ushindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. THE FIRST BORN

    Ushindi wa Yanga wa Jana umekuja na kelele nyingi sana kweli Rage alikua Sahihi.

    Habari! Kichwa cha thread kinatosha kabisa sitaki kueleza zaidi ila Makolo mna shida sana. Nyie wakat mnashinda kuna siku mliona mtu anaandika humu nyuzi kusema mnabebwa? Ila shida hua ni pale Yanga akiaanza kushinda tu goli nyingi. Kama nasema uongo Jamii forum nipigen Ban... kuanzia jana...
  2. M

    Nawashauri yanga wabaki njia kuu ya kupata ushindi kihalali wasifate kile wanachofanya simba kulazimisha ushindi kupitia dirishani!

    Nimeshuhudia mechi 2 ambazo Simba kacheza dhidi ya Azam na Dodoma Jiji, wamenufaika na waamuzi ambao uwezi kusema kwamba awajui Sheria na kanuni zinazoongoza Mpira la hasha ni kwamba wanajua isipokuwa Kuna fungu linawekwa kwa ajili yao ili waibebe Simba! Aiwezekani kwenye mechi zao tu ndio...
  3. Nasdaq

    Wachambuzi wa mchongo Jf wataweka wapi sura zao baada ya ushindi wa 2:0 na total dominance iliyooneshwa jana

    Nukuu ya mwanautopolo lialia Labani og "Kama utakuwa professional kwenye soka la nchi hii jaribu kuweka vikosi vya Azam na Simba kwenye mzani .... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ..." Kosa la Labani og ni kutumia neno professional kwenye kujiaminisha kwamba...
  4. Lycaon pictus

    Refinery ya Dangote ni ushindi mkubwa kwa Waafrika

    Baada ya vita kali toka mwaka 2013 hatimaye refinery ya Dangote imeanza kazi. Mwaka 2013 Dangote alitangaza kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta. Gavana wa jimbo alilotaka kujenga akataka rushwa, ikabidi ahamishie kiwanda huko Lagos. Kimeanza kujengwa mwaka 2016 na kukamilika 2023-2024 kwa...
  5. M

    CHADEMA mmeshapata ushindi mkubwa sana. Ikifika saa 2:55, ahirisheni maandamano

    Mpaka sasa, CHADEMA wameshinda maandamano. Nashauri ahirisheni maandamano kwa leo, kaeni kama siku mbili hivi, tangazeni maandamano mengine ili tu kuwapa pressure watesi wenu
  6. L

    Yarabi tunakuomba uijalie Simba ushindi jioni ya leo, inshaallah

    Ewe Mwenyezi Mungu muumba ardhi na dunia, umeumba wanadamu na vitu vyote vilivyopo, tunakuomba uijalie Simba ushindi leo katika dimba la Benjamin Mkapa ili tuweze kufuzu hatua ya makundi. Ewe mwenyezi hakuna mtu apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa ni wewe. Sisi waja wako umetuumba kuja duniani...
  7. I

    Katika vita vya kibiashara vya Marekani na China, Mexico ndio anaibuka na ushindi mkubwa.

    Kadri uchaguzi mkuu wa nchini Marekani unavyozidi kukaribia ndivyo wachina wanavyozidi kuingiwa na hofu. Ustawi wa uchumi nchini China unaitegemea mno Marekani na ni wazi kwamba bila ya Marekani taifa la China lisingefika hapo ilipo leo kiuchumi. Sasa basi, wagombea urais wa vyama vikuu nchini...
  8. M

    Ushindi wa Zanzibar dhidi ya Guinea unaonesha kuwa Visiwani kuna hazina ya wachezaji wazuri

    Hongereni shirikisho la soka la Zanzibar kwa kuzalisha vipaji vinavyokuja kulikomboa taifa la kichwa cha mwenda wazimu (hayati Ali Hassan Mwinyi). Uzi tayari. Guinea 1-2 Kizimkazi FT
  9. Mhafidhina07

    Mwanzo endelevu wa kupigania uhuru wa Tanzania kutoka kwa Mkoloni Mweusi, damu ni ishara ya Kafara ya Ushindi Wengine wasichoke kujitoa

    Ingali tupo hai damu itajibu uhai wa waliofariki,MiKONO yote michafu ya waliowezi itavunjwa na kukatwa vipande vipande na damu yao itakuwa ni sherehe kwa familia zilizoathirika na umwagaji damu wa wapendwa wao. Dunia haikuachi salama ikiwa umetenda ubaya,ipo siku Tanzania itazinduka kutoka...
  10. W

    Pre GE2025 Mongela: Tunaingia kwenye Uchaguzi na Uhakika wa Ushindi

    Wakati vyama na wadau wakianza kujiweka mguu sawa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika baadaye mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kina hakika wa kupata ushindi wa kishindo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu (CCM-Bara), John Mongella baada ya kupokea taarita ya...
  11. Yoda

    Pre GE2025 Kada kasema ukweli kwamba ushindi wa CCM sio wa mungu kupenda, wapinzani wamehamaki!

    Nimeona Wapinzani wamehamaki kwa kauli ya huyu kada aliyesema ushindi wa chama chake hautegemei mungu kupenda! Huu ni ukweli mtupu, wapinzani lazima wajue madaraka hayapatikani kwa miujiza au kudra. Huwa nawacheka sana wapinzani wanapomsubiria mungu kwa kauli mbalimbali za kujifafariji ooh...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Wamasai wameweza. Umoja waliouonyeshea ndîo Ushindi wenyewe

    Kwema Wakuu! Sitaki kujua Nani yupo Sahihi na Nani hayupo Sahihi. Nafuatilia wanachofanya Wamasai Huko Ngorongoro. Nimevutiwa na umoja waô, hii inamaanisha soon watakuwa na Ñguvu. Nakumbuka Mwezi wa nne mwaka huu nilikiwa naenda kumzika Bibi yàngu mzaa Mama, ndàni ya Basi Siti ya Kulia kwetu...
  13. Uhakika Bro

    Teknolojia: Kivuli cha Ushindi au Majuto bila muendelezo nanenane itabakia kuwa ya msimu tu.

    Miaka ya 1990 na 2000, kamera za kidigitali zilipoanza kujitokeza, wapiga picha wengi walizidharau. Walijua kuwa filamu ndiyo msingi wa kazi zao, na kwamba digitali ilikuwa tu “mfumo wa muda.” Lakini dunia ilibadilika haraka. Kamera za kidigitali zilikuja na ufanisi, urahisi, na ubora ambao...
  14. Bob Manson

    Kudorora kwa muhimili wa familia na wimbi la kukataa ndoa ni ishara ya ushindi kwa shetani

    Habari za wakati huu wadau na wana familia wote..... Moja ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu ni familia, hata Mungu alipo muumba Adam aliona amekuwa mpweke na akamletea mwenza, pia mwisho akawaamuru waende wakaijaze dunia. Hivyo basi, njama au lengo kuu la shetani ni kusambaratisha na...
  15. Webabu

    Unadhani ni kipi bora Iran ifanye ili ipate ushindi na kutoa funzo kwa Israel?

    Marekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja. Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani.Kwa namna gani unafikiri Iran itaweza kuingia vitani kuwatetea...
  16. ubongokid

    Ushindi wa Mwabukusi na Mustakabali wa Tanganyika na Muungano

    Habari za Wakati huu? Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na mapambano yenu ya kimaisha. Kwanza nitumie Fursa hii kumpongeza Wakili Msomi Boniface Mwabukusi kwa kufanikiwa kushika kiti cha Urais wa TLS.Nafahamu kwamba kuna ambao wanahofia na kutamani angkuwepo mtu wa kaliba tofauti...
  17. R

    "Sijafurahishwa" na ushindi wa Mwabukusi: Kwanini ninasema hivyo...

    HONGERA MWABUKUSI 1. Mshindani wake alikuwa mtu wa CCM. Nilitegemea kuwa kwa MAOVU ya CCM kwa watanganyika, margin ya kura ingelikuwa kubwa sana "kupindukia" kuionesha CCM kuwa haipendwi. Margin hii hainipi matumaini kuwa CCM itachapwa kiboko kikali chaguzi zijazo. UPINZANI NADHANI KUNA SOMO...
  18. hermanthegreat

    Pre GE2025 Ushindi wa Boniphace Mwabukusi unatupa matumaini huenda 2025 CCM ikaondoka kwa kishindo

    Tukipoteza woga wetu wanapoteza nguvu zao, Ushindi wa wakili Mwabukusi umeshangiliwa na watu wengi, hii ni ishara kuwa Wanaoisapot CCM ni wale wanaonufaika nayo tu ambao kimsingi ni wachache. Hivyo tukiungana mwaka 2025 , watanzania wote tukaiadhibu CCM kwenye boksi la kura, hawataamini...
  19. GENTAMYCINE

    Kwakuwa Uongozi wa Simba SC mmekataa kabisa kumuacha 'Mchovu' Onana sasa naiombea Yanga SC Ushindi mnono katika Derby yetu nao

    Kila Siku GENTAMYCINE naimba hapa JamiiForums kuwa muacheni Onana hamnisikii sasa nataka Derby tufungwe tu.
  20. R

    Tushangilie ushindi wa TLS lakini tusitegemee mabadiliko TLS kupitia Mwambukusi; huyu ni mwanasystem kindakindaki

    Tunaposhangilia ushindi wa Mwambukusi nakuona anafaa kuwa RAIS wa TLS tusitegemee jipya sana baada ya kuapishwa kuwa Rais wa TLs. Maambukusi ni zao la mfumo wa nchi kama alivyokuwa Hosea. Tunachopaswa kushangilia ni kwamba mahakama imerejesha hoja kwa mawakili wa Tanzania kujitafakari kama...
Back
Top Bottom