ushiriki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushiriki wa Maprofesa wetu katika Africa Energy Summit

    1. Maprofesa wetu wapo wapi waelezee tafiti zao za Nishati kupitia energy summit? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM? 2. PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu. Sisi Ngumbaru tunawategemea sana. 3. Tafiti za Factors affecting.. zimepitwa na wakati
  2. S

    USA yalalamika kuwa ushiriki wa majeshi ya Kim vitani Ukraine unayafanya majeshi hayo kuwa hatari zaidi kwa Japan, South Korea na Marekani

    Kwa kawaida adui yako ukiwa wamfyeka vitani ni furaha kwako. Cha kushangaza South Korea na Ukraine wamekuwa wakilalamika kuwa wanaajeshi wa North Korea (adui yao) wanaopigana vita upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamekuwa wakifyekwa kwa makumi elfu! Wakati propaganda hizo zikiendelea, North...
  3. Ushiriki wa Bodi ya Wakurugenzi kwenye Usimamizi wa Mpango Mkakati kwa Kampuni au Shirika

    Bodi ya Wakurugenzi ni chombo nadi ya kampuni au shirika chenye lengo la kusimamia maslahi ya wanahisa/wanachama kwa kuhakikisha kwamba kampuni au shirika linaendeshwa kwa kufuata misingi na taratibu zilizowekwa, ambapo Bodi ya Wakurugenzi ndio yenye jukumu la kuandaa misingi na taratibu hizo...
  4. COP29: Wadau wahimiza hatua za kuongeza Ushiriki wa Wanawake katika Uongozi wa Mipango ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

    Katika Mkutano wa COP29, unaofanyika huko Baku-Azerbaijan, suala la athari za mabadiliko ya tabianchi kwa wanawake limepewa umuhimu mkubwa, hasa kuhusu jinsi wanavyoathiriwa zaidi na majanga ya mazingira kama ukame na mafuriko. Wanawake, hasa kutoka jamii zenye kipato cha chini na zile zilizo...
  5. K

    Ni upi ushiriki wa waislamu kuchinja katika machinjio za kisasa?

    Wakuu Inaaminika na kuheshimika katika jamii yetu hii kwamba walio na mamlaka ya kuchinja ngombe na mbuzi ni waislamu pekee ambapo hali imekuwa hivyo na tunaishi kwa amani Lakini pia waislamu hawaruhusiwi kula kitoweo kilichochinjwa na mtu ambaye si muislamu, wakristo wanaheshimu na imekuwa...
  6. Ushiriki wa tanzania 🇹🇿 katika olympic 2024

    Naomba update ya anayefuatilia mchezo wowote wa Olympic kama ataona sura au jezi ya Tanzania 🇹🇿 ajulishe ili tufyatilie kwa pamoja
  7. Ushiriki kwenye uzinduzi wa kiwanda cha kuunganisha malori na tipa

    09/Mei/2024 Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni. Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa Kiwanda, Alikuwa, Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ambaye Aliwaelekeza Wenye Kiwanda...
  8. SoC04 Ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi

    Utangulizi Siasa ni mchakato wa kufanya maamuzi na kuunda sera ambazo zinahusisha utawala na usimamizi wa jamii. Hujumuisha shughuli kama vile uchaguzi, utoaji wa sera, na ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi. Uongozi ni uwezo wa kuongoza na kusimamia watu au jamii kuelekea kufikia...
  9. J

    UWT yatoa rai kwa wanawake kujitokeza kwa wingi katika ushiriki wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani

    "Historia ya sifa ya wanawake na siku ya wanawake Duniani inajulikana ambayo ni kesho tarehe 8 Machi na hii ni njia ya kuendelea kuhamasishana katika kufanya kazi na kupeana nguvu ya kuinuana kiuchumi." "Tunaomba rai kwa wanawake wote mjitokeze kwa wingi kwenye maadhimisho haya katika Mikoa...
  10. Tunahitaji wawakilishi waadilifu ambao watasimama katika kulikomboa taifa hili

    Friends and Enemies, Baada ya mkutano wa berlin mwaka 1884/85,and after scramble and partition of Africa uzalendo wetu ulichukuliwa kutoka kwa mababu zetu kwa lazima na hatimae uhuru na nguvu zao zikageuka rasimali kwa wazungu (MISSIONARIES) ambao walipewa hati miliki ya kumiliki ardhi yetu na...
  11. B

    Jaji Mwambegele: Ushiriki wa wadau muhimu kufanikisha uboreshaji wa daftari la Wapiga Kura

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele wakati akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi kuhusu majaribio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura leo tarehe 17 Novemba, 2023 jijini Dar es Salaam. Sehemu ya viongozi wa Dini walioshiriki mkutano huo...
  12. W

    Ushiriki mdogo wa vijana katika nafasi za uongozi Tanzania unatia wasiwasi

    Nchini Tanzania, ushiriki wa vijana katika nafasi muhimu za uongozi bado ni mdogo sana, hali ambayo haionyeshi ukweli wa idadi ya watu wa nchi. Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 ilifunua kuwa takribani asilimia 50 ya Watanzania wana umri wa miaka 18 na chini, na thuluthi mbili ya idadi ya...
  13. Ushiriki wa timu za Tanzania CAF Confederation & CAF Champions League 2023/2024

    Ni sehemu maalum kwa wadau wa mpira wa miguu kutoa maoni, ushauri na uchambuzi. Msimu mpya umeanza kwa timu zetu 4 kuiwakilisha Tanzania kwa ushiriki wa michuano ya kimataifa barani Afrika.Tanzania imepata nafasi ya kupeleka timu 4 ukiwa ni msimu wake 4, Ligi ya Tanzania inashika nafasi ya 5...
  14. Kilele cha Sikukuu ya nane nane, ushiriki wa Wilaya ya Ludewa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva, ametembelea kwenye mabanda mbalimbali kwenye maonesho ya Nane Nane 2023, Mkoani Mbeya Lengo ni kuzidi kubadilishana mawazo, uzoefu na ujuzi haswa kwenye sekta ya kilimo. Wilaya ya Ludewa- imeshiriki kikamilifu kwenye maonesho ya Kilimo ya...
  15. D

    SoC03 Utawala Bora na kukuza ushiriki wa wananchi katika maamuzi ya kijamii na uchumi

    Utangulizi Utawala bora na ushiriki wa wananchi ni mambo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi. Utawala bora unaohusisha uwazi, uwajibikaji, haki, na kuheshimu haki za binadamu unaimarisha demokrasia na kuleta ustawi katika taifa...
  16. K

    Dr. Sigalla: Ushiriki wa Marie Stopes Tanzania katika Tuzo ya EJAT utasaidia kuondosha mitazamo potofu juu ya Afya ya Uzazi

    Dr. Geofrey Sigalla Tuzo za Umahiri katika Uandishi wa Habari (EJAT) 2022 zilizotolewa kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Jumamosi ya Julai 22, 2023 ambapo waandishi mbalimbali walifanikiwa kubeba tuzo kwenye vipengele tofauti. Tuzo hizo ambazo ziliratibiwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT)...
  17. Dkt. Slaa ushiriki wako kwenye mjadala wa Bandari unatuharibia

    Nakusalimu kwa jina la UKAWA, itikia "nilikataa ushenga" Wewe ni mtu ambaye ulitukosesha ushindi mkubwa zidi ya CCM mwaka 2015. Ulitukimbia katika hatua za mwisho na kama haitoshi ulidiriki kutumika na haohao CCM kufichua kile ulicho kiita mkakati batili wa kushirikisha Lowasa na baadhi ya...
  18. SoC03 Kuwezesha Ushiriki wa Wanawake katika Maamuzi ya Afya

    Utangulizi Hali ya ushiriki wa wanawake katika maamuzi ya afya ni suala muhimu linalohitaji kipaumbele katika jamii zetu. Wanawake wana haki ya kuchangia katika maamuzi yanayohusu afya zao wenyewe, familia zao, na jamii kwa ujumla. Hata hivyo, katika sehemu nyingi duniani, wanawake bado...
  19. SoC03 Kuimarisha Ushiriki katika Majadiliano ya Mtandaoni kupitia Saikolojia ya Biashara na Mtazamo Chanya

    KUIMARISHA USHIRIKI KATIKA MAJADILIANO YA MTANDAONI KUPITIA SAIKOLOJIA YA BIASHARA NA MTAZAMO CHANYA Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Je, umeshawahi kujihusisha katika majadiliano ya mtandaoni lakini hujui jinsi ya kufikia malengo yako? Biashara na majadiliano ya mtandaoni vina uhusiano...
  20. SoC03 Ushiriki wa Sekta Binafsi katika usambazaji wa umeme Tanzania

    Umeme ni sehemu muhimu ya maisha ya kisasa, unawezesha kila kitu kuanzia majumbani, biashara, hospitali, shule nk. Hata hivyo, katika nchi nyingi zinazoendelea, upatikanaji wa umeme ambao unategemewa sana bado ni changamoto kubwa. Ndani ya Nchi yetu ya Tanzania kuna shirika moja tu linalohusika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…