ushindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    LGE2024 Mizengo Pinda ajitokeza kwenye kampeni za CCM Mtwara. Ataka wagombea wasibweteke baada ya ushindi wa kishindo 2019

    Wanabodi, Wakuu huyu baba alikuwa wapi siku zote? Kwani bado yupo kwenye siasa? Mlezi wa CCM Mkoa wa Mtwara, Mizengo Pinda, amewahimiza viongozi na wanachama wa chama hicho kutobweteka na mafanikio ya uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa, ambapo maeneo mengi yalishinda bila kupingwa...
  2. kipara kipya

    Alhamdulilah tumeshinda tumegubikwa na gumbizi la ushindi ila Morroco asirudue tena kupaki basi mapema zikiwa zimebaki dk 25

    Leo kama goli lingerudi angemezwa timu ameirudisha nyuma mapema sana dk 25 ni nyingi kwa timu zenye wabunifu huu mtindo wa mwalimu kujilinda kwa kutia mabeki wengi anakosea sana ni vyema timu imeshinda watu hawakuiona tena hayo mapungufu. Tunakwenda afcon atakutana na Misri au senegal kwa...
  3. MakinikiA

    Kuna viongozi wengine hawatakiwi kuwa uwanja wa taifa hawana upepo wa ushindi

    Hili jambo limekaa kiroho zaidi Na Kwa kusisitiza Raisi Wa TFF bora asiwepo uwanjani najua ni ngumu Kwa itifaki ila ukweli ndio huo.
  4. kipara kipya

    Kila la kheri Stars inakwenda Afcon Morroco kwa ushindi wa 2-1 leo!

    Niliwacha kuishangilia stars tangu siku ya mechi ya stars dhidi ya bukina faso walipoitungua 2-1 nafikiri 2007 kama sikosei niliipuza baada ya kuingia siasa za maricio maximo na baadhi ya wachezaji nikawaacha na stars yao, Lakini kwa kiwango chajuzi kipindi cha kwanza kama bacca,Samatta...
  5. Chizi Maarifa

    Tunaoiombea Guinea ushindi. Taifa Stars ikishinda umoja na mshikamano vinaondoka

    Ili tubaki kama Taifa naombea Guinea ishinde. Itakuwa jambo jema sana. Taifa Stars huwa inakuwa ya wote inaposhindwa tu. Ikishinda kuna wartu wanaifanya kuwa ni yao.
  6. Waufukweni

    Mwana FA: Ushindi wa Taifa Stars ni maalum kwa Rais Dkt. Samia Suluhu

    Wakuu mmesikia huko? Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema ushindi wa Taifa Stars wa bao 2-0 dhidi ya Ethiopia ni maalum kwa Rais Dkt. Samia
  7. Magical power

    Rais Samia Suluhu amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi' ya Yanga

    HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi ya Yanga SC. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rais Samia amendika hivi: “Pongezi kwa Tabora United kwa ushindi wenu dhidi ya...
  8. Yoda

    Waafrika wanaoshangilia ushindi wa Trump kwa sababu ya misaada kupunguzwa ni wavivu wa kufikiri.

    Kuna kundi kubwa la Waafrika waliofurahia na kushangilia sana ushindi wa Trump, kila nikisikia au nikisoma sababu wanazozitoa kumuhusudu Trump naona kama mfumo wao wa umeme kichwani una hitilafu, Tuangalie hoja moja ya kupunguzwa msaada na utegemezi wetu kwa mfano Wale wanaosema misaada ya US...
  9. Li ngunda ngali

    Pre GE2025 Tunamshukuru Rais Samia kwa ushindi wa Trump

    Huenda bila mashirikiano mema ya Tanzania na Marekani bwana Trump asingeshinda u Rais wa Amerika. Kwalo, juhudi binafsi za ukuaji wa demokrasia ndani ya Utawala wa Samia zimeufanya ulimwengu uone na kuiga mengi mema yanayofanywa na mama hali inayopelekea hata wao kujifunza kutoka kwake...
  10. State Propaganda

    Rais wa Ukraine Zelensky eti naye adiriki kumpongeza Donald Trump kwa ushindi

    Kaposti kupitia ukurasa wake wa X. Zelensky "I appreciate President Trump’s commitment to the 'peace through strength' approach in global affairs. This is exactly the principle that can practically bring just peace in Ukraine closer.” Hii ni habari mbaya sana kwa huyu hayawani: lazima akose...
  11. tpaul

    Ushindi wa Trump ni habari mbaya kwa Tanzania na serikali ya CCM

    Ijapokuwa Rais Samia atamtumia Rais Trump salamu za pongezi kinafiki, ushindi wa Trump ni mwiba mkali kwa serikali ya Tanzania na CCM. Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM inapenda misaada na mikopo kutoka Marekani na nchi nyingine tajiri za dunia na kisha kuitumia misaada hiyo kwa manufaa ya...
  12. Killing machine

    Je tutalajie yapi baada ya ushindi wa Trump huko USA

    Habari za Sasa hivi wakuu? Hatimaye baada ya kusubiliwa kwa mda mlefu leo hii Trump kachukua kiti na sio mda anaingia kulitumikia taifa kubwa zaidi duniani hasa kwenye maswala ya uchumi, technologies, bilashaka taifa Hilo ndilo taifa linalo ikimbiza dunia kwa nafasi kubwa Sana kiasi kwamba...
  13. L

    Rais Samia Awapongeza Azam Fc kwa Ushindi dhidi Ya Yanga.

  14. M

    AZAM TUNAWAPONGEZA KWA USHINDI, GSM AWEZI KULAUMIWA LEO KUWA ANAHARIBU LIGI KWA KUWA YANGA KAPOTEZA, BASI TUISHI HUMO!

    Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu! Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama...
  15. M

    Azam tunawapongeza kwa ushindi, GSM awezi kulaumiwa leo kuwa anaharibu ligi kwa kuwa yanga kapoteza, basi tuishi humo!

    Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu! Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama...
  16. M

    Mbona hatusikii tena habari za ushindi wa magoli mengi? Goli moja limekuwa lulu wakilipata wanashangilia mpaka wanavunja viti!

    Kulizuka katabia Fulani hivi vijana wa Rage na Mangungu walikuwa wanaizodoa Yanga kwamba inapata ushindi wa kigoli kimoja na wao wanafunga mengi sasa hivi wameufyata kulikoni! Hicho kigoli kimoja wanapokipata wanashangilia kama wamepata dhahabu ni maajabu haya!
  17. Pascal Mayalla

    Shule ya Msingi ya Ubungo Makuburi, Yalamba Bingo ya TotalEnergies Tanzania, kwa Kujengewa Ukuta Kama Zawadi ya Ushindi wa Shindano la VIA!.

    Wanabodi, Hili Kampuni kubwa la Mafuta nchini Tanzania kuliko makampuni yote, linaendelea kutandaza wema wake kwa Watanzania, sasa linajenga ukuta kuizunguka shule ya Ubungo Makuburi. Dar es Salaam, Octoba 30, 2024 Na Mwandishi wetu Shule ya Msingi Ubungo Makuburi, Kujengewa Uzio Na...
  18. S

    Diarra: Niliuwazia sana ushindi hii mechi

    Diarra alifika DSM masaa 3 kabla ya mechi ya Derby "Rais alinitengenezea mazingira mazuri ya usafiri, sikuchoka na nilipata tiketi ya Business Class Nilivyotua Airport alituma mtu anifuate ili niwahi moja kwa moja uwanjani, Kama kuna siku niliuwazia ushindi basi ni siku ile"
  19. Thabit Madai

    SIONI USHINDI WA SIMBA LEO

    Licha ya Makocha na Wachezaji wa Pande Pande mbili kueleza juu y maandalizi ya Mchezo wao wa leo kwangu binafsi sioni Ushindi wa Klabu us Simba kutokana na aina ya kikosi na maandalizi ya Mchezo wa leo. Hii hapa kauli ya Mchezaji wa Simba kuelekea Mchezo huo. "...Sisi wachezaji tumejiandaa...
  20. Th3the

    LGE2024 Kama uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 CCM ilipata ushindi 99.9%, Je tutegemee ushindi wa 100% 2024?

    Wakuu.. Najaribu kuwaza kwa sauti hapa. Mwaka 2019 ulikuwa mwaka wa mafanikio Sana kwa chama Cha mapinduzi(CCM) katika chaguzi za serikali za mitaa. Walishinda kwa kishindo huku wakipita bila kupingwa kwa baadhi ya mikoa. Japokuwa wajuzi wa Mambo wanasema kuwa ule uchaguzi ulikuwa na dosari...
Back
Top Bottom