Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,713
- 5,328
Utafikaje kwenye matokeo bila reforms ?Yule jamaa wa no reform no elections Lazima atapinga matokeo na kudai kaibiawa kura wakati yeye na wafuasi wake hawajapiga kura š¤£
Utafikaje kwenye matokeo bila reforms ?Yule jamaa wa no reform no elections Lazima atapinga matokeo na kudai kaibiawa kura wakati yeye na wafuasi wake hawajapiga kura š¤£
mchakato wa reform chadema walizira na kususa, kikosi kazi ambacho ni matokeo ya falsafa ya 4Rs za Dr Samia Suluhu Hassan ilifanya utafiti na kukusanya maoni ya vyama vya siasa vyote nchini, pamoja na wadau wa siasa nchini,Utafikaje kwenye matokeo bila reforms ?
mtatafuta kura za kuiba safari hii muwape Chauma na UDP ili msikose ruzuku za wafadhiliYule jamaa wa no reform no elections Lazima atapinga matokeo na kudai kaibiawa kura wakati yeye na wafuasi wake hawajapiga kura š¤£
kura na maamuzi ni ya wananchi kwa mujibu wa katiba gentleman,mtatafuta kura za kuiba safari hii muwape Chauma na UDP ili msikose ruzuku za wafadhili

Yule jamaa wa no reform no elections Lazima atapinga matokeo na kudai kaibiawa kura wakati yeye na wafuasi wake hawajapiga kura š¤£
Genteman,View attachment 3275489
Kinyume na hapa hata 40% haipatikani.

Ni kichaa pekee ataona ushindi huo ni wa haki.Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona.
2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%.
Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025.
Watapata zaidi ya 97% kwa njia gani? Mimi si jukumu langu ila hiyo iko wazi , tena ninahisi itagonga 99.9% .
Yaani uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 wapate zaidi ya 98%, uchaguzi mkuu 2020 ubunge na udiwani wapate zaidi ya 98%, 2024 serikali za mitaa wapate zaidi ya 98% halafu 2025 uchaguzi mkuu wapate under 50% š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ , haitatokea na haitakuwa.
Wapinzani wakizubaa tu CCM inakunja 99.9% .
CCM nawajua vizuri. Hawacheki na yeyote.