Kinachotokea Ukraine ndhicho kitakachoipata Israel mbele ya Hamas.Ukraine na Israel wote wanafanana kwa viwango vya kiburi vita vilipoanza.
Ukraine alipoona uchumi wake ni mkubwa akaamua kuichokoza Urusi na vita vilipoanza na misaada ikaamiminika aliamini ataishinda Urusi na kujizolea sifa...
Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama amesema sera ya Mambo ya Nje na Diplomasia ya Nchi ni bora pamoja na uhusiano wa Kidiplomasia umechangia ushindi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Tulia Ackson kuwa Mshindi wa nafasi ya Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani...
Hafla ya utoaji tuzo Tuzo ya Ballon d'Or, ambayo inatajwa kuwa kati ya Tuzo Bora zaidi za Soka duniani inatarajiwa kufanyika leo Oktoba 30, 2023 ambapo mastaa wa Soka wa Kiume 30 wanashindana katika kinyang'anyiro hicho. Pia, kwa upande wa Tuzo ya Wanawake idadi ni hiyo ni hiyo hiyo.
Tuzo hii...
28 October 2023
Pemba, Zanzibar
MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA MTAMBWE PEMBA, ACT-WAZALENDO WAIBUKA KIDEDEA
Picha: Dr. Mohamed Ali Suleiman wa ACT-Wazalendo akizungumza wakati wa kampeni.
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Mtambwe Pemba Zanzibar , leo tarehe 28 oktoba 2023 amtangaza Dr...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Fyandomo ametoa pongezi kwa ushindi mnono alioupata Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson na kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)
"Pongezi za dhati kwa Spika wa Bunge letu, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kwa...
Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025. Maridhiano 'feki' tupa kule.
Timu hii ya Simba inayo kazi moja tu, Kujenga Uwezo wa kushinda game.
Sisi zote ni mashahidi, kwenye timu hii, nia ipo, nguvu ipo, ari ipo, kasi ipo, tatizo ni uwezo mdogo sijui ni wa kufikiri au kocha na wachezaji!
Ukifatilia katika mambo mengi hapa Tanzania iwe kwenye siasa, michezo, uchumi au hata mahakama au kesi, katika kila jambo ambalo Mtanzania yumo kama hilo jambo halitoi mwanya wa Rushwa, Upendeleo au kwa lugha ya Mh. Nape Goli la Mkono basi hilo jambo ni ngumu sana kufanikiwa.
Nakumbuka enzi za...
Ukihitaji salamu subiri kwanza mechi ya kesho iishe!
Mimi TUKANA UONE a.k.a Mpiga lamination mbele na nyuma!
Pamoja na ndugu yangu na mtani wangu GENTAMYCINE a.k.a Mkunyubenga
Kwa Pamoja tunawatakia Timu ya Simba ushindi mnono hiyo kesho pale kwa Mkapa.Mimi kama shabiki wa mabingwa wa nchi...
Huku ikielezwa umebaki muda mfupi jeshi la Israel lianze kujingia Gaza kupigana mitaani na wapalestina,waziri mkuu wa Uiengereza naye ametua uwanja wa Ben Gurion kuonana na waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu.
Hiyo ni siku moja tu tangu kumalizika kwa aibu kwa ziara ya rais wa Marekani...
Kila kitu kilikuwa kama maigizo kabla ya kuona rasmi napokea muamala kama mnavyoona hapo juu. Sina la kusema zaidi ya kuwashukuru JamiiForums kwa kunipatia hela hii ambayo sitahitaji ushauri wa jinsi ya kuitumia.
Nimefungua akaunti hii muda mrefu sana, nikawa napata vijisent vya hapa na pale...
Kumbe jana watu wametetema huko kwa farao,
Ndugu muhasibu daraja la kwanza ebu njoo huku utupe maoni Yako Mayele ni liability au ni asset
OKW BOBAN SUNZU
ChartGPT anasema hivi
Ushindi wa Marekani dhidi ya Japani katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia unaweza kuonekana kuwa maarufu zaidi kutokana na sababu kadhaa:
1. Mabomu ya Atomiki: Shambulio la Marekani kwa kutumia mabomu ya atomiki juu ya Hiroshima na Nagasaki lilikuwa tukio la kipekee katika...
Ushindi mkubwa wa kishindo walioupata CCM katika jimbo la mabara-Jijini Mbeya, ni ishara njema ya kukubalika, kuimarika na kuaminika kwa chama cha mapinduzi kwa wananchi na uhakika wa kushinda chaguzi zijazo.
Lakini pia uchaguzi huo ni fursa muhimu zaidi kwa upinzani kujipima, kujitathimini...
Jembe lililoaminiwa na Magufuli kwenye madini,limepewa unaibu Waziri Mkuu,jembe lingine Mnyeti kapewa unaibu Waziri.
Lakini je, watoto wa kambo watalipa fadhila hizo. Je, Bashiru kuchukua form ya urais CCM hata kama itampelekea kufutwa uanachama!?
Je, top three inakubaliana kuhusu...
Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017 kuwa zisitumike katika miradi ya...
Warusi wanaendelea kufukuziwa licha ya kujichimbia na kuwekeza nguvu kubwa kwenye kufukia mabomu kote kote, Ukraine hawachoki, wanapiga kwa matumizi ya HIMARS, storm shadows na madubwana mengine yote....
As observed by ISW’s military analysts, Ukrainian forces have made additional and...
Simba tumeshinda pambano la Ngao ya jamii kwa kucheza mechi mbili dk 180 bila timu yetu kufunga hata BAO moja kimiani. Tunajiuliza ni nini hiki, Ubovu wa kocha, wachezaji au ubora wa timu nyingine? Tunajua kuwa tumeupata huu Ushindi kwa kelele nyingi juu ya waamuzi kutoka ndani na nje ya uwanja...
Baada ya kusoma HUKUMU ya Leo, nimegundua kuwa team ya Wazalendo under MWAMBUKUSI imeshinda ushindi wa Awali ingawa referee ameonekana kuonyesha kuwa Hana uwezo wa Kutoa ushindi.
Hoja zifuatazo ndizo zimenipa kuona ushindi wa team wazalendo:
1. Judge Ndumbari, Amekiri kuwepo dosari katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.