Heshima yako mh Rais, pole na majukumu ya kitaifa,
Samahani kwa kukuambia haya.
Siasa sio vita, rais Samia ingekusaidia sana ukimpongeza lisu kwa kushinda.
Kama uliweza kuenda kumwona ubeligiji wakati amepigwa risasi ingawa jpm alipiga top,wewe ulienda ulionesha ubinadamu mkubwa sana...