Heshima kwenu wanajamvi,
Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole alinukuliwa akimtuhumu kiongozi mmoja aliyetaka kupitisha makontena 70 narudia makontena 70 bila kulipa kodi stahiki.
Mbaya zaidi, eti kiongozi huyo kanuna, kakasirika, au ukipenda kasusa.
Sasa najiuliza ni kwanini Kiongozi...