PreGE2025 Viongozi wa dini watoa elimu ya Uraia kuhamasisha ushiriki wa Uchaguzi 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
418
Reaction score
550
Viongozi wa dini Tanzania wamefanya semina elekezi kwa viongozi wa dini mbalimbali pamoja na wananchi kuhusu Elimu ya Uraia nchini Tanzania.

Akizungumza na vyombo vya habari Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu Mkuu TEC amesema lengo kuu la semina hiyo ni kuwapa elimu wananchi hasa kipindi hiki cha uchaguzi ili kila mmoja aweze kushiriki uchaguzi huu.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nae Mussa Saidi Ndazigula ambae ni Katibu wa BAKWATA - Mtwara amesema viongozi watakaochaguliwa watambue ni Mwenyezi Mungu amewachagua na waongoze wananchi vyema.

Semina hiyo imeratibiwa na BAKWATA, TEC na CCT lengo kuu ikiwa kuhamasisha viongozi wa dini pamoja na wananchi kushiriki Uchaguzi Mkuu huru wa haki na wenye kuaminika mwaka 2025.

Kama hakuna Reforms kwenye mfumo wa Uchaguzi inakuwa ni kazi bure.
 
Hizo ni semina za kupotezeana wakati, kimsingi hatuna chaguzi tena za kusema tunachagua viongozi.
 
..uchaguzi wa haki utawezekana vipi katika mazingira na sheria mbovu tulizonazo?
 
No reforms no election.

Kama hakuna reforms hata mimi Gamic sitashiriki uchaguzi itakuwa ni kupoteza muda tu.
 
Back
Top Bottom