ushuru

  1. DOKEZO Mkurugenzi wa Jiji Dodoma fuatilia watoza huduma maegesho wako!

    Niliamua kutembelea waifu kwa wiki kama 2 Dodoma nimegundua kitu fulani cha ajabu sana kwenye maegesho ya magari Dodoma. 1. ukiegesha gari, mtu anakuja kuscan namba ya gari, hata dakika chache hazijafika mwingine anafanya hivyo. nilipouliza mmoja akaniambia wanaweza kuscan 500 hadi 3000...
  2. J

    Mbunge wa Kilombero amuomba Rais Samia kutazama upya bei ya ushuru wa mazao

    Mbunge wa Kilombero, Abubakar Assenga amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutazama upya bei ya ushuru wa mazao jimboni humo na kutozuia uvuvi wa samaki aina ya mlamukaliandili, ili kuondoa kero kwa wananchi. Assenga amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 katika mkutano wa hadhara ambao Rais...
  3. Ushuru wa magari ya zaidi ya miaka kumi uongezwe hadi 40%

    Au mnasemaje wanabodi ili tuingize vitu vipyaaa na tusalimishe mazingira na afya. Katika kulinganisha viwango vya ushuru vya magari yaliyotumika na nchi nyingine, tunaona tofauti kubwa. Kwa mfano, nchini Kenya, ushuru wa magari yaliyotumika unatozwa kwa kiwango cha 20% kwa magari yenye umri wa...
  4. Msamaha wa ushuru kwa vyombo vya usafiri(magari/pikipiki) kwa watumishi wa Umma

    Utangulizi Uzi huu unatoa maelezo kuhusu taratibu muhimu ambazo watumishi wa umma wanatakiwa kuzingatia wanapohitaji msamaha wa ushuru kwenye vyombo vya usafiri(magari/pikipiki). Aina ya vyombo vya usafiri vinavyohusika na msamaha (a) Magari (b) Pikipiki za aina zote Ushuru unaosamehewa...
  5. U

    Je Zakayo Mtoza ushuru wa kwenye Biblia alikuwa na ufupi wa aina gani? wa kawaida au wa mbilikimo ? alikuwa ameoa? alikuwa kabila gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Wenye elimu mtuelimishe zaidi kuhusu ndugu yetu huyo aliyepata umaarufu baada ya kubahatika kutembelewa na Bwana wetu Yesu Kristo nyumbani kwake. Karibuni tujifunze
  6. N

    Hili la ushuru wa mazao kwa mkulima wa mikoa ya kusini halipo sawa.

    Ndg wanaforum nmiona nlilete kwenu swala linalohusu mkulima kutozwa ushuru wa mazao hata ikiwa gunia moja wakat anapita geti la ushuru atokapo shamba kwenda kuhfadhi mazao yake, Ni Jambo lilonitia hasira Sana kutokana na matamko ya viongozi wakubwa wa nchi yetu kuwa ni marufuku kulipa ushuru kw...
  7. Teknolojia ya habari, mawasiliano na mitandao ya kijamii ilivyo fanikisha maandamano na mageuzi katika mapendekezo ya kodi, tozo na ushuru Kenya

    Hayakuandaliwa chini ya mwamvuli wa upinzani kama ilivyozoeleka. Hayana kinara wala kiongozi moja muwajibikaji... Organization na mobilization ya vijana waandamanaji imefanyika na kuchochewa kupitia mitandao ya kijamii tu.. Imepelekea ugumu kwa polisi kubabaika, kwasababu haikuwa rahisi...
  8. Ajira za wakusanya ushuru na wafanya usafi soko la feri

    Ajira za muda za watoza ushuru na wafanya usafi soko la feri, vijana muombe mshahara 300,000 kwa mwezi si haba
  9. Ikitokea Umepata Mil 180 leo, Haitoshi kulipa Ushuru wa Range Rover ya 2024

    Tuache bei ya chuma yenyewe, ila TRA wanataka Mil 185 ukileta hii kitu tena ya 2024. Sasa sijui ikiwa 0 kilometa kuna excuse? Kusema kweli kuna magari mazuri ila ushuru kichomi. Tukipishana nayo njiani tuwe tunaacha space. Tusije pasua taa.
  10. A

    KERO Mamlaka zinazokusanya ushuru stendi kuu ya mabasi ya Tabora, hazirudishi chenchi kwa wateja wake. Mteja akienda na Tzs 500 anapewa risiti ya 200

    Harudishiwi kiwango cha fedha iliobaki. Naomba manispaa ya Tabora ilitizame hili maana Kuna Dalila za kuihujumu serikali.
  11. Parking system: Watoza ushuru wa maegesho wanataka kuniibia au ndio wameshaniibia?

    Nilienda ofisini kwao na kulalamika kwamba wanachaji pesa nyingi kwa siku 6,000/=, Nikapelekwa ofisi ya mhasibu akanambia kuna vifurushi unaweza kuchagua, kidogo vina bei nafuu, basi nikachagua kifurushi cha mwezi kwa 50,000/= ajbu nimelipia 50,000/= na bado kwenye malipo ya kila siku...
  12. Shinyanga: Watumishi waliowagaragaza raia kwa kushindwa kulipa ushuru wasimamishwa kazi

    Kufuatia video inayosambaa mtandaoni ikionesha Mtu akipatiwa adhabu ya kugalagala chini pamoja na kuruka kichura baada ya kukaidi kulipa ushuru wa halmashauri kwa watumishi wanaohusika na ukusanyaji wa ushuru katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Mkoani Shinyanga Mkuu wa wilaya ya Kahama...
  13. KERO Ushuru wa maegesho umegeuka kuwa wizi usiotumia mabavu wa serikali dhidi wananchi wake

    Tangu utaratibu wa ushuru wa maegesho uondolewe TARURA na kupelekwa katika halmashauri umegeuka kuwa wizi wa wazi wa serikali dhidi ya wananchi wake. Mawakala wa halmashauri wanaohusika na kukusanya ushuru huo kwa kuvitoza vyombo vya moto vilivyoegeshwa wanafanya hivyo kimyakimya bila kuacha...
  14. A

    DOKEZO Mdau – Mpanda: Watoza Ushuru Stesheni ya Mpanda wanapiga dili sababu mizigo ya treni haikaguliwi njiani

    Picha kwa Hisani ya TRC Jamani nawapongeza kwa kupaza sauti na kwa taarifa mnazozitoa Jamii Forums, nyie ndio Chombo pekee cha Watanzania ambacho mnatupa nafasi ya kueleza kero zetu kwa uwazi bila konakona. Naomba nitoe dukuduku langu, Serikali iangalie eneo la Stesheni ya Mpanda, Katavi...
  15. Huu ushuru wa wajasiriamali upoje?

    Wanajukwaa salam. Wanaotakiwa kutowa ushuru kwenye maeneo wanayotafutia riziki ni wepi Kati ya hawa? Waliopo kwenye maeneo rasmi kama masoko,au waliyo kando ya njia(road reserves) au maliyipo kwenye maeneo ya watu binafsi?
  16. Mbunge ataka wageni wa Kuwait, walipie ushuru wa hewa wanayopumua

    Hii ingesemwa uzunguni, mngesikia makelele hadi kuzimu...hawa waarabu ni makatili sana na mnavyopenda kuwaabudu huku mkivaa mikanzu na kuotesha mindevu mfanane nao... Kuwait MP calls for foreign workers to be charged “for the air they breathe” Safa Al-Hashem is among a group of MPs calling for...
  17. Dar: Mtoza Ushuru wa Stendi ahukumiwa kwa kuomba Rushwa ya Tsh. 150,000

    Februari 15, 2024 kesi namba cc 3998/2024 imeamuliwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni ambapo imemtia hatiani Bw. MOSES JOHN ZIMBA (Mkusanya Ushuru Stendi ya Mabasi Bunju), kwa kosa la Kuomba na Kupokea Rushwa kinyume na kifungu cha 15(1)(a) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa [CAP...
  18. DOKEZO Serikali iko wapi masoko yanakuwa machafu kiasi hiki? Kipindupindu kitatuacha?

    Hali ya masoko kwa kweli ni mbaya sana, yaani unaweza kununua bidhaa ukaharibu viatu na ukapata magonjwa mazingira ya masoko yetu. Kila mfanya biashara analipa ushuru wa kuwepo sokoni, hata hivyo inashindwa kubainika hela zinatumikaje? Mbona masoko machafu hadi yanatia kinyaa, na mengine hutoa...
  19. L

    Ushuru wa Parking kwenye fukwe za Dar Ni kwa Sheria ipi?

    Habari wadau. Kuna huu ushuru ambao watu wenye magari wanalipishwa wanapokuwa wanaingia kwenye fukwe za bahari kwa maelezo kuwa ni ushuru wa halmashauri. Nimemuhoji mmoja wa watoza ushuru ila hapa Mbezi beach ila majibu yake hayaeleweki. Mi ningependa kujua, huu ushuru wanaokatisha kwa...
  20. Bidhaa kutoka Zanzibar zinatozwa ushuru wa ziada mara zinapofika Tanganyika

    Kwa muda sasa kumekuwa na huu utaratibu ambapo mtu akinunua bidhaa Zanzibar akifika Tanganyika anatozwa tena ushuru (nyongeza) tofauti na ule ushuru wa awali aliolipa wakati wa kununua Kwa mtazamo wangu; Utaratibu uliopo kwa sasa, haunufaishi upande wowote; Zanzibar ndio wana adhirika zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…