Wale wapenzi wa ndondi, tunawakumbuka mabondia wa miaka ya 70 na 80 kina Mohamed Ali, Smoking Joe Frazier, Ken Norton, Jimmy Young, Leon Spinks, Big George Foreman, Ernie Shavers, Ron Lyle nk.
Mwaka 1978, Leo Spinks akiwa ameshinda taji ya WBC kutoka kwa Mohamed Ali, aligoma kupigana kama...
Rais was Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Klabu ya Yanga kwa kufanya vizuri katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) baada ya kuifunga CR Belouizdad bao nne kwa sifuri na kufanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali, akisema mafanikio hayo yameandika...
Naanza na SAGAI GALGANO na mwingine ni maarufu ila nimemsahau jina na leo kabla ya mechi alitutia mno joto wana Yanga SC hapa jamiiforums kwa threads zake za mikwara mbuzi.
Hii ndiyo Yanga SC bwana na bado.
Hili halina ubishi maana sasa imani ya wanyonge wanaonewa kila siku imerudi kwa kasi mpya kwa wanaCCM.
Kwa mantiki hii CCM itapata ushindi mkubwa mwaka 2025 kwa kila kada ya ugombea.
Pia hata WanaCHADEMA watampigia kura rais. Maana bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na genge lake huku...
Mataifa kadhaa ya Ulaya miezi minne tangu vita vianze bila Israel kupata ushindi ilioutarajia yameunga mkono kuundwa kwa taifa la Palestina.
Baadhi ya mataifa hayo ambayo yamekuwa yakpeleka wajumbe wao mataifa ya mashariki ya kati ni pamoja na Uiengereza,Ufaransa,Italy na Spain.
Kuundwa kwa...
Israel imeendelea kupoteza ushindi baada ya askari wake kuuwawa sasa hivi katika mpaka wa Lebanon, Baada ya rocket kutupwakatika ardhi ya Israel na kuua vikosi vyake na mapambano bado ni makali sana siya rocket wala ya Drone hali ni tete sana! tazama sasa hivi Live Hapa Kichapo wanachopewa...
Katika mmoja ya wasanii ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao na wana vipaji vya ajabu ni Rose Muhando hakika hakuna atakaepinga hilo na nyimbo zake kwa miaka mingi zimetubariki na kutusogeza karibu na muumba kwa namna ya pekee kabisa, Mungu aendelee kumbariki.
Wengi wasichokijua ni kuwa Rose...
Marekani kwa nafsi yake imepiga maeneo ya Yemen yanayotawaliwa na Houth mara 8 na kila mara husema wamepiga rada zao na pia kuyawahi makombora ya kuripulia meli yakitayarishwa kurushwa hewani.
Mafanikio hayo kiuhalisia yalikuwa ni madogo sana kuliko uwezo wa kujificha wa Houth. Hatimae katika...
Viongozi Watatu wa Upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wameitisha maandamano Nchi nzima mnamo Januari 20, 2024 siku ambayo Rais Félix Tshisekedi anatarajiwa kuapishwa kwa Awamu ya Pili kuwa madarakani.
Tshisekedi ameshinda uchaguzi kwa 73% ya kura, kulingana na Tume ya...
Kuna kamati iliundwa kufanya uhamasishaji kwa ajili ya Timu ya Taifa. Uwanja hawana hata ngoma acha gitaa. Hakuna hata mmoja tunamwona uwanjani. Waliounda kamati walilenga michango au walilenga nini? Je fedha walizolipwa zilikuwa za kazi gani? Tukubali maisha yamekuwa deal
Ikiwa miezi mitatau imetimia tangu vita vianze kati ya Israel na Palestina na bila mshindi kupatikana, wafuatiliaji wa vita hivyo wana nafasi ya kuchagua wa kupewa nishani baada ya kumalizika kwa vita vyenyewe.
Kwa mtazamo wangu nishani ya mwanzo itawaendea Hamas kwa kuchukua maamuzi magumu na...
Salaam, Shalom!!
Ndugu Mnyika anafanya vizuri, lakini Bado hajafikia viwango vya Dr Slaa, Mnyika anaweza kupewa nafasi nyeti kuelekea uchaguzi huku Dr Slaa akifanikisha njia nyeupe Kwa chama.
ZIFUATAZO, ni sababu kwanini CHADEMA inamuhitaji zaidi Dr Slaa.
1. KUFAIL KWA MARIDHIANO.
Jambo hili...
Ndugu zangu vifijo na nderemu vimetawala mitaa ya jangwani baada ya klabu ya yanga kujipatia ushindi kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo.
Ikumbukwe mapema leo klabu hiyo ilikuwa ikipepetana dhidi ya timu kibonde kutoka Ghana medeama fc kisha kuichabanga magoli matatu kwa mtungi...
Team ya taifa ya Dar Young Africans leo inaenda kushusha kipigo cha mbwa mwizi kwa hawa Medeama hapa Uwanja wa Mkapa.
Tayari kisu kimepata makali ya kutosha na ustaadhi anasema bao ni 3. Haina kuremba. Soka la kufa mtu na mabao makali ya ulaya yataonekana.
Hakuna papatu papatu. Mpira...
Usiyempenda kaja.
---
Mkutano Mkuu maalum wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha, umemchagua Loy Thomas Sabaya, kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoani humo.
Sabaya ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameshinda nafasi hiyo baada ya kupata kura...
Sote tukae mkao wa kusubiri halwa ya sinia za harusini iliyopikwa ikapikika na Gidemi. Wengi wakazi wa jiji la Dar, wa zamani wenzangu, nikiitaja halwa ya Gidemi ya sinia wanaielewa utamu wake.
Kwanza ilikuwa ikifika masinia yale wakati wa kugawanywa, kila mmoja anakodoa macho isije ikawahiwa...
"Mabegi yetu yamechelewa kufika, tunahisi ni Hujuma na tumeshindwa kufanya Mazoezi na kuna Baridi Kali sana" amesema Kiongozi wa Yanga SC aliyeambatana na Timu huko nchini Algeria wanakocheza leo.
Chanzo: Sports Extra Clouds FM jana Usiku
Ninawatakia tu kila la kheri Waarabu.
Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao.
Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi:
- Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi wameipongeza timu ya Taifa ya Zanzibar chini ya miaka 15 (Karume Boys) kwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya CECAFA-U15 yaliyofanyika nchini Uganda.
Karume Boys...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.