usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Mabasi ya Rombo - Dar yanaanza safari usiku wa manane. Kuna madhara yanaweza kutokea!

    Ratiba ya mabasi hayo yanaanza kutoka Rombo saa 9 usiku na basi la mwisho saa 11 alfajiri. Jambo hili licha ya kuleta usumbufu kwa abiria lakini pia linahatarisha usalama wa abiria kutokana na mazingira ya eneo husika. Maeneo mengi ya Rombo yametawaliwa na uoto uliofungamana (miti, vichaka na...
  2. Ya leo kikaoni usiku pale Utemini

    Wanaotumiwa na mafisadi wamepambana sana kumshauri boss lady eti asimpe kijiti bwana mdogo na ambakishe palepale alipomteua siku chache zilizopita na huku wakimpigia debe kijana wao mwenye jina la mtoto wa Yoseph ili awe. Hali kadhalika, wenye mlengo wa kulia wamemshauri boss lady amrejeshe...
  3. Usiku unaokumbukwa na Wamarekani Weusi mpaka leo

    Ni mwaka 1964 usiku mmoja hivi, wanaume wanne weusi walikutana ndani ya chumba kimoja na kuanza kuzungumza. Usiku huo ulikuwa mkubwa kwa Wamarekani weusi, haikuwahi kutokea watu wa namna hiyo mpaka leo hii kukutana na kuzungumza. Watu hao walikuwa maarufu duniani, watu hao hata baada ya kufa...
  4. C

    Tunaendelea tu Kujengwa Kisaikolojia kwa Kipigo cha leo Usiku kutoka kwa Mwarabu huko Algeria

    "sisi wana yanga sc lengo letu ni alama ( points ) tisa ( 9 ) kwa mkapa na huko ugenini hata tukifungwa au kutoka sare au suluhu sisi wala hatujali na hatutoumia kivile" wamesema viongozi waandamizi walioambatana na yanga sc huko nchini Algeria Cognizant "Think Tank and Adorable Angel"...
  5. Wana yanga sc tuna jambo letu ikifika saa 7 kamili usiku tunatambulisha uzi wa kimataifa

    𝐔𝐙𝐈 bora kwa Mashindano Makubwa Afrika ni Saa 7 Usiku! Mwananchi Kaa Tayari….. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
  6. Huu ni muda mzuri usiku huu kufanya maombi

    Wakuu mnaopitia humu usiku huu ni muda mzuri sana kufanya maombi. Maombi unaweza ukayafanya kwa kufukiria bila kutamka. Mungu anasikiq tunavyofikiria
  7. U

    Safari za mabasi za usiku zimepunguza rushwa na wala rushwa hawapendi hilo

    Safari za MABASI Kwa Usiku Ni Nzuri na salama Zaidi Kwa sababu madereva wa Magari Mengi Hasa malori na Gari ndogo zenye Malena Wengi wanakuwa hawapo barabarani. Lakini kimekuwa kilio kwa wala Rushwa maana usiku polisi na tasisi zingine zinazopenda Hela wanakuwa wachache saana. Hili limepinguza...
  8. LATRA: Mabasi 759 yanayofanya safari za Usiku yanazidisha Speed na kuchezea mfumo wa ufuatiliaji taarifa za gari (VTS)

    Mwezi mmoja tangu Serikali iruhusu safari za mabasi kwa saa 24, tathimini ya mamlaka za usimamizi imeonyesha kuwepo ukiukwaji mkubwa wa sheria na kanuni za usalama barabarani, hali inayohatarisha usalama kwa abiria na mali zao. Kutokana na ukiukwaji huo, ndani ya muda huo mabasi 759 yamekamatwa...
  9. Nimeenda dukani kununua sindano ya mkono usiku huu wakanikatalia na kunitilia shaka

    Aisee, dunia inakwenda kasi sana siku hizi. Nimehitaji kubadili laini X kwenye simu yangu ili nipachike laini yenye bando kwa ajili ya kuwatembelea wale ndugu zetu wale. Kwa bahati mbaya nimekosa kinyofoleo cha laini. Nimesaka nyumba nzima kutafuta pini au sindano pasi na mafanikio. Nikaona...
  10. Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

    Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi. Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi. At the end naambiwa siko romantic! Mnaoweza haya mambo hebu...
  11. Israel wanaingia Gaza mjini kati usiku wa leo

    Baada ya kuigawa Gaza vipande viwili, sasa magaidi yaliachwa kaskazini, Israel wamekua wakiyabamiza bila upinzani wa maana na tayari kuingia mjini kati usiku wa leo..... ================= Israeli troops could enter Gaza City later today, according to Israeli media, raising the prospect of...
  12. Naomba idadi ya Wachangiaji hapa Jamiiforums isipungue leo kuanzia Saa 1 Kamili za Usiku

    Halafu kuanzia Saa 1 Kamili hiyo ya leo tarehe 5 Novemba, 2023 ukija ( Uki Log In ) hapa Jamiiforums usije na Mihasira yako bali kuwa tu Mvumilivu kwani huo ndiyo Maana na Ukomavu wa Utani wa Jadi.
  13. Usiku mwema kijana mwenzangu. Hakikisha unakuwa na pesa za kutosha kwa njia yoyote ile

    Hakikisha pesa hazikauki kwenye account zako za benki, kwenye line za simu na chumbani kwako. Hautaumwa hovyo, hutaitwa wee bali watakuita kwa majina yako. Utaushi kwa furaha. Hakikisha katika ukusanyaji wako wa pesa usiue wala kumuumiza mtu. Asante
  14. Faida ya kuwa Mkristo tajiri mwenye pesa nyingi siku za mwisho

    Yesu alipokufa liliandaliwa dau kupotosha kuwa hajafa. Shughuli hii iliratibiwa kwa ukaribu na Usalama wa Taifa wa Herode, Viongozi wa kidini na machawa wa kaisali. Pesa ilitumika kumuhafifisha Yesu, Hata leo trillions zimetengwa kumuhafifisha ionekane ni nadharia. Hii ni fursa kwetu sisi...
  15. Nahisi mabasi kusafiri usiku yameshusha mapato kwenye mashirika ya ndege

    Usafiri wa mabus usiku nadhani ni pigo kubwa sana kwa mashirika ya ndege, kwa mwendo ninao uona sasa mashirika ya ndege kwa safari za ndani ya nchi itabidi waje na ofa sio za kawaida otherwise maumivu yao ni makubwa. Mabus ya Usiku yana jaa mapema kuliko kawaida, yani kama unasafiri usiku...
  16. Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

    Na eneo walilokuwa wanadili nalo ni kuanzia Ukwamani hadi Kanisani na MP ndiyo walikuwa Wengi huku Wakikamata Watu ( hasa hasa Vijana Wahuni ) wa maeneo hayo. Ila kama nilichokisikia ni kweli Kwanza nitoe Pole kwa Mhusika na Taasisi yake ila Niwaase pia Vijana ( hasa Waendesha Bodaboda na...
  17. A

    DOKEZO Serikali chukueni hatua kuepusha vifo. Baada ya kuruhusu safari za usiku nimegundua yafuatayo

    Hivi karibuni serikali imefanya uamuzi bora kabisa wa kuruhusu magari ya abiria ( mabasi) kutoa huduma masaa 24. Hili ni jambo bora na la kupongezwa kwani linachochea ukuaji wa uchumi kwa watoa huduma kuweza kutoa huduma kuweza kuongeza muda wa kazi. Pamoja na uamuzi mzuri kuna kasoro kadha wa...
  18. Bei ya zile herufi zinazowaka usiku ipoje?

    Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Tz. Naomba kuuliza et bei ya zile herufi zinazowaka zipoje? Ni zile herufi watu wanatumia kuandika majina ya biashara zao kwenye frames.
  19. Biteko: Rais Samia anapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wananchi waliopo kwenye vitongoji wanapatiwa umeme ili kuharakisha maendeleo yao kiuchumi. Mhe. Dkt. Biteko ameyasema hayo alipokuwa...
  20. Tutaandamana usiku, usiku wa manane

    Wasaka Tonge wenzangu, mapambàno hayakomi, ni mpaka usiku, usiku wa manane. Hustle zako unafanyia wapi? Tushirioishane huenda kuna wadau wa shughuli zako humu ndani. Wazee wa iPhone za Makumbusho tuwasiliane.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…