Watanzania tufanye nini ili kusaidia ushindi wa Prof. Janabi?

Watanzania,
Salaam!

Ndugu yetu prof Mohammed Janabi amekuwa mstari wa mbele kujitoa kwa ajili ya afya na maisha yetu. Huu ni upendo na uzalendo wa hali ya juu.
# Amekuwa Mwl mzuri;
# Amekuwa kiongozi mwema;
# Amekuwa mwakilishi mwema wa kundi la utabibu.

Kutokana na mchango wake kwetu tuna sababu ya kumsapoti kwa hali na mali ili afikie ndoto zake za uongozi. Najua kuwa kupata kwake sisi watanzania tutaguswa kwa njia nyingi sana.

Sasa nauliza kipi watanzania tunapaswa kufanya ili kumsapoti huyu mzalendo wetu?
Damu ya NDUGULILE inatulilia.
 
Acha wivu
Hivi mbona ndungulule alipambana kivyake na wala nchi haikujulishwa mpaka aliposhinda ndio tukajua? Hivi nyie waislamu bila kusaidiwa na kulialia huwa hamuwezi? Yeye si daktari aende mwenyewe huko asituchoshe hapa bhana
Wa kipumbavu we jamaa unaumia janabi kugombea kisa muislamu? Masikini weee
 
Hii nchi
binafsi ningempigia debe kama angekuwa ni Christian na ana follow Jesus Christ lkn hindu, budha, muslims au yoyote asiye mfwata Christ ni big NO …
Ina watu wapumbavu hii aisee! Kitu ambacho mkoloni amrfanikiwa ni kwenye udini utakuta wewe ni kijana kabisa mpumbavu wewe
 
Watanzania,
Salaam!

Ndugu yetu prof Mohammed Janabi amekuwa mstari wa mbele kujitoa kwa ajili ya afya na maisha yetu. Huu ni upendo na uzalendo wa hali ya juu.
# Amekuwa Mwl mzuri;
# Amekuwa kiongozi mwema;
# Amekuwa mwakilishi mwema wa kundi la utabibu.

Kutokana na mchango wake kwetu tuna sababu ya kumsapoti kwa hali na mali ili afikie ndoto zake za uongozi. Najua kuwa kupata kwake sisi watanzania tutaguswa kwa njia nyingi sana.

Sasa nauliza kipi watanzania tunapaswa kufanya ili kumsapoti huyu mzalendo wetu?
Nendeni mkamsaidie kuiba kula na teeth
 
Vyeo vya kimataifa si vya Urithi kama vya ccm
 
Huyo haipiti kamwe kwa sababu ni mara ya kwanza mtu mwenye taaluma kupendekezwa na kunadiwa na wanasiasa tofauti na ilivyokuwa inafinyika huko nyuma. He will politicize the health sector for personal prestige, which may plunge professionalism into polarity interests.
The support of politicians will be his undoing!! Especially so because the Tanzanian political class is known to be very corrupt.
To crown it all the other candidates have an added advantage of being fluent in French !
 
Watanzania,
Salaam!

Ndugu yetu prof Mohammed Janabi amekuwa mstari wa mbele kujitoa kwa ajili ya afya na maisha yetu. Huu ni upendo na uzalendo wa hali ya juu.
# Amekuwa Mwl mzuri;
# Amekuwa kiongozi mwema;
# Amekuwa mwakilishi mwema wa kundi la utabibu.

Kutokana na mchango wake kwetu tuna sababu ya kumsapoti kwa hali na mali ili afikie ndoto zake za uongozi. Najua kuwa kupata kwake sisi watanzania tutaguswa kwa njia nyingi sana.

Sasa nauliza kipi watanzania tunapaswa kufanya ili kumsapoti huyu mzalendo wetu?
Pelekeni wale vijana wa ccm wanaopora wapinzani fomu wakati wa urejeshaji.
 
Hivi mbona ndungulule alipambana kivyake na wala nchi haikujulishwa mpaka aliposhinda ndio tukajua? Hivi nyie waislamu bila kusaidiwa na kulialia huwa hamuwezi? Yeye si daktari aende mwenyewe huko asituchoshe hapa bhana
Ndugulile akiwekeza mda sana
 
Hii nchi
Ina watu wapumbavu hii aisee! Kitu ambacho mkoloni amrfanikiwa ni kwenye udini utakuta wewe ni kijana kabisa mpumbavu wewe

binafsi siwezi sapoti muislamu hata iweje, na hata waislamu hawawezi sapoti Christian au yoyote asiye muislamu, period! …
 
Watanzania,
Salaam!

Ndugu yetu prof Mohammed Janabi amekuwa mstari wa mbele kujitoa kwa ajili ya afya na maisha yetu. Huu ni upendo na uzalendo wa hali ya juu.
# Amekuwa Mwl mzuri;
# Amekuwa kiongozi mwema;
# Amekuwa mwakilishi mwema wa kundi la utabibu.

Kutokana na mchango wake kwetu tuna sababu ya kumsapoti kwa hali na mali ili afikie ndoto zake za uongozi. Najua kuwa kupata kwake sisi watanzania tutaguswa kwa njia nyingi sana.

Sasa nauliza kipi watanzania tunapaswa kufanya ili kumsapoti huyu mzalendo wetu?
Atajua mwenyewe.
 
Maombi
 
Huo ushindi unabaki kuwa wao binafsi na familia zao only
 
Back
Top Bottom