri kama vile bati za migongo mipana, nondo ml.12, gypsum, tofali n.k Kwa bomoa bomoa inayoendelea kariakoo vitu hivyo vinaweza kupatikana kwa bei rahisi naomba mwenye connection ani-pm au aweke hapa...
  11. Utanunua Refublished au Used?

    ...wakubwa naomba shule kidogo. Assume nahitaji kununua flagship phones (sina pesa ya kununua mpya) let us say Samsung Note 20, je utanishauri nichukue refub or used? Mwenye shule poa atusaidie kuzielewa hizi products faida na hasara zake. Je performance zake mf kwa picha zina ubora gani? Asante
  12. TV4Sale LG Smart TV inch 40 used from UK

    LG SMART TV INCH 40 USED FROM UK YOUTUBE NETFLIX TV ORIGINAL 485,000 0744680670
  13. INAUZWA Nauza Fridge Used (Mr UK)

    SOLD
  14. D

    Gari aina ya Runx nyeusi linahtajika

    Nahitaj gari used Runx nyeus No D kwa anaeuza anichek DM nipo Dom.
  15. Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani). Mods uzi usiunganishwe.
  16. INAUZWA Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
  17. Ukinunua kitu used jiandae kwa hili

    Ukinunua kitu used jiandae kuingia gharama za kufanya matengenezo ambayo hujayasababisha wewe.
  18. W

    Car4Sale Howo tipper 371 used inauzwa

    Howo tipper 371 used inauzwa, ni used kutoka China ina Hali Nzuri Sana, Karibu ofisini kwetu Kurasini opposite na diplomatic college, Pia utapata offer ya kufanyiwa service ya truck Kwa mwaka mmoja Karibu sana. Price: million 127.5 ☎️0715 128 827
  19. M

    Car4Sale Nauza magari used

    Habari, naamini uko salama. Mimi ni agent natoa magari madogo na makubwa, container, loose cargo katika bandari ya Dar es Salaam. Pia nauza magari used na chassis pamoja na container za 20 feet na 40 feet...kwa mawasiliano zaidi nichek +255764423726 wasap no. Karibu Sana nikuhudumie.
  20. T

    Used CCTV Cameras

    Hello Nahitaji camera used. Kuanzia walau 5MP. PTZ 4 chap chap
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…