Binadamu na viumbe wengine wana tabia kuu zinazofanana. Viumbe wote wanazaa, kula, kuhema, kuhisi, kutoa uchafu na kusogea kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Tabia zote hizi huwezi kuzizuia Wala kuziruhusu zitokee kwa utashi wa viumbe vyenyewe, hutokea automatically chini ya autonomic nervous...
Kwa kuanza kabisa naomba tutambue wasanii wa bongo fleva wanaotumia dawa za kuchochea misuli gym wanaziita steroids/poda ni pamoja na Diamond, harmonize, jux, calisa, ney wa mitego Hawa ni baadhi ya wasanii wanaotumia dawa za kukuza misuli, ukinywa dawa hizi gym unajazia misuli haraka kwakuwa...
Wasalaam.
Dunia inajiendea katika mifumo iliyoandaliwa. Hili swala la Ushoga lililopamba moto kwa sasa ni matokeo ya Ufeminist ulioratibiwa hapo kabla.
Ufeminist ni mfumo wa kuwatetea wanawake wajione wapo sawa na wanaume katika kila nyanja katika jamii. Na jumuiya za kimataifa zimewekeza...
Anaandika Ezekiel Kamwaga:
Tuwe makini
Kuna fasheni imeanza ya watu kujionyesha wana msimamo mkali dhidi ya ushoga. Taratibu, jambo ambalo liko mbali sana kwenye matatizo yetu linaanza kukuzwa kwa sababu linagusa hisia za wengi. Hata hivyo, tutapoteza mwelekeo kama tutaanza kuwaona ‘mitume’...
Ni jambo ambalo Waziri alilitolea maelezo marefu mbele ya vyombo vya habari. Naona ni kimya lna mambo ya ushoga yanatajwa sana! Waziri tueleze nini matokeo ya tume yako. Tueleze hatua ulizochukua kama waziri. Muhimu kabisa, taja shule hiyo ni ipi ili ijulikane kitaifa.
Viongozi wa kitaifa TZ...
Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua.
Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote
USSR...
Nchi ya Marekani ndiyo muamuzi wa Dunia. Mbungea wa Kenya amemlaumu balozi wa Marekani kuwa ndiye anayeeneza ushoga nchini Kenya, pia amesema Marekani ndiyo inayoharibu dunia
Ukweli ni kuwa Kenya hailingani na Marekani hata theluthi hivyo haiwezi kupingana na Marekani, Marekani wakiamua Kenya...
Muswada huo unawagusa wote wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja au kubadili jinsia, utaanza kufanyakazi baada ya kusainiwa na Rais Yoweri Museveni.
Muswada huo unabainisha kuwa marafiki, ndugu wa familia na wanajamii husika watawajibika kutoa taarifa kwenye mamlaka kuhusu yeyote...
Mambo mengi ya kukemea…
Naanza na kumpongeza KAGAME
1. Ufungui Dini Hovyo hovyo nchini kwake kwa Mgongo wa uhuru wa kuabudu lazima tuwaratibu hawa watu!
2. Kakataza Azana za Asubuhi ni Kelele anasema mwamba kupiga Kelele mijini imepitwa na wakati, mnapigia watu Kelele mitaani, akawasihi...
Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.
Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa...
Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini.
===
Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo.
Hata hivyo amesema...
Wazungu wanao msemo wao maarufu usemao "nionyeshe rafiki zako ili nikwambie tabia yako", wakimaanisha kuwa kama ukiwa na marafiki shoga na wewe upo uwezekano mkubwa ni shoga vilevile au huuchukii ushoga hata kama wewe sio shoga.
Baba yangu alikuwa sheikh mkubwa lakini alikuwa na marafiki zake...
Jana katika pita pita mtandaoni nikatembelea mtandao wa kenya talk, nikakuta title sijui imeandikwa wazazi kujeni muone watoto wenu nikafungua thread nikakuta Kuna clip nikaifungua!! La haula, nilijuta hata kuifungua aisee, mpaka nikatetemeka
Kuna jamaa mtu mzima kidogo alikua uchi wanampiga...
Tumepata habari rasmi kuwa kuna ujio wa ugeni mzito tika Marekani. Zaidi soma Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania
Makamu wa Rais Marekani mama Kamara Harris anakuja ziara ya kiserikali nchini mwetu Tanzania.
Hii ni heshima kubwa kwa Tanzania.
Hapa nchini watakuwa...
Baada ya Vladmir Putin kutangaza kuwa Taifa hilo linapinga ndoa za jinsia moja, ilipelekea watu wengi sana wa dunia ya tatu kumuunga mkono licha ya udhalimu wake wa kupeleka majeshi Ukraine kuivamia ardhi ya nchi hiyo ili kupora baadhi ya maeneo.
Uungwaji mkono huu wa Vladmir Putin kutoka kwa...
Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo:
1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena
2. Umechapwa ukulia utachapwa tena
3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa
4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa
5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa...
Maandamano hayo yaliongozwa na viongozi wa dini, na wananchi walijitokeza kwa wingi kupinga matendo ya mapenzi ya jinsia moja.
Hali hii imetokana na baada ya vikundi vya kutetea mapenzi ya jinsia moja duniani kuzidisha kasi na msukumo wa kuhalalisha matendo hayo.
Tuliona presha nchi ya Qatar...
Mambo ya watu wawili chumbani wewe yanakuhusu nini?
Kwanini Mashoga waonekane ni wabaya harafu wanaowala hao Mashoga probably mtoa mada muonekane wajanja?
Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.
Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?
Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?
Nini maoni yako msomaji.
=====
UPDATES :
Bendera imeondolewa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.