Jana nikiwa mapumziko nikapokea Meseji Kutoka TARURA kuwa nadaiwa kiasi cha 6500/= nikatumiwa na Control no ya kulipia , chaajabu kila nikitaka kulipia nakutana na deni tsh 23,500/= nikaamua kusitisha kulipa kwanza, mpaka leo nilipolipa nikakuta ni 6,500.