usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    Mwaka 1988 siku ya kwanza kuonavideo ya wimbo Thriller wa Michael Jackson pale Drive inn sikulala usiku

    Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 , pale Drive inn Cinema zilipo ofisi za Zantel,Msasani. Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu ulipigwa wimbo wa Thriller wa Michael Jackson Kwa umri wangu mdogo chini ya miaka 10 yale...
  2. KING MIDAS

    Dwight York:- Msimu wa 1999/2000, alikuwa akilala na wanawake 3-5 kwa siku

    Dwight Yorke amefichua kwamba wakati wa msimu wa 1999/2000, alikuwa akilala na wanawake 3-5 kwa siku: "Katika miaka yangu ya baadaye Man United, wanawake walikuwa wakinijia kila mara. Nina watoto huko nje ambao sijakutana nao, na nina uhakika mmoja wao yuko kwenye Ligi ya Premia hivi sasa...
  3. comrade_kipepe

    Watoto wa kike usiku huu wanaenda msikitini kufanyaje kipindi hichi cha mfungo?

    Kila siku mida hii ya usiku ñaona mabinti wanapita wanasema wanaenda msikitini, kipindi hichi cha mfungo wanaenda kufanyaje? Mbona kama NI hatari Sana? Leo nimekuta binti mmoja kavaa ushungi kabananishwa kwenye ukuta kuna kinjia kinatoka msikititi, walikua wanayajenga walivyoniona wakapiga...
  4. Carlos The Jackal

    Inasikitisha Inaliza, inaumiza, Video ya Mke wa Mgombea Uenyekiti CHADEMA Akisimulia Jinsi Polisi walivyomuua Mumewe Kwa Risasi usiku wa Manane!!.

    Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu. Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake. Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake...
  5. GENTAMYCINE

    Nilichotoka Kukiona muda si mrefu kwa Mtaalam wangu ambaye kwa 100% huwa haongopi ngoja niagize kabisa Wine zangu na niianze furaha usiku huu huu

    ANGALIZO KALI Huu uzi wala hauhusiani na jambo lolote lile ambalo labda unalihisi, bali nimeamua tu Kuandika nikimaanisha vingine!!!!
  6. Damaso

    Ajali ya gari Morogoro usiku wa kuamkia Machi 4

    MOROGORO: WATU watatu wamefariki dunia kwa kuungua moto baada ya magari mawili ya mizigo ,moja likiwa limebeba shehena ya mafuta yaliyotambuliwa kuwa ni dizeli kugongana uso kwa uso wakati yakipishana kwenye tuta la kupunguza mwendokasi eneo la Nane Nane, Manispaa ya Morogoro kwenye barabara kuu...
  7. Christopher Wallace

    Kariakoo derby kupigwa Saa 1:15 usiku jumamosi, TFF wamezingatia kweli Usalama wa mashabiki?

    Mechi ya watani Simba Vs Yanga itapigwa saa 1:15 usiku kutokana na sababu za mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Mechi ikianza Saa 1:15 maana yake itaisha saa 3:00 usiku Vipi usalama kwa mashabiki watakaojitokeza na ambao wengine huambatana na familia zao, TFF wamezingatia kweli suala la usalama?
  8. Nomadix

    Kwanini ikifika saa6 usiku network inakata Vodacom?

    Nimekuwa naona mara kwa mara ikishafika saa6 kamili usiku (00:00) au ndani ya dakika kumi za mwanzo network ya Voda inazima kabisa! Inarudi baada ya nusu saa au pengine inarudi saa7! Kwanini inakuwa hivi?
  9. Pdidy

    Traffic usiku naomba mjilinde msiamini haya malori pls mtaisha

    Leoo nilikuwa nasubiria kaka na gari la kutoka Moshi Saakumi usiku..BAADA ya mda nkashangaa hapatikan Nkakaa mpaka saa mbili akanipigia aisee sorry ndio tunakuja tumepata ajali Hee kivipi mbona MASAA mengi akasema walikuwa wameshapita bagamoyo BAADA ya mda wakasimamishwa na traffic Traffic...
  10. kitoto wa vitoto

    Habari za usiku ndugu zangu naomba ushauri

    Nina mtoto wa kike ana MWAKA na mwezi 1 alizaliwa akiwa na changamoto ya kulia sana Tulimuona Dr mara kadhaa Dr wengi hawakuona ugonjwa Ila baadae tuligundua ana TB ya mapafu alipata matibabu Ila bado afya yake bado imedhoofika sana tumempa kila aina ya lishe Ila bado uzito wake ni ule ule pia...
  11. babukijana

    Bibi mnaongea usiku kucha

    Hapa kuna jambo kidogo. Mi nipo nakaa kwa kijanamke kimetoka Uganda. Nilikitwanga kweli kweli mwaka mzima. Kinakaa kwangu buree Nikafukuza kiende kilikotoka. Ilikua baada ya ya kuniletea mabalaa kwangu Sasa badae katika maisha huyu hapa Tukakutana. Ikabidi katika maongezi kasema njoo hapa...
  12. Ritz

    Brigedi za Al-Qassam ziliamua kukabidhi miili ya mateka wanne wa Kizayuni usiku wa kuamkia leo

    Wanakumbi. Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, Abu Obaida: Ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya Mafuriko ya Al-Aqsa kwa ajili ya kubadilishana wafungwa, Vikosi vya Al-Qassam vimeamua kukabidhi maiti za mateka wafuatao wa Kizayuni usiku huu: 1- Itzahi Idan 2- Itzik Al-Jar yake 3- Ohad Yahalomi 4-...
  13. Magical power

    KALIBUNI MSOSI YA USIKU WAKUU

    Kalibuni fans wangu wote
  14. mr pipa

    Hii tabia ya binadamu kuamka kati ya saa nane usiku hadi saa kumi huwa ina maana gani?

    Nimekuwa na tabia hiyi hata kama nikalala saa 7 usiku ila ukifika kwenye hayo masaa hata kama nilikuwa nimechoka au kuwa na usingizi mzito ukifika huo muda ni lazima nitastuka iwe kwa kwa kupenda au kutopenda Nimejalibu uliza baadhi ya viongozi wa dini wananiambia Mungu anakuamsha umuombe...
  15. M

    Mtoto wa mwaka 1 anakohoa sana usiku

    Habar wakuu msaada wenu bint yangu wa mwaka mmoja anakohoa sana usiku tumejaribu kumpa dawa na kwenda hospital dawa hazijasaidia kitu...anakohoa Hadi inaogopesha ,,na mchana mara Chache hukohoa
  16. Hold on

    Huwa unafanya nini ukikosa usingizi?

    Kama usiku ukikosa usingizi unafanya nini? Mimi naimba pambio
  17. Mlalamikaji daily

    KERO YAS (zamani TIGO Tanzania) kila ikifika saa moja usiku hadi saa 4 huduma yao ya kifedha inasumbua nini shida?

    Hawa Nyash sorry YAS Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida... Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu! Na ukipiga huduma kwa wateja wanajibu simple tu wanashughulikia.. Lakini tatizo ndio liwe kila siku??
  18. M

    Mtoto wa miezi 11 anakohoa sana ikifika nyakati za usiku akiwa amelala

    Habar wakuu naombeni msaada wenu nna mtoto wangu wa miez kumi na moja na nusu... Ikifika nyakati za usiku akiwa amelala anakohoa mno Hadi asubuh,anaweza kuwa anasumbuliwa na shida gani
  19. Leonce jr

    Nimeacha pombe na sigara lakini napata taabu sana, sipati usingizi hadi usiku wa manane

    habari wakuu. Weekend nyingine ya mwanzo wa mwezi february sasa. mimi ni kijana (me) wa umri wa miaka 27 nilianza kuvuta sigara mwaka 2016 nikiwa advance. NImevuta miaka sasa pamoja na kunywa pombe japo sikuwa addicted sana nilikua naweza kupitisha hata week bila kuvuta wala kunywa...
  20. K

    Kagame: Rwanda is ready for a confrontation with South Africa if necessary!

    Jinsi Kagame anavyojibizana na Ramaphosa naona kama anajisahau sana Sidhani kama Rwanda itaiweza South Africa. Hii ni kutoka X (Twitter) I held two conversations this week with President Ramaphosa on the situation in Eastern DRC, including earlier today. What has been said about these...
Back
Top Bottom