ushoga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Kitendo cha Mahakama zetu kushughulikia kesi za ushoga na kuwaacha mafisadi ya matrilioni mtaani hiyo ni failure ya nchi kwa 100%

    Kila mwaka tunasomewa report na CAG , tunajionea jinsi watu walnavyogawanya mabilioni ya umma kinyume na sheria. Hatuoni mafisadi wakiwa kwenye pingu. Sijawahi kusikia kuwa kuna fisadi kafungwa miaka 30 jela tangu nipate akili. Ushoga ni tatizo ila si kubwa zaidi ya tatizo la ufisadi na wizi wa...
  2. B

    Futari ya DC Mgomi yawakutanisha Wana- Ileje

    IFTARI YA DC YAWAKUTANISHA PAMOJA WANAILEJE. Mkuu wa wilaya ya Ileje mkoani Songwe Mhe. Farida Mgomi ameandaa Futari iliyowakutanisha waislamu, viongozi wa dini ya kikristo,viongozi wa vyama vya siasa viongozi wa Mila na viongozi wengine wa serikali. Mhe. Mgomi ameandaa Futari hiyo...
  3. T Kaiza-Boshe

    Uenezaji wa ushoga waweza kuwa mbinu mojawapo ya maangamizi ya kimbari

    Kwa wiki kadhaa sasa, Watanzania wamekuwa wakisikia mengi ya kushangaza, kusikitisha, na kukasirisha kuhusu wimbi la ushoga nchini na kwingineko. Mbali na kinachoonekana kuwa kukithiri kwa matendo haya machafu; yasiyokubalika kijamii, kitamaduni, kidini, na kisheria; kinachoshangaza na kutisha...
  4. Adolph Jr

    Sababu kuu za Mmarekani kuhamasisha kwa nguvu sana ushoga Afrika na siyo mabara mengine

    Ni muda sasa suala la ushoga na habari zake zimeendelea kuchoma na kuumiza masikio na macho ya waafrika na wengi wetu kukerwa na wengine kuhuzunishwa. "kwanini Afrika kwa sana"?. "Kwanini Mmarekani ndiye anaongoza kwa kuhamasisha na je una manufaa gani kwake kama siyo udhalimu tu dhidi ya...
  5. Roving Journalist

    Tulia Ackson: Naagiza Serikali ifanye utafiti wa Mapungufu ya Sheria ya Ushoga na Usagaji ili iendane na uhalisia wa sasa

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 6 leo Aprili 13, 2023 jijini Dodoma. SERIKALI YAAGIZA NHIF ITOE KIBALI MATUMIZI YA CT SCAN HOSPITALI YA IRINGA Agizo hilo limetolewa baada Mbunge Jesca Msambatavangu kuhoji Bungeni sababu za wagonjwa wanaotumia Bima ya NHIF...
  6. Petro E. Mselewa

    Kama nchi, ushoga tumeukataza na kuuadhibu kisheria. Kilichobaki ni utashi wa kuisimamia sheria husika, tuache porojo!

    Nimechukua muda wa kutosha kuisoma Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Sura Na. 16 iyofanyiwa mapitio mwaka 2019) na kujiridhisha pasi na shaka kuwa, kama nchi-Tanzania, ushoga umekatazwa na kuadhibiwa vikali kwenye sheria hiyo. Ni vifungu vya 154 na 155 vya Kanuni ya Adhabu. Wahusika wote wa ushoga...
  7. K

    Wabunge wanaotaka kuangaliwa Ushoga watambue hakuna vifaa Maalum vya Uchunguzi

    Kama kweli hawa wabunge wanataka wabunge wote waangaliwe ushoga basi waite Daktari na wajue hakuna vifaa maalumu vya kuangalia. Madaktari wanatumia kidole cha katikati na kuvaa gloves kupima misuli hiyo. Tunawatakia afya njema na tuanze kujadili ripoti ya CAG na sio wapenda vidole na wabunge...
  8. Huihui2

    Agenda ya Ushoga: Katika Wateule wa Joe Biden 1,500 kuna mashoga 210 sawa na 14%

    Tusishangae kwa nini hoja ya ushoga au upinde 🌈 imepamba moto duniani kwa miaka hii miwili toka Joe Biden achuguliwe kuwa Rais wa USA. Kwa makusudi mazima alichagua mashoga maarufu kushika nafasi nyeti 210 kati ya 1,500 anazoruhusiwa kuteua anayemtaka.
  9. JanguKamaJangu

    Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”
  10. K

    Ndoa za lazima baada ya ushoga kuruhusiwa

    Ninajaribu kufikiria baada ya serikali za kishetani zikiongozwa na US zitakapofanikiwa kuzifanya nchi zote Duniani kuwatambua wagonjwa wa akili waliobatizwa jina la wapenzi wa jinsia moja,hatua itakayofuata itakuwa ni kulazimisha ndoa za lazima,yaani kila mwanaume let's say mwenye umri wa miaka...
  11. ChawaWaMama

    Dalai Lama aomba msamaha baada ya video akimuomba mvulana amnyonye ulimi kusambaa

    Wadau kuna news 🗞️ inatrend inaonekana Dalai Lama siyo haba Pia soma > https://www.jamiiforums.com/threads/dalai-lama-avuna-aibu-ya-karne.2085138/ --- The Dalai Lama has apologized after a video emerged showing the spiritual leader kissing a child on the lips and then asking him to “suck...
  12. Abraham Lincolnn

    Pongezi viongozi wa dini kwa kukemea ushoga, Ndoa za jinsia moja

    Nilipohudhuria ibada kuanzia Alhamisi Kuu, Ijumaa Kuu mpaka Jumapili ya Pasaka nimeona jinsi viongozi wetu wa dini walivyojipanga katika kukemea maovu haya. Siku ya Ijumaa kuu, Askofu alitumia muda mwingi kukemea tabia za ushoga na ndoa za jinsia moja (sikuelewa kwanini alitilia mkazo sana), Pia...
  13. Boss la DP World

    Kilimanjaro: Asasi inayohamasisha Ushoga na Usagai yafutwa

    Serikali wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, imesitisha shughuli zinazofanywa na shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana la Kilimanjaro Youth Network baada ya kubainika kufundisha na kufungisha vijana ndoa za mapenzi ya jinsia moja tofauti na usajili wa shirika hilo. Chanzo...
  14. Mwanongwa

    Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

    Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile. Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa...
  15. fiksiman

    Nini chanzo cha ushoga (uhanithi)?

    Hivi karibuni nilikuwa maeneo ya kule kuna nani (Tanga), kama mnavyojua kwa wale wenzangu wasafiri wa mara kwa mara ukifika eneo fulani na kupiga kambi hamu ya kupata wenyeji inakuwa kubwa. Sasa kwa jiji hili ndo burudani zaidi...basi mie shida yangu kubwa ilikuwa kupata mtoto mmoja wa kimanga...
  16. benzemah

    Julius Malema anaongoza maandamano kuunga mkono ushoga na usagaji na kumpinga Rais Museveni

    Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya...
  17. Shujaa Mwendazake

    Tuhuma za Madawa ya Kulevya: Kamishna Jenerali wa DCEA akosoa utaratibu alioutumia Makonda

    Jana katika kipindi cha Dk 45 ITV walikuwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ambaye alipinga vikali utaratibu uliyokuwa unatumiwa na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa DSM Ndug Paul Makonda wa kuwataja hadharani watu aliokuwa akiwatuhumu au wakidhaniwa kuhusika...
  18. Mwamuzi wa Tanzania

    Umaskini na ufukara ni hatari kuliko ushoga na usagaji. Tuanze na vita ya umaskini na ufukara kisha tukatae ushoga

    Binafsi naona umaskini na ufukara mkubwa ndani ya Tanzania ndio viwe adui nambari moja kabla hatujahamishia magoli kwenye issue ya ushoga na usagaji. Leo hii mtu analala kwenye nyumba ya nyasi na udongo pamoja na kuku ndani lakini watu hawaoni ajabu kwasababu umaskini na ufukara umerasimishwa...
  19. M

    Rais Museveni anapambana vilivyo na harakati za magharibi kueneza ushoga: Viongozi wetu jifunzeni kitu!!

    Sheria kali dhidi ya mashoga inatungwa Uganda, hata wamiliki wa nyumba watakaokodisha kwa mashoga watakamatwa 6 Machi, 2023 Kennes Bwire Rais wa Uganda Yoweri Museveni akisaini mswada dhidi ya mashoga na kuwa sheria mwaka 2014, katika ikulu ya rais ya Entebbe, February 24, 2014. Shirikisha...
  20. hugochavez

    Rais Magufuli ampongeza Marehemu Askofu Chengula kwa kukemea ushoga na mapenzi ya jinsia moja

    Ilikuwa leo katika ibada maalum ya kumuaga Marehemu askofu wa Jimbo kuu la wakatoliki Mbeya iliyofanyika Makao makuu ya baraza la maaskofu Tanzania Kurasini jijini DSM. Alipopata fursa ya kutoa salam Mh Rais Magufuli alisema sitamumunya maneno, Nampongeza marehemu askofu Chengula kwa mema...
Back
Top Bottom