Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona.
2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%.
Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025.
Watapata zaidi ya 97% kwa njia gani? Mimi si jukumu langu ila hiyo iko wazi , tena ninahisi itagonga 99.9% .
Yaani uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 wapate zaidi ya 98%, uchaguzi mkuu 2020 ubunge na udiwani wapate zaidi ya 98%, 2024 serikali za mitaa wapate zaidi ya 98% halafu 2025 uchaguzi mkuu wapate under 50% 🤣🤣🤣🤣🤣 , haitatokea na haitakuwa.
Wapinzani wakizubaa tu CCM inakunja 99.9% .
CCM nawajua vizuri. Hawacheki na yeyote.