Naombeni ushauri na msaada kuna mtoto anakohoa sana nimetumia dawa zote hospitalini lakini bado. Wakati wa usiku ndo vinazidi mpaka anashindwa kulala halafu kinakuwa kikohozi kinamletea kama kukabwa hivi mpaka kutapika (kwa kujigoa)
Hivi hospitali kwanini ni wagumu kumchunguza mgonjwa yaani...
Nipo mkoani kikazi kuna ki apartment nimelipia mimi na mwenzangu mwezi japo kazi ni ya wiki 2 tu,
tumeishi wiki moja bila tatizo ila kuanzia usiku wa juzi kulikuwa na shida, ni kama kuna ndoo iliyojazwa mchanga inamwagwa juu ya bati.
Siku ya juzi nilidhani labda ni ndege au mnyama...
Imeelezwa vituo vyote Binafsi vya Afya vitasitisha kutoa huduma kwa Wagonjwa wapya wanaotumia Kadi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)kuanzia Usiku wa Saa Sita kuamkia Machi 1, 2024 huku wale ambao watakuwa katika Uangalizi Maalum (ICU) wakiongezewa muda wa Saa 48 kuendelea kupata huduma...
Usiku wa jana mida ya saa moja kuelekea saa mbili niliona ndege 12 zikiwa zinaenda taratibu sana kwa mwendo wa Pole zikipita kwenye anga la nyumbani kwangu Bahari Beach.
Mara ya kwanza nilidhania ni vimondo, ila nikasema hapana, nikadhania sasa haya ndio mambo ya UFO yenyewe, lakini baadaye...
Mlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo.
Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
Igweee!
Ninawasalimu kwa jina la JMT! Leo nimepata wasaa wa kusafiri usiku kutoka mkoa x kuja y kwa takriban masaa 10 kuanzia 2000hrs to 0730hrs.
Ni usafiri wa kawaida wanaita luxury bus, so hakuna chochote za ziada nilicho experience.
Kwa kuwa ni mara yangu ya 1, nimeona baaddhi ya...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa maelekezo ya kuhakikisha ujenzi wa Barabara Jijini Dar es Salaam zinajengwa kwa usiku na mchana ili kuondoa changamoto zilizopo ikiwemo Barabara ya Kibamba hadi Mbiji Magohe na Mpiji Magohe hadi Mbezi.
Aidha, Chalamila ameongeza kuwa...
Yanga tuna ujinga mwingi sana
Hatujui kama mpira wa africa una fitna zake
Timu zote za weusi zilizowai ku win caf champions league zinajua weakness ya warabu ni jua
Yanga home games zetu tunawaweka waarabu usiku kwenye taa.
CAF hawapangi muda wa home games
Ndiyo maana mazembe ameweka mechi...
Wadau hamjamboni nyote
Benjamin Netanyau ataongea na waandishi habari Leo saa 2:30 usiku
Prime Minister Benjamin Netanyahu will give a press conference this evening at 7.30 p.m.
The address, in which he will answer questions from journalists, comes amid an apparent deadlock in talks for a...
Wasalaam,
Zile mbilinge mbilinge, sarakasi na maigizo ya kuwachomoa wakina Maharage Chande na kina "kipara", matamko yasiyo kwisha na sababu lukuki zisizo za msingi za kukosekana kwa umeme wa uwakika katika nchi yetu ya "tanzagiza" yamefika ukingoni baada ya ahadi ya "mama Abduli" ya kumaliza...
Huwa tunachati mpaka sawa tano usiku, ila cha kushangaza saa moja jioni naona meseji ya usiku mwema. Sikujibu ila nilimpigia simu haipatikani.
Leo sijamtafuta naye hajanitafuta
Nimejaribu kuangalia ratiba ya mechi ya Yanga dhidi ya Belouizdad, nimeshangaa kuona mechi inapigwa saa moja usiku. Hivi kweli mnataka kushinda mechi halafu mnawawekea mazingira rafiki mpinzani wako? Mamelod ni timu kubwa zaidi ya Yanga lakini huwezi kuona wanawachezesha waarabu usiku, bali...
Mnaobeti chukueni hii Morocco anatoka leo kwa kufungwa na South Africa Goli 1 sasa au Goli 1 katika dakika 30 za baadae kama wasipofungana au katika Penati ambako South Africa watafunga ila kwa Morocco watakosa nyingi na Safari yao kwa AFCON itaishia rasmi Usiku huu huu.
Wasalaam Wataalam wa Darisalaam,
Sinza na kinondoni sio mitaa ya kuruhusu kijana wako atembee usiku, kwanini?
Ngoja niwarudishe nyuma miaka kadhaa nilipokuwa kijana mdogo tu aliyemaliza form four. Ndevu Bado zinaota ota.
ilikuwa wikendi moja tukufu ya sikukuu, Mimi na rafiki yangu tumetòroka...
Huyu jamaa ni habari nyingine, baada ya kupigana na kuchakaza mabondia kadhaa ndani na nje ya nchi. Jamaa ameamua tarehe 27 apigane na mabondia wawili siku moja.
Muda huu ni saa tisa na nusu nipo kwenye internet tangu saa tano nilipoingia kitandani.
Nahama mitaa ya reddit naingia youtube, naingia Twitter, naingia Netflix, sasa nimekuja kuchungulia JF
Hali hii tunaipitia wangapi?
MUHIMU: Sijaajiriwa nina biashara yangu nayoamua niende muda gani naotaka.
Jana nimekwenda ibadani nikapata upako wa kutosha. Na nikarudi nyumbani, nikitarajia kuwa furaha hiyo itaendelea hadi usiku wote. Kufika majira ya saa nne za usiku, timu moja, inayoitwa Taifa Stars ikatibua furaha yangu ya kutwa nzima. Hovyo kabisa. Nimesikitika sana. Yaani mnaruhusu goli dakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.