Kwa wiki kadhaa sasa, Watanzania wamekuwa wakisikia mengi ya kushangaza, kusikitisha, na kukasirisha kuhusu wimbi la ushoga nchini na kwingineko. Mbali na kinachoonekana kuwa kukithiri kwa matendo haya machafu; yasiyokubalika kijamii, kitamaduni, kidini, na kisheria; kinachoshangaza na kutisha...