ushindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Pre GE2025 Mbowe: Nitajiuzulu siasa 2025 endapo CCM itashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo mkoani Kilimanjaro

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe ametangaza kujiuzulu kufanya siasa endapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kitashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo ndani ya mkoa wa Kilimanjaro wenye majimbo tisa (9) ya uchaguzi. Mbowe ametangaza ahadi hiyo Julai...
  2. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025

    kwa dalili hizi, ishara, hali ya kisiasa na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan kiutendaji nchini, ni dhahiri atapata ushindi wa kishindo endapo atagombea urais 2025.. kwa mfano, kwa sapoti kubwa sana na ya uhakika ya kura za wasichana wote nchini wenye sifa za kupiga kura, wanawake wote kwa...
  3. T

    Mikakati ya udhibiti wa mianya ya wizi wa kura za wabunge na madiwani......

    Jana nilikuwa na mjadala wa kina wazalendo mwenzangu kuhusu mchakato wa uchaguzi wa wawakilishi wetu na mianya ya wizi wa kura ambayo ama imewekwa kwa makusudi ama kwa bahati mbaya lakini wajanja wanaitumia kufanya ujambazi wa kura za watu. Tulijikita kwenye uchaguzi wa wabunge na madiwani hasa...
  4. Emmp

    Naomba kujua faida za mchezaji wa mpira wa miguu baada ya timu yake kushinda

    Habari za majukumu ndugu zangu, naomba kujua nini faida anazopata mchezaji wa mpira wa miguu baada ya timu yake kushinda kombe. Natanguliza shukrani Pia soma: Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa Mpira wa miguu
  5. L

    Nguvu Moja imerudi Simba ndio maana ushindi unapatikana

    Jana kwa wale wanaoijua vizuri Simba watakuwa wameona kwenye jukwaa kuu kulikuwa na akina Kajuna, Juma Pinto na baadhi ya friends of Simba huku pembeni kukiwa na akina Asha Baraka, ile ni dalili kuwa kuna mambo wamekubaliana msimu ujao na akina jaribu tena ndio basi tena. Wale akina Kajuna ss...
  6. Webabu

    Israel inavyorudi upya Gaza kwa nguvu, ni wazi kulikuwa na njama kati yake na Marekani kuiwacha Iran ishinde ili kupata ushindi wa Gaza

    Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani. Ni kweli Israel ilikuwa na nia ya kuipiga Iran kwa nguvu kubwa na kuleta madhara zaidi lakini kwa kushauriana na Marekani na...
  7. Webabu

    Kupigana kwa Israel na Iran ni mipango ya Mungu kuipa ushindi Hamas

    Inaposemwa Mungu si Asumani wengine huwa hawafahamu maana yake.Sisi wengine tunaomfahamu Mungu(Allah) pamoja na ugumu tuliouona tulijua kuwa mwishowe Hamas ndio watakaoshinda vita kati yake na Israel. Mara ngapi Netanyahu amezungumza maneno ya kiburi kwa rafiki zake na mbaya zaidi kwa Mungu...
  8. Ncha Kali

    Kwenye maisha jifunze sana kuongea ili kuleta suluhisho na sio kujitetea au kutaka ushindi

    Kuna mtu ananielewa? Ni kawaida kwa asili ya binadamu kutaka kuwa na hulka ya utimilifu na kutamani mazuri pekee. Ndiyo maana katika maongezi yetu mara nyingi ni ligi na ushindani, hatuongei ili kusuluhisha bali tunajitetea kwa kuhakikisha tupo sahihi. Matokeo yake ni vigumu mno kumaliza...
  9. kiwatengu

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    2nd Leg Match CAF CHAMPION LEAGUE QUARTER FINAL. Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc Time: 9:00Pm Stadium: Loftus Versfeld Stadium More Updates following... Kikosi Cha Yanga Kinachoanza Kazini kwetu kuna Kazi. Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza. Mpira unaendelea kwa kasi . Timu...
  10. Frank Wanjiru

    Try Again: Tunaenda kupata ushindi Misri.

    "Bahati haiwezi kuwa kwao kila siku, leo imekuwa bahati kwao, kesho inaweza kuwa kwetu, cha msingi kuwa na morali, umoja, upendo na kujiandaa, hatuwezi kwenda kushinda ugenini kama tutakata tamaa. — Mwenyekiti wa Bodi Simba, Salim Abdallah 'Try Again' "Mimi naamini kwa timu tuliyonayo, kwa...
  11. Pang Fung Mi

    Maoni: Mbinu ya Ushindi kwa Simba SC Leo 29.03.2024 dhidi ya Al Ahly

    Shalom, Simba SC Leo inatakiwa icheze kwa namna ifuatayo. 1. Umakini kwa dakika zote 2. Kucheza kwa speed dakika zote 3. Ujumuishi na haraka katika kulifikia lango la Al Ahly. 4. Kushambulia kwa pamoja na kukaba kwa pamoja, tunaenda wote na kurudi wote. 5. Wanaocheza 7 na 11 wajibu wao pia ni...
  12. B

    Pre GE2025 Upinzani Senegal kuelekea ushindi, tunayo ya kujifunza?

    Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala: Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano. CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani? Labda tu ili ajisimike madarakani kisawa sawa! ---- Opposition leader Bassirou Diomaye Faye has emerged...
  13. M

    Eee Mola uipe ushindi mkubwa Al Ahly dhidi ya Simba

    Wape ushindi wale wanaokuabudu kwa dhati ya Moyoni. Na wanyime wale wanafanya ushirikina ili washindi. Eee Mola iwapo kuna mwana Simba yeyote atakayeshirikiana na waganga na washirikina basi iadhibu timu yao ifungwe goli 5. Pia nakuomba usiwape ushindi Simba kwa kuwa wamejaa dhihaka na...
  14. Mjanja M1

    Kama ni kweli basi ushindi wao hauna maslahi zaidi ya kupata jina tu!

    Ramadhani Brothers washindi wa AGT wamekatwa zaidi ya asilimia 70 kwenye pesa walizoshinda kwenye mashindano ya AGT. Ukipiga hesabu za haraka ni kwamba hawa jamaa wamebakiwa na hela ndogo sana baada ya makato mbalimbali waliyokatwa kwenye zawadi yao. ✍️Mjanja M1
  15. Lycaon pictus

    Hivi ushindi wa Azam jana hauathiri harakati za Simba kugombea nafasi ya pili?

    Jana nimeshangaa Simba kufurahia ushindi wa Azam wakati ni wapinzani wao kwenye kugombania nafasi ya pili!! Hivi ni umbumbumbu au ni kitu gani!? Au wanadhani labda wanagombea ubingwa?
  16. SALOK

    Hongera Azam kwa ushindi mwepesi 2-1, mmefanya ligi ianze kuchangamka upyaa!!

    Kipekee niwapongeze Azam fc, mlidhamiria hatimaye mmepata cha kusema, kumfunga bingwa si haba... Feisal Salum hatimaye umepooza maumivu, hongera pia! Mwisho kabisa niwaonye Makolo, kihere here chenu kitawaponza. Jiandaeni kwa tano zingine...!! Shuhuli sio yenu, mnatembea na ndizi, shen...zzyy...
  17. Labani og

    Je aliyeleta ushindi wa simba ni Chama au shabiki aliyeenda fukia hirizi golini

    Wakati mechi ikiwa imekolea Makolo wakiendelea kupelekewa moto na mashujaa Jana. ...... Shabiki aliyekuwa amevaa jezi ya kolo fc then Baada ya kurukia uwanjani akaivua na kubakizwa na singlend ( kaushi) alienda golini Kwa mashujaa na kufukia dawa ( hirizi) ......then after while Chama akaanza...
  18. Zouzoutz

    Mashabiki wa Kaizer Chiefs: Tutawaunga mkono Yanga washinde ushindi wa kishindo Tanzania na hapa nyumbani

    Mashabiki wa timu ya Kaizer Chiefs imetangaza kuisapoti timu ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns katika mechi zote mbili Mashabiki hao wamesema wanataka kuona soka safi la Yanga linalovutia likiwafundisha adabu Masandawana Wametangaza kuwa wapo tayari kutoa msaada wa Hali na Mali,wa kamati za...
  19. Erythrocyte

    Hii ndio Kauli ya Kocha wa Simba baada ya ushindi wa 6 kwa Buyu

    Sasa Toeni maoni yenu
  20. T

    Bondia Larry Holmes: Ken Norton alinipiga ingawa majaji walinipa Ushindi

    Wale wapenzi wa ndondi, tunawakumbuka mabondia wa miaka ya 70 na 80 kina Mohamed Ali, Smoking Joe Frazier, Ken Norton, Jimmy Young, Leon Spinks, Big George Foreman, Ernie Shavers, Ron Lyle nk. Mwaka 1978, Leo Spinks akiwa ameshinda taji ya WBC kutoka kwa Mohamed Ali, aligoma kupigana kama...
Back
Top Bottom