Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
Watanzania,
Salaam!
Ndugu yetu prof Mohammed Janabi amekuwa mstari wa mbele kujitoa kwa ajili ya afya na maisha yetu. Huu ni upendo na uzalendo wa hali ya juu.
# Amekuwa Mwl mzuri;
# Amekuwa kiongozi mwema;
# Amekuwa mwakilishi mwema wa kundi la utabibu.
Kutokana na mchango wake kwetu tuna sababu ya kumsapoti kwa hali na mali ili afikie ndoto zake za uongozi. Najua kuwa kupata kwake sisi watanzania tutaguswa kwa njia nyingi sana.
Sasa nauliza kipi watanzania tunapaswa kufanya ili kumsapoti huyu mzalendo wetu?